kuna fununu kuwa wale wote ambao pesa zimepitia kwenye account zao kitu ambacho ni ushahidi tosha usiofutika labda bank yenyewe ifutike. nimejiuliza, mwanasheria mkuu wa serikali anaweza kushitakiwa na mawakili wa serikali wafanyakazi wake?
jamaa mmoja mwanasheria kasema inawezekana werema kushitakiwa na sio tu na mawakili wa serikali au pccb, bali hata private prosecutors.
how? yaani mtu yeyote under criminal procedure Act, section 97 kama sikosei, mfano TUNDU LISU au wakili yeyote anaweza kuanzisha charges against any person before the court. hivyo kama hawatashitakiwa na serikali kumbe hata wananchi wanaweza kuwashitaki.