Dada unayosema yote kweli kabisa lakini unashindwa kuelewa siasa za Bongo maana pale bungeni hakuna watu kabisa ni nguvu ya mtu mmoja mmoja tu ambayo ndio picha halisi ya Ubunge wao. hata ukisikiliza kesi za hoja zao hushtakiwa mtu mmoja iwe Dr.Slaa na list ya mafisadi au jambo lolote na ndio maana huzimwa kabla hata halijafika mbali kwa sababu halipewi nafasi ndani ya chama kuwa ni msimamo wa chama ama upinzani ili lipatiwe ufumbuzi. Kwa nini ashtakiwe mtu mmoja alotoa hoja ikiwa hoja hiyo imepitishwa na upinzani?
Shangazi unajua unapotoa hoja lazima uwe na ushahidi kama ingekuwa bungeni kila mtu anaingia kwa mpango wake sidhani kama government policies zingekuwa zinapita kirahisi, maana wakati wa majadiliano ya bunge la budget kunakuwa na malalamiko mengi sana hata kutoka kwa wabunge wa serikari kuhusu budget iliyopita na jinsi ambavyo aijawafikia walengwa huko majimboni mwao, lakini watu hao hao ndio wanaoipitisha government budget kwa sababu ya maslahi ya kundi ndio maana ya kuwa mwanasiasa unaetumikia chama in most cases ni maslahi ya wengi(kundi zima) sio yako binafsi.
Halafu uwezi msikia Dr.Slaa wala Mh.Mbowe atasiku moja wakitoa kauli za mimi kama mwenyekiti wa CDM ndio nilifanya ABC au wakitumia kitu kama CDM yangu; sijui ni kitu gani hapa unachotaka kumtetea mpwa wako shangazi yeye kamati ya PAC anaitambulisha kama kamati yangu. Kamati yako unaimiliki au umechaguliwa kuiongoza shangazi unaanza kuwa kama mshabiki wa CDM ambae upofu anataka kulazimisha ni chongo.
Na record za Mbunge activist hutokana na performance yake bungeni aidha kupitisha sheria, muswada, na kuisimamia serikali ama kupinga yasokuwa na tija kwa wananchi na ndio ushindani wa kisiasa. Mimi mwenyewe nilikuwa namlaumu sana Zitto na nikasema hata kama hawakushirikishi inabidi awe mdogo lakini ukweli unabakia kwamba toka Zitto apiganie Uenyekiti Chadema kazi kubwa ilofanyika na wanachama wenzake ni kumbomoa tu. Na Kibaya zaidi ni kwamba alikuwa akiaminika kama anatumika na CCM japo kajitetea sana lakini wapi watu hawakutaka kuamini.
This has nothing to do with me kwanza on record nipo huko nyuma wakati wa sakata hili kumtetea zitto ya kuwa ana haki ya kugombea nafasi ya juu chamani mwake my position ni kwamba he was over ambitious atakama anaona amewazidi uwezo wa mawazo wengine. He also failed to mobilize support kwa sababu rarely people go publicly to challenge their mentors without their approvals inaonesha ni mtu wa aina gani kwenye uwanja ambao loyalty is every thing such as politics.
Despite all that niliutetea sana ule mkakati uliomwondoa Prof.Kitila na kumplekea Zitto kuwa mmbunge wa mahakama kwa sababu niliamini principally they did not break the rules ingawa practically they broke the cultural code of their institution na dhahiri CDM ina utamaduni wake wa kufanya mambo kama unavyoona ingawa Zitto leo hayupo kwenye kinyan'ganyiro lakini sakata la kutaka Mbowe aendelee kubaki mwenyekiti alijaisha na kwa jinsi mambo yanavyoenda you know the fate is with Mbowe himself.
Kwa maana hiyo unaona ni jinsi gani huyu mtu wako asivyoweza ku-calculate even simple moves especially baada ya ugomvi wa uchaguzi uliopita kutaka nafasi za juu chamani, ugomvi wa kutaka kuwa KUB, kutangaza nia ya uraisi uchaguzi ujao kabla ya umri kikatiba; to me he is not someone who is manipulative politically anatumia nguvu za hoja tu wakati si kila mara zinaleta ushindi you got to be shrewd and have varieties in politics in order to built support.
Hapo atasijagusia uongozi wa chama ni tofauti na kazi ya ubunge kama unavyodhani, experience ambayo ajaionyesha kwenye personality wala uwezo wa kimkakati ili useme zitto can built strong bases outside ufipa and foot soldiers ambao wapo commited to the course that also requires different skills in people and money management, sasa kama binadamu huyu awezi ata kuishi na wenzake what tells you about his ability in relation to ppl management ndio maana wengine wanaona Mbowe na Slaa are capable of that role ukizingatia kwa CDM kila mtu ni mamluki na si watu ambao wapo tayari kusonga mbele or else ungeona demands.
Hivyo hata Ubunge wake unaonyesha tu kuwa ni wa Chadema lakini he is alone! ni mbunge mgombea binafsi kiuhalisia kama vile hana chama toka mwaka 2006 mara zote hutumia hoja zake kupitia kamati yake badala ya chaa chake maana hana ushirikiano huko. Na sisi wengine nje tulijaribu sana kushauri pande zote mbili lakini kama unavyojua sikio la kufa halina dawa iwe kwa Zitto ama washabiki wa mambo haya. Zitto was long an outsider kabla ya kusimamishwa kwake.
And you think it would help him with his I this and I that kuwa team player uoni kama hilo nalo linachangia na wengine kumuweka as an outsider ili ajichukulie hizo sifa anazotaka mwenyewe ama?