Zomea zomea ya Mramba huko Rombo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zomea zomea ya Mramba huko Rombo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Geza Ulole, Oct 9, 2010.

 1. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,073
  Likes Received: 4,008
  Trophy Points: 280
  Jamani ati naskia huko jimboni kwake Mramba anazomewa kwa madai hakushinda kihalali mwenye data atueleze hapa na kama kuna uwezekano tupatiwe video ya hamaki ya wanavijiji huko
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 896
  Trophy Points: 280
  Mramba gani?

  Yule jamaa panga "lisiloisha makali"
   
 3. m

  mtemiwao JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2010
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuzomea hakutoshi wanatakiwa wakapige kura ya kumuondoa-vote out all fisadis
   
 4. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2010
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Tutasikia mengi mwaka huu.Lakini cha ajabu utakuta baada ya 31 ya october ni yeye ndiye atakaechukua ushindi, kunani?
   
 5. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,073
  Likes Received: 4,008
  Trophy Points: 280
  wizi kaka ana backup ya majambazi woote
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Oct 9, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa watu haohao waliomzomea ndio watakaompigia kura hiyo Okt. 31, sijui tatizo nini!
   
 7. J

  JokaKuu Platinum Member

  #7
  Oct 9, 2010
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,781
  Likes Received: 5,019
  Trophy Points: 280
  ..tatizo ni kwamba ame-deliver!!

  ..kati ya shule 10 bora mkoani Kilimanjaro 5 zinatoka jimbo la Rombo.

  ..Mramba ufisadi wake anafanya kwenye manunuzi ya ndege ya raisi, na alex stuwart. hafanyi ufisadi kwenye miradi inayohusisha jimbo lake la uchaguzi.

  ..mtofautishe na Kikwete na Dr.Kawambwa wanaofanya ufisadi kwenye miradi ya ujenzi wa barabara bagamoyo.
   
 8. M

  Molemo JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  wapendwa mwaka huu Mramba haoni ndani.Mzee Ndesamburo anaichachafya Rombo kama mvua akimnadi Joseph Selasini wa CHADEMA.Sidhani kama atavuka mwaka huu.Nimetoka huko siku 4 zilizopita kila kona hawamtaki kwa tathmini yangu ya harakaharaka CHADEMA itapata si chini ya asilimia 70%
   
 9. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #9
  Oct 9, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  panga lisiloisha makali katika kukata mali za umma
   
 10. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #10
  Oct 9, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  ...na ukarabati usioisha wa Ikulu.
   
 11. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #11
  Oct 9, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,852
  Trophy Points: 280
  Wapigakura safari hii hatudanganyiki hata kidogo.

  Mikakati yao ya kuchakachua matokeo tutaithibiti bila ya utani...................
   
 12. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #12
  Oct 9, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,073
  Likes Received: 4,008
  Trophy Points: 280
  waambie hao jamaa, naona wanawakosea heshima Rombo
   
 13. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #13
  Oct 9, 2010
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  habari nzuri
   
 14. A

  August JF-Expert Member

  #14
  Oct 9, 2010
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,509
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  hii inaweza kuwa statement/quote of the week wengi wa viongozi wanachakachua vitu ambavyo vitawaendeleza watu wao au majimbo yao, but not to Mramba/Cleopa/EL?
   
 15. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #15
  Oct 9, 2010
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  kufanya vizuri kwa shule 5 sio jitihada za mmbunge bali ni za walimu, wanafunzi na wazazi.
  kaka nimetoka rombo leo hii
  mramba yuko kwenye wakati mgumu sana

  mramba aliingia madarakani wakati rombo ilikuwa na njaa, na sasa hivi rombo ina njaa again kwa hiyo ni dhairi kuwa warombo watabadilisha mmbunge.
  sasa hivi rombo kuna shida ya maji kiama, jamaa hajafanya chochote kuzuia hii shida ya maji isitokeee
  pamoja na barabara ikiwa inaendelea kujegwa popularity yake imeporomoka vibaya sana

  eneo ambalo mramba anatokea ni mkuu, na hili ndilo eneo lenye wapiga kura wengi. kwenye hili eneo mramba anapendwa kwenye tarafa ya shimbi ambayo ndio kwao kwingine kote hapendwi kutokana na shida ya maji iliyokithiri na njaa.

  kwa upande mwingine joseph selasini anapendwa sana eneo lote la mkuu

  kitu kitachomrudisha mramba madarakani ni returning officer
   
 16. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #16
  Oct 9, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  umesomeka mkuu, huwa nayachukulia kwa upana mzito sana maneno yako
   
 17. J

  JokaKuu Platinum Member

  #17
  Oct 9, 2010
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,781
  Likes Received: 5,019
  Trophy Points: 280
  Semilong,

  ..binafsi sitaki Mramba ashinde, na nilikereka sana pale JK alipokwenda Rombo na kumpigia kampeni.

  ..ukikataa kumpa credit kwa ubora wa sekondari za Rombo, unakosa uhalali wa kumlaumu kwa tatizo la maji lililoko sasa hivi.

  ..wa-Rombo wakimtoa Mramba nitawatambua kama watu walioweka standards za juu sana ktk jinsi wanavyochagua wabunge.

  ..kuna maeneo ambayo wabunge hawajafanya hata robo ya aliyofanya Mramba, lakini wanaabudiwa kama miungu watu.
   
 18. N

  Njaare JF-Expert Member

  #18
  Oct 9, 2010
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 1,075
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Asante Mkuu kwa kuliona hili. Ni kweli Mramba amefanya makubwa Rombo na Laiti Selelii asingemkalia kooni ungekuta barabara ya Marangu mpaka kamanga ingekuwa mkeka. Huwezi kumlinga nisha na kina Chenge na Kawambwa.

  Warombo wameweka standard za juu sana kumpata mbunge. Hili ni jambo jema sana. Inabidi hata kumpata rais au kiongozi yeyote tumwekee standard za juu na kwenye kumjaji performance tumhukumu kwa aliyoshindwa.

  Nawaombea Mungu wananchi wa Rombo wafanye mabadiliko ili yeyote atakayeahidi aweze kutimiza yote aloahidi.

  Mradi wa maji Rombo si alipewa Salakana (Kiliwater) ili arudi CCM? Mwenye uhakika wa hili atujuze
   
 19. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #19
  Oct 9, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Huyu huyu Mramba ndo aliwai sema "TUTAKULA ATA NYASI NDEGE YA RAISI LAZIMA ITANUNULIWA"
   
 20. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #20
  Oct 9, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,073
  Likes Received: 4,008
  Trophy Points: 280
  wewe una akili kweli yaani kama za Mramba mwenyewe! endelea kuwa mvivu wa kufikiria ati Warombo wameweka standard za juu kumpata Mbunge! kama zipi hizo?
   
Loading...