Ziwa Nyasa ni milki halali ya Malawi

Ziwa Nyasa ni milki halali ya Malawi

Wallah nimewahi kuona watu wanafiki lakini hawa watu weupe ni wanafiki mpaka shetani anawaogopa watakuchekea mpaka jino la mwisho huku wakiwasha moto kwa mlango wa nyuma pumzika kwa amani Gadafi, na Mungu akujaalie maisha marefu Rais Robert Mugabe Mungu mpe afya njema Rais wetu baki hapa hapa tusukume gurudumu la maendeleo mwenye shida aje tu hapa tuzungumze.
Wametuchonganisha fikiria Malawi alitakiwa kuwa jirani na dada yetu sasa amekuwa adui, hawa watu hawana huruma, nikikumbuka walichofanya Sierra Leone kwasababu ya diamonds sina haumu.
 
Ushauri wangu kwa Malawi ni mkae kimya.

Mlimjaribu Nyerere mkakwaa kisiki.
Mkamjaribu Kikwete, akaenda aka kamati videge vyenu na akawaambia msirushe tena bila kibali mkija upande wetu, msije mkastukia tuko Mzuzu na Blantyre. Halafu akafanya diplomasia akawapa msosi mlipokumbwa na njaa.

Sasa muelewe kuwa, Magufuli hajaribiwi.

Kama wavuta bangi wa Amboni wanawajambisha ukaseme standing army....nyau wewe.

Unakumbuka videge vyenu viwili tulivifanya nini ziwani?
 
Kitendo cha Mjerumani kupigwa katika vita kuu ya kwanza ya dunia na kunyang'anywa makoloni yake ni Ushahidi kuwa Heligoland treaty ilifia hapohapo.
Laiti mkataba huo ungekuwa bado unaheshimiwa hata baada ya vita kuu ya kwanza basi, Mjerumani angerudishiwa makoloni yake yote yaliyoko katika mkataba huo.
Kitendo cha Muingereza kuichukua Tanganyika, Rwanda na Burundi kwenda kwa Mbelgiji Automatically kunaivunja hiyo Helligoland treaty na Mwingereza alikuwa hayuko bounded kufuata chochote katika mkataba huo baada ya hapo!.
Treaty ya kufuatwa hivi sasa ni International law juu ya maji ya mpakani!
 
Ushauri wangu kwa Malawi ni mkae kimya.

Mlimjaribu Nyerere mkakwaa kisiki.
Mkamjaribu Kikwete, akaenda aka kamati videge vyenu na akawaambia msirushe tena bila kibali mkija upande wetu, msije mkastukia tuko Mzuzu na Blantyre. Halafu akafanya diplomasia akawapa msosi mlipokumbwa na njaa.

Sasa muelewe kuwa, Magufuli hajaribiwi.



Unakumbuka videge vyenu viwili tulivifanya nini ziwani?
Bi mkubwa wazungu wana njaa kama mchwa weshagombanisha watu libya, wakachukua yao, huko somalia ndio wanafanyia majaribio mabomu yao lakini huwa nakaaa najiwazia kwa sauti waafrika tuko na matatizo sana yaani wanakuja kugombanishwa na mzungu tunauwana silaha watuuzie na mali watuibie halafu mwisho wa siku mkishtuka mko kwenye dimbwi la damu na magofu mnarudi tena kwa yuleyule baza.zi mnaenda piga magoti na kuomba msaada tena mnasujudu kabisa hivii hii ni laaanaa au ni u.pu.mbavu ?Kweli Mungu akunyime vyoote akupatie hekima, akili na maarifa.
 
Kama umetumwa nenda kawaambie tunasema, wacha ziwa tu, tutaichukuwa Malawi yote iwe himaya ya Tanzania na kama mnabisha mwende mkawaulize Uganda.
Bibie wajua nguvu zilizo nyuma ya hizi kelele za Malawi?
Wakoloni watafurahi sana tukipigana ili waigeuze Tanzania yetu kua mdogo wake Zaire.

Ila Ziwa ni nusu halali yetu.Hakuna cha kuheshimu mipaka ilioachwa na wakoloni sisi tunaenda na International Law..
Na hata wakati wa huo mkataba wa Helligoland,Tanganyika haikua koloni la Uingereza bali ni wadhamini wa Uhuru wa Tanganyika.
 
