Ziwa Nyasa ni milki halali ya Malawi

Ziwa Nyasa ni milki halali ya Malawi

Stop that rubbish. Uganda ilishindwa kwa sababu every Ugandan was against Amin kwa udikiteita wake na mauaji ya waganda- kila mmoja aliguswa na ukatili wa Amin. Watanzania walisaidiwa sana na waganda kumsaliti Idd amin otherwise the story could have been different!
Acha kudanganya watu, majeshi yote ya Uganda yalikuwa vitani + Libya wote mkapigwa usilete siasa.
 
Wanaweza kulichukua.Maana wanasheri wetu walisomea kupambana na Wapinzani Watanzania sio maslahi ya nchi.Maslahi ya ccm sio Tanzania.Nakushangaa kutokwa povu bila hoja eti tutawavunja shingo anza na Kenya wanaojinufaisha na mlima Kilimanjaro.Usirudie kuturoanisha na mate yako.
 
Uingereza ndio inawaambia Malawi ina haki ya Ziwa Nyasa kwa vile wanataka kuchimba mafuta na kujenga mahoteli ya kitalii huko?

Alaaa, kumbee!

Waingereza hawa hawa ndio Waliwaambia akina Gamshadi kuwa Zanzibar ni yaooo! Baada ya Mapinduzi, Bwana Gamashadi kakimbilia huko Uingereza na yuko mpaka leo huko.

Kashmiri inawaka moto mpaka leo, Mwindi na Mpakistani wanagombania, hajui ni nani mwenye haki, yote haya yanatoka kwa Bwana Mkoloni Mwingereza.

Israel hii Israeli, ni Waingereza ndio wamelianzisha Taifa hili la Kizayuni katika ardhi ya Wapalestina na kulipa jina takatifu la Israel.

Sio Scorpion aliyoizingizia Iraq na Sadam Husein kuwa ina silaha kali za Maangamizi, kuishambulia na kuuwa watu wasiokuwa na hatia haswa Wazee, watoto na wanawake, Ni Tony Blair ambae alikuwa Waziri Mkuu wa Uingereza.

Najua Wadau mnaogopa kuzungumza. Tumejifunza kutoka kwa Waingereza wenyewe kuzungumza Ukweli. Nendeni kwenye YouTube ukamuangalie Mbunge wa Uingereza Mheshimiwa George Galloway.

Afrika ilikuwa ni moja, mpaka wamekuja kutugawanya. Kizazi kinachokuja, tunategemea kuja kuziondoa tofauti zetu, tunatarajia hapatakuwa na mipaka. Mtu atatoka Kairo mpaka Kep Town na kitambulisho tuu. Uhuru halisi wa Mwafrika Utapatikana.

Leo nauliza Wadau wenzangu, Jina la Ziwa Victoria lilikuwa linaitwa nini? Ina maana Waafrika hatuna majina yetu mpaka tuende kuazima nje??

Ziwa Nyasa nchi zote 3, Msumbiji, Tanzania na Malawi tuna haki nalo. Kizazi cha sasa tutaitunga hii sheria na tutaipeleka kwenye Jumuia ya Kimataifa. Hata kama tutafanya kura ya maoni kama Kusini mwa Sudan. Hakuna kwenda kwenda na kujipendekeza kutafuta sheria sehemu nyingine wakati ardhi na nchi ni yetu. Sisi ndio Wazawa.

Tutapiga Muhuri na kupitisha.

Itabidi Julius Malema wa Afrika Kusini tumshirikishe kwenye huu mjadala.
 
Sote tunajua kuwa Malawi wamesema ziwa Nyasa, ambalo kwa Malawi linaitwa Ziwa Malawi, ni mali yao na Tanzania haina hata tone moja la maji. Mazungumzo yanayoratibiwa na Tanzania yameshindwa kubadili msimamo wa Malawi. Malawi imejiandaa kwenda mahakamani ya kimataifa, ICJ, kutafuta suluhu ya kile wakisemacho. Uwezekano wa kushinda kesi ni mkubwa, tena mkubwa sana.

Malawi ina ushahidi wa kutosha kuhusu wasemalo: mkataba wa Heligoland 1890 kati ya Mjerumani na Mwingireza uliipa Uingereza (Malawi kwa sasa) ziwa lote. Mjerumani (Tanganyika/Tanzania) iliachiwa Heligoland na makoloni mengine Afrika ya Magharibi.

Kuna ushahidi wa kutosha pia kuwa waziri mkuu wa Tanzania, kwa wakati huo, Kawawa, aliwahi kutoa matamko Bungeni, mara nyingi tu, kuwa Tanganyika/Tanzania haina hata tone moja la maji katika ziwa Nyasa/Malawi. Kwa maneno mengine ziwa Nyasa au Ziwa Malawi ni mali ya Malawi.

