Ziwa Nyasa ni milki halali ya Malawi

Ujerumani na waingereza hawana hata ardhi ya kuweka kidole huku Tanzania na hakuna nchi inayoitwa Tanganyika huku afrika
 
Hiyo kesi hata kama TZ tusiposhiriki kabisa Malawi hawezi kushinda kwa maana International law iko wazi kwamba vitu kama Mto, Ziwa, Milima n.k. inapokuwa mpakani baina ya nchi basi ni lazima zimilikiwe na nchi hizo, hiyo ni international law, hivyo hapo Malawi wanajisumbua tu hiyo kesi hawawezi kushinda hata iweje, na sababu ni haki za kibinadamu kwa maana kama unasema Ziwa Liko Malawi vp watu wanaoishi ufukweni wakitaka kuogelea waombe viza Malawi?

Uko sawa mkuu, Malawi isituchezee tutaweka kando tofauti zetu za kisiasa tuiadabishe, waache waendeleze ujinga tuje tuwachape Kama idd Amin shenz zao
 
Mimi nilidhani maziwa mengine yatakauka yote, kumbe nyasa mbona tulishazoea
 
Kama umetumwa nenda kawaambie tunasema, wacha ziwa tu, tutaichukuwa Malawi yote iwe himaya ya Tanzania na kama mnabisha mwende mkawaulize Uganda.
Stop that rubbish. Uganda ilishindwa kwa sababu every Ugandan was against Amin kwa udikiteita wake na mauaji ya waganda- kila mmoja aliguswa na ukatili wa Amin. Watanzania walisaidiwa sana na waganda kumsaliti Idd amin otherwise the story could have been different!
 
Hamna lolote malawi tokea 1967 hizi bit wanazo mpaka leo... hawana power ndo tatizo.. zinakuja na kupotea... alianza yule raisi mama akapigwa sound na jk wa pili sijui alibutua naona maza anacheka cheka tu... wa sasa hivi kaingia baada ya kupiga battle anaanza kutafuta suluhu kwa wazungu... wat the https://jamii.app/JFUserGuide... ujinga tu.:: )lengo nI kuwatia moyo wananchi wake kwa kuwa ndio main point katika kampen zake za kuwania uraisi....

Mchumba tu.. nchi ndogo ile km kenya tu
 
Hivi siku zote hizo mbona hiyo nyonyo ilikuwa haisumbui?Wamepatwa na nini?Hiyo nyonyo itabakia kama ilivyokuwa siku zote wasilete mchezo.[HASHTAG]#Hatupendagi[/HASHTAG] ujinga sisi#
Labda kuna kitu wanajua ambacho hatujakijua!!
 
Back
Top Bottom