ferre.g
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 2,215
- 329
We nawe michosho kweliunaowashabkia wanapiga hela we upo uko unamenyeka tu kuwatetea..
We nawe michosho kweliunaowashabkia wanapiga hela we upo uko unamenyeka tu kuwatetea..
Government never..... Haitoi ujaji mkubwa rudi shule kasomeKwani aliyempa ujaji ni nani? Bunge au Serikali?
anyway kwa serikali hii? labda ingekuwa SOMALIA!!
We nawe michosho kweli
Mamlaka husika ni mahakama. Majaji.
Hawawezi kumvua mwenzao ujaji. Kuna ma loopholes kibao hapo. Kuna ma precedent hawataki ku set, just in case yanaweza kuwarudia na wao wenyewe.
Kuna ma issue ya politics za turf, separation of powers, checks and balance, independence of the judiciary.
Kwa case ya mahakama kuu hata rais mwenyewe kumuondoa jaji ni kizungumkuti.
zitto atatuumizaje kwani yeye ni nani wewe endelea kutetea wafu wenzako tuu
mbunge wa Arusha mjinilema ndo nani?
UKAWA ushindi wa 2015 ni lazimawewe hujuwi lakin kama Waziri mkuu pinda ataenda na maji UKAWA itakuwa imeboost mpango wake 2015 kushika madaraka jamii itahamasika zaidi kuona ni namna gani Ukawa wamefanya kazi kubwa bungeni.
mbunge wa Arusha mjini
Unajiuliza unajijibu,unauliza unajibu mwenyewe...anyway UNAFIKIRI hilo jambo kaamua zito mwenyewe au kamati nzima na kama ni kamati wote hao hawajui taratibu na unafikiri ni hiyo kamati inamvua ujaji..au nini maana ya neno MAPENDEKEZO kwa kichwa chako....Wahusika kina nani?
Ulishawahi kusikia mtu kavuliwa ujaji Tanzania maisha yote ya nchi hii?
Hapa kuna kitu kinaitwa "independence of the judiciary". Mahakama haipelekwi pelekwi kwa amri za bunge tu.
Wahusika ni majaji. Habari nzima kuanzia bungeni tu ishaleta doa. Kuna technicalities kibao za checks and balances hapo, halafu kuna precedent ambayo majaji hawatataka kuiweka.
I give you 95% chance that will not happen.
Ingawa kiukweli kauli za Werema bungeni tu zilitosha kum disbar. Let alone hayo ma scandal.
Werema anastahili kunyongwa mpaka kufa.
kwani utaratibu wa kumvua mtu ujaji ukoje?
historia ya nini tena mkuuitakua historia 2015
Unajiuliza unajijibu,unauliza unajibu mwenyewe...anyway UNAFIKIRI hilo jambo kaamua zito mwenyewe au kamati nzima na kama ni kamati wote hao hawajui taratibu na unafikiri ni hiyo kamati inamvua ujaji..au nini maana ya neno MAPENDEKEZO kwa kichwa chako....Kuna utaratibu wa bunge kumvua ujaji jaji?
Zitto anaelewa process ya kumvua ujaji jaji Tanzania (in any case) ilivyo cumbersome?
Hii si mihimili miwili tofauti ya dola? I am hoping he is not talking about bunge kunvua ujaji jaji.
Mamlaka husika ni mahakama. Majaji.
Hawawezi kumvua mwenzao ujaji. Kuna ma loopholes kibao hapo. Kuna ma precedent hawataki ku set, just in case yanaweza kuwarudia na wao wenyewe.
Kuna ma issue ya politics za turf, separation of powers, checks and balance, independence of the judiciary.
Kwa case ya mahakama kuu hata rais mwenyewe kumuondoa jaji ni kizungumkuti.
I adressed this futile eventuality subsequently.
The futility lies in the insurmountable uphill battle, riddled with legalistic loopholes, hairy "independence of the judiciary" matters and cumbersome "checks and balance" quagmires.
In addition, the sequence is wrong. If the move is to be considered, wven theoretically, the sequence ahould be to try Werema, find him guilty, then initiate the process of disbarring him. Not disbarring him and then trying him.
Unajiuliza unajijibu,unauliza unajibu mwenyewe...anyway UNAFIKIRI hilo jambo kaamua zito mwenyewe au kamati nzima na kama ni kamati wote hao hawajui taratibu na unafikiri ni hiyo kamati inamvua ujaji..au nini maana ya neno MAPENDEKEZO kwa kichwa chako....
Then,kuna UGUMU gani wa kumvua mtu cheo chake cha elimu ikionekana ametenda kinyume na kiapo chake,au hujui huwa wanaapa? na kama wanaapa ulifikiri ni kwa ajili ya nini kile kiapo anapopwa UJAJI..ni kupoteza muda???