barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,404
- 29,811
wakuu sasa naanza kupata akili kama ile rasimu ya katiba ya warioba ingepita tungeweza kuja kudhibiti baadhi ya haya madudu huko mbeleni ila kwa kuwa imepita yao nategemea madudu kama haya kutokea tens siku za mbeleni.
Yaani sasa hivi inatakiwa kutumia ile rasimu ya Warioba kama reference jinsi ambavyo ingewabana na kuwawajibisha hawa wezi sijui ambao wengine wanadai wamepewa zawadi.