Mkuu naona unapoteza kabisa sifa za kua kwenye jukwaa ili...
Nikuelimishe kidogo tu..Hakuna serikali au utawala wowote unaoweza kufanya kazi na watu ambao hawawajui kwahiyo kujuana katika nafasi za juu hakukwepeki ndio maana ata Pombe alimteua mtu aliyesimamia PhD yake ambayo mpaka leo inamashaka.
Pili hivi kuna RC,D.C.,RAS, DAS,MD etc ambao wameteuliwa bila kua maswahiba wa viongozi au CCM? Msitake kumpaka Kikwete uchafu leo wakati nyuma hamkuweza kukosoa bali mlikua mnashangilia na kumlinda kama mnavyofanya kwa huyu...huu ni unafiki wa hali ya juu...Hivi unataka kuniambia Kikwete alikua anatoa ajira za ualimu, madaktari etc kwa kujuana? Pole yako kwakua mnafiki maana ni sifa ya kuendelea kua mwanacccm