Ni mhimu kujua kuwa maneno/matamko yanayotolewa na viongozi wa serikali ya nchi husika, kwa sheria za kimataifa, yanahesabiwa kuwa ni sera ya nchi na hivyo huibana nchi anakotoka kiongozi aliyetoa maneno/matamko hayo. Kwa wafuatiliaji wa mambo, angalia kesi zilizoamuliwa na mahakama ya mbalimbali za kimataifa hasa ICJ. Kuna kesi tatu mhimu kwenye hili: Tamko la Ihleni (Ihlen Declaration), kesi ya Peninsula ya Bakassi na Matamshi ya mwakilishi wa Marekani katika WTO. Kesi mbili za mwanzo ziliamuliwa na mahakama ya kimataifa ya ICJ.
(Pakua na Soma zaidi....liliandikwa siku nyingi)
Korti ya kimataifa inaweza kusuluhisha jambo hili pasipo kuingia katika maamuzi yasiyo na busara kama vita!
 
Wasijaribu tuna mtu ambaye hajaribiwi!!
Atawapigia waki mbeep!!
 
Uzalendo unahitajika sana,si kushabikia kama si Watanzania.Tunatakiwa tupiganie kwa upande wetu
 
Sawa ziwa looote ni lenu mlichukue basi!
 
Nchi hii ilivyoya ajabu utashangaa ziwa tunanyanganywa kizembe na kuwaachia wenzetu wakaneemeke tz ni nchi ya maajabu sana hatuvijali vilivyo vyetu.
 
Kwa kuwa makosa yaliyofanywa na binadamu yanasahihishwa,hatuko tayari kulea makosa yaliyofanywa na wazungu binadamu kama sisi,kwa kuwapa Malawi ziwa lote kwa manufaa yao wenyewe,kwa manufaa ya watanzania,tutayasahihisha hata kwa mtutu wa bunduki.
 
Nampinga magu kwa mambo mengi lakini hapa namuunga mkono kuwachapa hawa watu kwa 100%
 
Uingereza ndio inawaambia Malawi ina haki ya Ziwa Nyasa kwa vile wanataka kuchimba mafuta na kujenga mahoteli ya kitalii huko.

Alaaa, kumbee!

Waingereza hawa hawa ndio Waliwaambia akina Gamshadi kuwa Zanzibar ni yaooo! Baada ya Mapinduzi, Bwana Gamashadi kakimbilia huko Uingereza na yuko mpaka leo huko.

Kashmiri inawaka moto mpaka leo, Mwindi na Mpakistani wanagombania, hajui ni nani mwenye haki, yote haya yanatoka kwa Bwana Mkoloni Mwingereza.

Israel hii Israeli, ni Waingereza ndio wamelianzisha Taifa hili la Kizayuni katika ardhi ya Wapalestina na kulipa jina takatifu la Israel.

Afrika ilikuwa ni moja, mpaka wamekuja kutugawanya. Kizazi kinachokuja, tunategemea kuja kuziondoa tofauti zetu, tunatarajia hapatakuwa na mipaka. Mtu atatoka Kairo mpaka Kep Town na kitambulisho tuu. Uhuru halisi wa Mwafrika Utapatikana.

Leo nauliza Wadau wenzangu, Jina la Ziwa Victoria lilikuwa linaitwa nini? Ina maana Waafrika hatuna majina yetu mpaka tuende kuazima nje??

Ziwa Nyasa nchi zote 3, Msumbiji, Tanzania na Malawi tuna haki nalo. Kizazi cha sasa tutaitunga hii sheria na tutaipeleka kwenye Jumuia ya Kimataifa. Hata kama tutafanya kura ya maoni kama Kusini mwa Sudan. Hakuna kwenda kwenda na kujipendekeza kutafuta sheria sehemu nyingine wakati ardhi na nchi ni yetu. Sisi ndio Wazawa.

Tutapiga Muhuri na kupitisha.

Itabidi Julius Malema wa Afrika Kusini tumshirikishe kwenye huu mjadala.
Uingereza ni kisiwa tu, lakini alitawala dunia! Unajua kwanini?? Muingereza ndio baba na mama wa fitna dunia hii!
 
Nyie chokozeni Nyuki tu, hatujapigana vita tangu vita vya KagerA....
 
Sote tunajua kuwa Malawi wamesema ziwa Nyasa, ambalo kwa Malawi linaitwa Ziwa Malawi, ni mali yao na Tanzania haina hata tone moja la maji. Mazungumzo yanayoratibiwa na Tanzania yameshindwa kubadili msimamo wa Malawi. Malawi imejiandaa kwenda mahakamani ya kimataifa, ICJ, kutafuta suluhu ya kile wakisemacho. Uwezekano wa kushinda kesi ni mkubwa, tena mkubwa sana.

Malawi ina ushahidi wa kutosha kuhusu wasemalo: mkataba wa Heligoland 1890 kati ya Mjerumani na Mwingireza uliipa Uingereza (Malawi kwa sasa) ziwa lote. Mjerumani (Tanganyika/Tanzania) iliachiwa Heligoland na makoloni mengine Afrika ya Magharibi.

