Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 88,444
- 154,933
Kama kumbukumbu zangu ziko sawa ni Jaji Mwakibete tena nilikuwa nikisoma na mtoto wake akiitwa Gomoka hapa Arusha.
Kuna mkuu mbabe wa mambo ya sheria hapa EMT kaweka analysis na mpaka link ya habari za hiyo kesi, na sababu ya Mwakibete kushindwa.
Ukiisoma utaelewa nilichosema.
Bottom line ni kwamba, unless Kikwete aone ni politically convenient kumfanya Werema bangusilo, this process is a non starter.
Halafu kwa nini tumshikie bango Werema tu wakati takriban nusu ya uongozi wa kitaifa wa serikali ya sasa, kuanzia rais mpaka mawaziri, mpaka watu waliostaafu na kutoka serikalini miaka kadhaa kina Kimiti na Yona wamepata mgao?
Last edited by a moderator: