Zitto: Tumependekeza kumvua ujaji Mh. Werema

Zitto: Tumependekeza kumvua ujaji Mh. Werema

Mchakato inapitia kwenye chombo kinaitwa "Judicial Sefvices Commission" ambako Attorney General ni member. Unaishia kwa rais. Wote lao moja.

Kwa higo no kama unawapa washikaji zake Werema keaibya Werema katika jopo ambalo Werema naye yumo ajihukumu mwenyewe au aji excuse ahukumiwe na rafiki zake.

Soma ibara ya 112 ya katiba kuhusu disciplining judges.

Kwa kuongezea hapo, Ibara ya 113(1)(b) inasema kuwa "madaraka ya kudhibiti nidhamu ya watu hao [majaji] na madaraka ya kuwaondoa kazini yatakuwa mikononi mwa Tume ya Kuajiri iliyotajwa katika ibara ya 112 ya Katiba hii." Hata kama tuki-avoid the independent of the judiciary, mapendekezo ya PAC yatabakia kuwa mapendekezo.

Nakumbuka miaka ya 1990, jaji Moses Mwakibete alifukuzwa ujaji kwa tuhuma za kuchukuwa rushwa (see Mwakibete v Principal Secretary & AG, civil Appeal No.27 of 1992). Mwakibete alishindwa kesi not on substance, but on technicalities, ie. preliminary objection kutoka kwa AG. Halafu alijifanya mjanja akaenda mahakamani kujitetea mwenyewe badala ya kuweka lawyer. The fact that you a lawyer doesn't mean that you can defend yourself in court. Angeweka laywer angeshinda kesi tena kiulani

An extract from the case with emphasis hapo kwenye red.

The appellant Moses J. Mwakibete was appointed as judge of the High Court of Tanzania in 1973pursuant to the recommendations of a Commission appointed by the president under Article 110 (5) (a) of the constitution of the United
Republic of Tanzania he was removed from the office of judge on 15th May 1991

The decision to remove the appellant from that office was communicated to him by a letter from the Principal Secretary (Establishments) in short P.S Estabs) MUF3/33/310/390 of 24th May 1991 (hereinafter referred to an An) that was made u.f.s. the chief justice (C.J) who inetinled it on 3rd June 1991 That letter in part read as follows: Nimeagizwa nikuarifu kuwa Rais chini ya Ibara 110 (5) )6) na (7) ya katibu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amekuondoa katika kazi ya Ujaji kwa kukustaafisha kwa manufaa ya umma........

Provision concerning removal from office of judge are contained in Article 110 (5) to (8) of the constitution. When the issue of removal from office of judge arises, the president appoints a commission to inquire into the matter and advise him whether the Judge ought to be removed from office. Where the Commission advises the president that a judge ought to be removed from office then the president is obliged to do so. The effective date of removal is the date when the president makes the decision to remove the judge from office.............

During the month of April 1991 the appellant appeared before the Commission appointed under Article 110 (6) of the Constitution to investigate the question of removing him from the office of judge. On the 4th June 1991 the appellant received a letter dated 24th May 1991 from P.S (Esbabs) (Annex A) informing him that the president had removed him for the office of judge by retiring him in the public interest as provided under Article 110 (5) (6) and (7) with effect from 13th May 1991. That letter (Annex A) was replaced by another letter dated 21st February 1992 from the chief secretary (Annex D) which stated that the appellant had been removed from the office of judge with effect from 13th May, 1991...........

The appellant also contended that Annex D.1 should not have been admitted because it was a manifestation of the Executive interfering with the judiciary. His he warned was an encroachment on the constitutional doctrine of the separation of powers.........

There is one other issue on which we wish to express our feelings and that is the manner I which this whole matter was handled. According to the appellant the whole matter starred with an announcement on Radio Tanzania Dar es Salaam on 13 March 1990 that president Mwinyi had suspending the appellant from his office of judge on ground of suspected corruption and that he had appointed a commission to investigate the matter. This announcement was also carried by the Daily News and Uhuru newspapers on 14th March 1990. According to the appellant the commission to investigate the allegation was not appointed until March 1991 a year later.

If this contention is true then the purported suspension was clearly unlawful. According o Article 110 (8) of the constitution a judge is only suspended from performing he functions of his office after the question of removing him from office has been referred to a commission appointed until March 1991 the March 1990 purported suspension was unlawful. It is most regrettable that such an irregularity was allowed to occur. .......

The tardiness with which the question of the appellants removal from office was dealt with after the commission's recommendation also leaves a lot to be desired. Apparently the Commission submitted its recommendation regarding the appllant's removal from office before the 13th May 1991 the appellant was informed of the decision on 24the May 1991. The appellant was informed of the decision on 24th May 1991 vide Annex A............

We feel that this matter could have been attended to in a more expeditious manner and could have been handled more carefully considering that it involved the very livelihood of a public official and a very senior official at that a judge of the High Court we can only express our hope that in future the strict letter of the constitution and the law will be followed and that matters of that sort will be handle more diligently.

That not withstanding the appeal is dismissed the preliminary objection was properly upheld and the application by the appellant was rightly struck our. Further, the cross-appeal is allowed to the `extent that the appellants is no longer a person in the RRR.. of the united Republic for 13th My 1991 but that he is to have his pension with effect from that date we make not order as to costs. It is so ordered.

Full case at http://www.mawallainitiatives.com/1.A compilation of cases on judicial review.pdf kuanzia page 357

cc Gamba la Nyoka
 
Last edited by a moderator:
Mmependekeza kwa nani zitto?naona sasa tumewasifia vichwa vimekua vikubwa mnataka mpaka kujaribu kuuingiza ulimi piano- haiwezekani hiyo kitu,nyie PAC ni wabunge tu,mnao uwezo wa kupendekeza kumvua mkurugenzi wa shirika lolote lile mlipendalo ukurugenzi,hayo ni maeneo yenu ya kujidai lakini sio mahakamani,jaji ni mtu wa mahakama,sasa mahakama na bunge wapi na wapi,acheni hizo bana aaaah!

inasikitisha watu kama wewe mnashabikia WEZI huku ndugu zetu wakifa mahospitalini kwa kukosa dawa! it is so shameful.
 
Kuna utaratibu wa bunge kumvua ujaji jaji?

Zitto anaelewa process ya kumvua ujaji jaji Tanzania (in any case) ilivyo cumbersome?

Hii si mihimili miwili tofauti ya dola? I am hoping he is not talking about bunge kunvua ujaji jaji.
Umesoma thread vizuri? Amedai PAC wamependekeza Werema avuliwe Ujaji. Au haujui maana ya "kupendekeza?"
 
Kama sio chai za siasa za tz hakika historia tz itaandikwa kwa kuwafunga wezi vigogo,hongereni PAC.
 
Umesoma thread vizuri? Amedai PAC wamependekeza Werema avuliwe Ujaji. Au haujui maana ya "kupendekeza?"

Umeaoma mtiririko wa posts zangu na majibu kwa watu walioleta swali lako?

Umeuliza swali ambalo lishajibiwa kwa kirefu.

Mimi ndiye wa kukuuliza wewe sasa.

Umesoma thread vizuri?
 
Hii ya kumvua Uprofesa huyu anayeitwa MUHONGO, nadhani wachina wanaweza kutusaidia. wana track-record ya kuwapa watu uprofesa, sidhani watashindwa kuwavua wengine. Sidhani kama watahitaji Tembo wengi saana kwa kazi ndogo kama hiyo.

Dahh WWW noma mbavu zangu mimi
 
Siku zote cheo ni dhamana na hata Salio hugeuka kuwa njaa. Lazma km kweli sheria hazibagui wasikini tu hapa ndo pakurudishia heshima ccm kwa wa tz, kamata, filisi na weka ndani.
 
Who has so little hope in Zitto?

Is pointing out factual hurdles in the approach having so little hope in Zitto?

Why should I concentrate on personalities instead of institutions and processes?

Realy? wewe Kiranga ,you do concentrate kwenye institutions.....???....For the sake of kubisha you are right
 
Last edited by a moderator:
Akihojiwa na mwandishi wa Tanzania Daima, mh. Zitto amesema PAC IMEPENDEKEZA

1. Kuanza mchakato wa kumvua UJAJI MH. WEREMA

2. Kumfikisha mahakamani

3. Wote waliohusika kuwajibishwa kulipa na kisha kupelekwa mahakamani.

Mh. Zitto amedai hii haiwezi kuisha kama EPA,lazima wahusika wafike mbele ya sheria.
Issue isiishie kwa Werema tu,list ni ndefu sana ya waliohusika.Bado waliopewa za PAP ambao hao ndio mapapa,nao wawajibishwe ipasavyo.
 
inasikitisha watu kama wewe mnashabikia WEZI huku ndugu zetu wakifa mahospitalini kwa kukosa dawa! it is so shameful.
Ni wapi nilishabikia hao wezi kwenye comment yangu uliyoirejea?isome tena kisha uniombe radhi hata kimyakimya inatosha
 
Zitto hajasema kama bunge ndio litamvua ujaji bali kamati imependekeza avuliwe ujaji, ikimaanisha kuwa taratibu zinazohitajika zifuatwe. hiki si kitu kigumu ilimradi ikionekana amekiuka misingi ya kazi yake inawezekana. itaundwa tume maalum na rais ilikuchunguza endapo vitendo hivyo vinavunja misingi hiyo na ikithibitika basi tume hiyo hutoa mapendekezo ambayo rais analazimika kuyafuata.
 