Kuna ushahidi wa kutosha pia kuwa waziri mkuu wa Tanzania, kwa wakati huo, Kawawa, aliwahi kutoa matamko Bungeni, mara nyingi tu, kuwa Tanganyika/Tanzania haina hata tone moja la maji katika ziwa Nyasa/Malawi. Kwa maneno mengine ziwa Nyasa au Ziwa Malawi ni mali ya Malawi.

Ni mhimu kujua kuwa maneno/matamko yanayotolewa na viongozi wa serikali ya nchi husika, kwa sheria za kimataifa, yanahesabiwa kuwa ni sera ya nchi na hivyo huibana nchi anakotoka kiongozi aliyetoa maneno/matamko hayo. Kwa wafuatiliaji wa mambo, angalia kesi zilizoamuliwa na mahakama ya mbalimbali za kimataifa hasa ICJ. Kuna kesi tatu mhimu kwenye hili: Tamko la Ihleni (Ihlen Declaration), kesi ya Peninsula ya Bakassi na Matamshi ya mwakilishi wa Marekani katika WTO. Kesi mbili za mwanzo ziliamuliwa na mahakama ya kimataifa ya ICJ.
(Pakua na Soma zaidi....liliandikwa siku nyingi)

Kaka unajichanganya kama Wamalawi wenzio, habari za maziwa yaliyopo mpakani ilikuwa hivi,
1: Miaka ya mwanzo ya Ukoloni, Maziwa yote yaliyopo mpakani hayakuwa ya mtu yalikuwa huru kwa kila nchi zilizo mpakani kuyatumia, ukiangalia ramani zote za mwanzo Maziwa hayakuwa na Mipaka
2: Baadae hao wakoloni waliamua kugawana nchi kwa uhalali na pia kuweka Mipaka kwenye hayo Maziwa
3: Tanganyika likawa chini ya German East Africa (Tanganyika) na Belgium Congo, lake Nyasa lote likawa chini ya British (Malawi)
4: Baada ya kushindwa vita, Waingereza wakapewa Tanganyika, so Wakawa wanatawala, Kenya, Uganda, Tanganyika, Malawi, Zambia na Zimbabwe
5: Uingereza kama ndio Baba wa Malawi na Tanzania kwa maana ya nchi zote ni zake akaweka mipaka mipya ya nchi hizo, ukiangalia Gazete na ripoti zote za makoloni ya Uingereza alikuwa anaielezea Tanganyika kwa mipaka yake kama ilivyo sasa, na Waingereza walifanya hivyo kwa kupeleka ramani na maelezo umoja wa mataifa kwenye miaka ya 1920, na Bunge la Uingereza walionyeshwa hiyomTanganyika walioichukua kutoka kwa Ujerumani iko wapi na ina mipaka gani
6: Miaka ya mwishoni ya 1950, Nyerere alienda UNO kudai uhuru wa Tanganyika, na Waingereza waliielezea UNO hiyo Tanganyika iko wapi na Mipaka yake ni ipi?
7: Mwaka 1961 Tanganyika ikapata uhuru na Waingereza ambao ndio Mabwana zetu (Tanganyika na Malawi) wakatoa hati ya Uhuru wa Tanganyika yenye Mipaka iliyopo sasa, yenye kuonyesha mstari unaopita katikati ya Ziwa Nyasa

VITU VYA KUVIJUA
1: Mkataba wa Holigan ulikuwa kati ya Waingereza na Wajerumani
8: Baada ya Ujerumani kushindwa vita, huo mkataba wa Holigan ukafa automatically kwani nchi zote zikawa chini ya mtu mmoja nae akauvunja physically kwa kuweka mipaka mipya

Waingereza walivyokuwa waroho wa rasilimali wangeshafanya yao ili kuinyanganya Tanzania haki ya Ziwa, wanashindwa kufanya hivyo kwa sababu wao wenyewe walishaweka mipaka mipya ya Tanganyika na Malawi

Cc: Barbarosa
 
Mleta Mada yupo right kabisa...
Ila kumpa Malawi ziwa lote ni haiwezekani that's it!!
sio rahisi ki ivyo
wakubali tuu tuingie MKATABA mpya. Myb
 
Waachie tu maana hata mlima ule mlefu unatushinda mpaka majirn nao wanaotangaza ulaya kuwa wao sasa mshikaa mawili moja humponyoka tukomae na tunachoweza
Umeshawahi fika ziwa nyasa ama unaongea bila kujua. Fanya kautafiti kidogo kiongozi. Kasome sheria za kimataifa kuhusu mipaka
 
Sawa ziwa looote ni lenu mlichukue basi!

Bora wamalawi wajichanganye tuwapore mpaka nchi yao. Nadhani kwa hapo hata wewe Stroke utaridhika wapinzani wapate vyeo huko nchi jirani baada ya kuiteka maana hapa nchini makada wa ccm tu ndio wanavyeo.
 
Wao ziwa lao ni Malawi, sisi la kwetu Nyasa!
 
Back
Top Bottom