Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,580
- 55,706
watu wa masifa na iphone zao hawawezi kukuelewa
Haha kama mtu ambae nimetumia simu zote iphone wasnt built kwa camera za mbali hivyo. So atakaebisha hata mm nitamshangaa pia
watu wa masifa na iphone zao hawawezi kukuelewa
Ni kweli Indian version ni za ovyo sana. Ndio maana sikuhizi hata Wahindi wananunua Global version kutoka AliExpress badala ya kununua Indian version nchini mwao.NB: Nunua Global version au Chinese version, Usinunue Indian version.
NI KWELI, ZA INDIA NI KIMEO. NILINUNUA MOJA NIKIWA NEW DAILY MITAA YA ARAKASHAN KARIBU NA STATION KUU YA TRAIN, MWAKA 1 TU IKAFA.