Bibie wajua nguvu zilizo nyuma ya hizi kelele za Malawi?
Wakoloni watafurahi sana tukipigana ili waigeuze Tanzania yetu kua mdogo wake Zaire.

Ila Ziwa ni nusu halali yetu.Hakuna cha kuheshimu mipaka ilioachwa na wakoloni sisi tunaenda na International Law..
Na hata wakati wa huo mkataba wa Helligoland,Tanganyika haikua koloni la Uingereza bali ni wadhamini wa Uhuru wa Tanganyika.


Let the court to decide........wonga wanini respect rule of law.[HASHTAG]#Justice4Lema[/HASHTAG]..[HASHTAG]#BringBackBen[/HASHTAG]
 
Hatuna ubishi naona walichukue ila wajue tumefanya Enviromental Impact Assessment (EIA) na tumegundua kuwa mawimbi ya ziwa lao kila yanapopiga katika pwani yetu yanachafua mazingira yetu, kwa maana hiyo kila wimbi lao moja wanawajibu wa kutulipa kutokana na uchafuzi wanaofanya.
 
Tuwaachie tu ila maji yao yasiguse Ardhi ya Bongo
Hapo ndugu yangu umenivunja mbavu, labda wapige fence vinginevyo ni ngumu, na kama hayo maji yao yakigusa bongo basi walipie kodi kubwa sana, vinginevyo tutakuwa tunamwaga takataka za sumu toka viwandani humo, au tunachimba mtaro mkubwa mkubwa sana maji yao yakifuata huko shauri yao sababu ni ardhi yetu.
 
Busara itumike tu Ziwa ligawiwe kati kwa kati hamna namna hatuwezi kuliachia liende tu hivihivi
 
sasa mpaka uko wapi mbona maji yanahama hama kila dakika , kwa hiyo maji yao yakiingia kwetu wametangaza vita
 
Hahahaha!
Lema tu anawatoa kamasi anawachukulia karibu sasa miaka miwiri kushinda kesi mahakamani munakimbilia ma court injunctions lCC mutasimama
 

Attachments

  • 1483556509167.jpg
    1483556509167.jpg
    91.9 KB · Views: 37
Kama ni kweli je watu wetu watakuwa wanakwenda nchi ya jirani kuchota maji ya kunywa ? Vitu vingine ni kutumia akili ya kawaida
 
Sikutaka hata kusoma huu ujinga ulioandika ,sijui mwaka mpya ndio umekupa mihemko ya hivi !!!!
 
Nilisema jana hapa watu wakabeza,,tatizo watz wengi sio waelewa ni wapuuzi wanafikiri ubabe utawasaidia,,binafsi sipendi migogoro malawi wapewe tu ziwa lao kwa amani

Wabongo wanajifanya wana uchungu sana na rasilimali zao alafu kwenye kuzimamia hizo rasilimali zenyewe sasa hili ziwanufaishe ipasavyo ni ovyoo kabisa, akili za malumbano zipo ila za maendeleo hakuna ndio nini sasa!!?

Yaani pamoja na mlima kilimanjaro,madini,wanyama,ardhi nzuri,bandari na makorokoro mengine kibao lakin bado serikali imechoka inatoza kodi mpaka kwa mtumiaji wa vocha ya shilingi mia tano si maajabu ya dunia haya!?

Na mimi nasema hao Malawi bora wapewe tu hilo ziwa lao sababu kwa tanzania hii liwepo au lisiwepo hakuna kinachobadirika.
 
Hiyo kesi hata kama TZ tusiposhiriki kabisa Malawi hawezi kushinda kwa maana International law iko wazi kwamba vitu kama Mto, Ziwa, Milima n.k. inapokuwa mpakani baina ya nchi basi ni lazima zimilikiwe na nchi hizo, hiyo ni international law, hivyo hapo Malawi wanajisumbua tu hiyo kesi hawawezi kushinda hata iweje, na sababu ni haki za kibinadamu kwa maana kama unasema Ziwa Liko Malawi vp watu wanaoishi ufukweni wakitaka kuogelea waombe viza Malawi?
Ahajajaaaahahaa
 
Back
Top Bottom