Lambardi
Platinum Member
- Feb 7, 2008
- 20,218
- 24,550
Nchi masikini hatuwezi kupigan vita kamwe!! Hatuna vita nanga zinapaaa sembus vita!!!!!Dawa ya mtukutu ni kumpiga tu. Kama anaweza kushitaki na kushinda sisi ni kumpiga tu

Sina haja ya kusoma chochote, hiyo ni International law kwamba chochote kilichoko mpakani kinamilikiwa na nchi zote, hilo halina mjadala!