Kiranga;Wahusika kina nani?

Ulishawahi kusikia mtu kavuliwa ujaji Tanzania maisha yote ya nchi hii?

Hapa kuna kitu kinaitwa "independence of the judiciary". Mahakama haipelekwi pelekwi kwa amri za bunge tu.

Wahusika ni majaji. Habari nzima kuanzia bungeni tu ishaleta doa. Kuna technicalities kibao za checks and balances hapo, halafu kuna precedent ambayo majaji hawatataka kuiweka.

I give you 95% chance that will not happen.

Ingawa kiukweli kauli za Werema bungeni tu zilitosha kum disbar. Let alone hayo ma scandal.
Kiranga;Wahusika kina nani?

Ulishawahi kusikia mtu kavuliwa ujaji Tanzania maisha yote ya nchi hii?

Hapa kuna kitu kinaitwa "independence of the judiciary". Mahakama haipelekwi pelekwi kwa amri za bunge tu.

Wahusika ni majaji. Habari nzima kuanzia bungeni tu ishaleta doa. Kuna technicalities kibao za checks and balances hapo, halafu kuna precedent ambayo majaji hawatataka kuiweka.

I give you 95% chance that will not happen.

Ingawa kiukweli kauli za Werema bungeni tu zilitosha kum disbar. Let alone hayo ma scandal.
Ndiyo shida yako wewe bwana mdogo me huwa nakwambiaga wewe ni mediocre huwa huamini,haya sasa kuna judge anaitwa Moses Mwakibete alishawahi kuvuliwa Ujaji na mzee Mwinyi kwa kashfa ya Kupolea rushwa shillingi laki Mbili miaka ya 92 na huyu mzee alikuwa ni incharge kanda ya kusini.
Na pili dogo usome vizuri Constitutional law siyo unaleta story with such foolish Fancy words,...The Doctrine of Parliamentary Supremacy asserts that Bunge the Parliament can oust any leader na ukumbuke Raisi ni Part ya Bunge na Bunge lina Sehemu Mbili nayo ni Nationala Assembly na The President this is per Article 62 of THE URT CONSTITUTION,sasa wewe unavyosema kwamba bunge halina mamlaka nina wasiwasi na Legal methods zako,.Na pili ukumbuke Tanzania we don't implement the strict Doctrine of Separation of powers and No where in the world you will find that rather We have CHECKS and BALANCES,..hivi do you remember The WATERGATE SCANDAL WEWE?ulikuwa hujazaliwa that time kid lakini ndiyo ulikuwa mfano halisi wa Constitutional Law miaka hiyo,....HALAFU USIPENDE KUPOTOSHA SOMA SHERIA,.tena the Jurisprudence of the law maaana ndiyo shida ya malay man kuvamia field na kujifanya unajua,...Silly SOPHIST
 
Kama kumbukumbu zangu ziko sawa ni Jaji Mwakibete tena nilikuwa nikisoma na mtoto wake akiitwa Gomoka hapa Arusha.

Kwa nini humtaji jina wakati watu tunaangalia precedent?

While I would like to see Werema disciplined, I know a "dua la kuku" when I see one.

Kama maamuzi ya mwisho ni ya Kikwete, sahau any disciplinary action, sana sana Werema atajiuzulu tu.

Tanzania Andrew Chenge mzee wa vijisenti Jersey Island ndo mkuu wa madili CCM, unategemea nini?

Wananchi wenyewe wanaotaka Werema avuliwe ujaji hata kutupa jina la jaji aliyewahi kuvuliwa ujaji wanaogopa.
 
Kuna utaratibu wa bunge kumvua ujaji jaji?

Zitto anaelewa process ya kumvua ujaji jaji Tanzania (in any case) ilivyo cumbersome?

Hii si mihimili miwili tofauti ya dola? I am hoping he is not talking about bunge kumvua ujaji jaji.

Kuisimamia serikali ndiyo kazi kuu ya bunge.unashangaa nn!
 
Back
Top Bottom