Njoo uichukue mkuu
Wenzako wanapambana sasa hivi kusaka vyeo, we unahangaika na zito
Njoo uichukue mkuu
Dr.Slaa anatembea na kadi ya ccm mfukoni, anza kuichukua hiyo.
Chambua matukio haya kisha utapata jibu .
Mmemuandalia mapokezi gani bosi wenu?
Jiandaeni kumpokea rasmi huko kwenye kijiwe chenu cha ACT
Jiandaeni kumpokea rasmi huko kwenye kijiwe chenu cha ACT
Yericko angekua msichana basi Dida wa mipasho ndo umefanana nae kwa tabia
Unaniachaga tu unapojiweka level moja na zzk wakati hata hakujui,na hata CDM yenyewe pamoja na kujipendekeza sana kwa mbowe wamekupiga chini miguu chali.....!!kiufupi huna cheo CDM zaidi ya mpiga vuvuzela waa matukio kama Mbwiga wa clouds
Dawa yenu watu wa aina ya ifweero na MSALANI,ni kuwafungia ID zilizofunguliwa na chama tu. Hamtetei chama badala yake mnaweka mbele matusi,kejeli,fitina na maneno ya maudhi. Operesheni iko njiani. Mtaingia na vi-ID vyenu muda si mrefu. Jifunzeni kujadili hoja na si mleta hoja.Ndivyo mnavyoambiwa chamani. Hamsikii.Dawa yenu iko jikoni
Mzee Tupatupa
sishauri Zitto au wafuasi wake kuja kujibizana na huyu dogo kwasababu hana hadhi na wala hatoshelezi kujibizana na Zitto. Zitto na hoha zake ni za Kitaifa na Utaifa-huyu dogo asiyejitambua hoja zake ni pale ubongo wake wa paka unapoishia.
mambo aliyoyafanya Zitto kwa Taifa hili hayafutwi na hayatofutika kwa kifuto unachotumia. umaarufu hauji kwa mpango unaotumia, fanya kaz dogo acha ujinga-ukomboz gan utafanywa na wewe, hii nchi bana yaan na wewe sasa umeshakuwa mashuhuri? mtajipaka hata vinyes ili mradi na wewe watu wakuone. acha kutumika dodoki wewe fanya kaz
Vema sana, sasa aende hukohuko akayafanyie hayo mambo huko huko, ndani ya chadema tumesha delete kabisaaaa
Kama una uhakika na mipango yenu kelele za nini sasa ndio maana unafananishwa wa wamama wa mipasho!!!! Siasa za kuandamana kwa majina how come enzi hizi.
Hivi we kama kijana na kwenu kuna uchaguzi una nini cha kusaidia viongozi wachanga ili kesho tupate watu shupavu kwa Taifa??!
Una kelele sana haswa linapokuja suala la huyo hasimu wako, mara polisi, mara umetishwa kuuliwa sijuia yaani ni kama unatumia jina lake kubaki unasikika vile!!!!
Kuwa kijana wa kisasa mkuu fanya siasa za faida ya Taifa hii kufuatana kama mikia haina fiada kwa Taifa, kama mna uhakika ni mtu wa hovyo chamani wekeni mikakati mtoeni shughuli iishe!!!!
Unachosha kiaina
Teh!Msukule unaotafuta umaarufu kupitia jina la genius.Utaishia kupata umaarufu humuhumu jf lakin uraiani hata jirani zako hawakutambui!Nged..ere kasoro mkia.
Njoo uichukue mkuu
unamuonea wivu zitto kuwa na pesa,, kenge kama wewe huna hadhi ya kuhongwa hata buku.
Huyu jamaa hamna siku amejadili hoja yenye mashiko kwa Taifa.. Yeye anataja watu tu
Mkuu huwezi kutoka kupitia kwa ZZK labda uwe shemeji yake
Genius??? Hahaaa tunamtupa nje, haya muokoteni awasaidie kwa u genius wake