Zitto: Tumependekeza kumvua ujaji Mh. Werema

Zitto: Tumependekeza kumvua ujaji Mh. Werema

Ahaaaha badala ya kuwanyonga?!
Mahakaman kufanya nini tena!
 
Hili linaweza kumrudisha zitto kwenye ubora wake
 
Hiyo kazi itafanywa na wahusika kwa kufuata utaratibu na pia kwa kuzingatia ushauri wa bunge.
Tatizo ni pale wananchi watakapokuwa wamemshika Mwanamke mzinifu na kumfikisha mbele ya Yesu Kristo na kusema "Bwana, huyu amekamatwa akizini na sheria za Musa zinasema atakayekamatwa akizini apigwe mawe hadi kufa!" Hapo ndipo sauti mzito mithili ya radi itakapotokea na kusema "anayejiona hana dhambi miongoni mwenu na aanze kumrushia jiwe!" Niishie tu kusema sijui ni nani miongoni mwa hao "wahusika" anaweza kuanza kurusha jiwe!!
 
Nani pro huyu wetu au aah jakaya hawezi hathubutu na hatweza kumfuta yoyote magogoni yeye mwenyewe kawekwa tu hana ujanja baba pale magogoni kuna wenyewe si jakaya tafadhali usiharibu hali ya hewa

Kwa hiyo unataka kutuaminisha waliyomweka Prof wa Kichina madarakani ndiyo waliyokwiba fedha za UMMA?:confused2::confused2::confused2:
 
halafu wewe hukupata chochote huko manake naona siku hizi umeanza kuwageuka magamba wenzio

akili hii si yakawaida, maana mtu wa kawaida hawezi kufikiri kama wewe. naona hata chizi hajafika hatua hiyo.
 
wakuu sasa naanza kupata akili kama ile rasimu ya katiba ya warioba ingepita tungeweza kuja kudhibiti baadhi ya haya madudu huko mbeleni ila kwa kuwa imepita yao nategemea madudu kama haya kutokea tens siku za mbeleni.
 
Tunachohitaji ni serious systemic changes ili kuondoa vyanzo vya ufisadi, uongozi mbovu, sheria mbovu nk katika mihimili yote mitatu inayoongoza na kusimamia nchi hii.

Bila kubadili mfumo, watajiuzulu mawaziri na mawaziri, watakaokuja tena watafanya yale yale.

Wameshajiuzulu mawaziri kadhaa hadi sasa kwa kashfa za ufisadi, tazama kinachotokea tena
 
wakuu sasa naanza kupata akili kama ile rasimu ya katiba ya warioba ingepita tungeweza kuja kudhibiti baadhi ya haya madudu huko mbeleni ila kwa kuwa imepita yao nategemea madudu kama haya kutokea tens siku za mbeleni.

Point.
 
jambo hilo likitokea ndio nitaipigia ccm kura. la sivyo, nitabaki kama zamani.
 
kuna fununu kuwa wale wote ambao pesa zimepitia kwenye account zao kitu ambacho ni ushahidi tosha usiofutika labda bank yenyewe ifutike. nimejiuliza, mwanasheria mkuu wa serikali anaweza kushitakiwa na mawakili wa serikali wafanyakazi wake?

jamaa mmoja mwanasheria kasema inawezekana werema kushitakiwa na sio tu na mawakili wa serikali au pccb, bali hata private prosecutors.

how? yaani mtu yeyote under criminal procedure Act, section 97 kama sikosei, mfano TUNDU LISU au wakili yeyote anaweza kuanzisha charges against any person before the court. hivyo kama hawatashitakiwa na serikali kumbe hata wananchi wanaweza kuwashitaki.

Lakini ni mpaka upate kibali kwa DPP au mahakamani kama sikosei. Kumbuka kesi ya Mh. Chitalilo kudanganya elimu yake. Waendesha mashtaka binafsi walikwama baada ya kunyimwa kibali. Utaratibu wa kutumia private prosecutor ni mgumu sana.
 
kuna fununu kuwa wale wote ambao pesa zimepitia kwenye account zao kitu ambacho ni ushahidi tosha usiofutika labda bank yenyewe ifutike. nimejiuliza, mwanasheria mkuu wa serikali anaweza kushitakiwa na mawakili wa serikali wafanyakazi wake?

jamaa mmoja mwanasheria kasema inawezekana werema kushitakiwa na sio tu na mawakili wa serikali au pccb, bali hata private prosecutors.

how? yaani mtu yeyote under criminal procedure Act, section 97 kama sikosei, mfano TUNDU LISU au wakili yeyote anaweza kuanzisha charges against any person before the court. hivyo kama hawatashitakiwa na serikali kumbe hata wananchi wanaweza kuwashitaki.

Akafungwe tu,tumecmchoka
 
bora ya hao ambao hawakusoma kbs manake hawaelewi lolote kuliko unaeelewa elimu ni ukombozi alafu aliye soma anaitwa dr.prof. leo wanaiba mabilion kusoma kunataswira gani kwako si heli ya wasio soma hawaibi cha mtu wanaangaika na maisha yao tu yakiwa magumu sana wanajinyonga
 
Back
Top Bottom