Zitto: Tumependekeza kumvua ujaji Mh. Werema

Zitto: Tumependekeza kumvua ujaji Mh. Werema

If anything this is more of a political activism move to register a stand than actually wanting to remove Weremas judgeship.
 
how on the earth the parliament can have such a mandate? is this statement real from Zitto? i have read the constitution i dont see any where as such where it stipulates that the parliament has such powers.
 
Wakifanikiwa kumvua ujaji professa akirudi kutoka marekani anateua majaji wengine 100 kwa hasira. Hapana chezea profesa

Mimi nimekuwa nikisema hixi jabari za kutaka watu wajiuzulu ni myopic.

Lowassa kajiuzulu tumepewa Pinda, naye kapinda.

Tunafanya nini kipya zaidi ya watu kujiuzulu tu?

Nashukuru kama wameanza kuongea habari za kuwashitaki watu. Mtu mwingine akiona kuna habati za jela anaweza kifikiri mara mbili kabla ya kuiba au kuruhusu wizi.
 
kwani utaratibu wa kumvua mtu ujaji ukoje?

Mchakato inapitia kwenye chombo kinaitwa "Judicial Sefvices Commission" ambako Attorney General ni member. Unaishia kwa rais. Wote lao moja.

Kwa higo no kama unawapa washikaji zake Werema keaibya Werema katika jopo ambalo Werema naye yumo ajihukumu mwenyewe au aji excuse ahukumiwe na rafiki zake.

Soma ibara ya 112 ya katiba kuhusu disciplining judges.
Gamba la Nyoka soma ibara ya 110 kifungu cha 6a hadi ibara ya nane....(6) Iwapo Rais anaona kuwa suala la kumwondoa Jaji kazini lahitaji kuchunguzwa, basi katika hali hiyo mambo yatakuwa
ifuatavyo:-
(a) Rais atateua Tume ambayo itakuwa na Mwenyekiti na Wajumbe wengine wasiopungua wawili. Na huyo Mwenyekiti na angalau nusu ya Wajumbe wengine wa Tume hiyo itabidi wawe watu ambao ni Majaji wa Mahakama Kuu au mahakama ya Rufani katika nchi yoyote iliyomo kwenye Jumuiya ya Madola.(b) Tume hiyo itachunguza shauri lote halafu itatoa taarifa kwa Rais kuhusu maelezo ya shauri lolote na itamshauri Rais kama huyo Jaji anayehusika
aondolewe kazini kwa mujibu wa masharti ya ibara hii
 
Last edited by a moderator:
zzk namkubali anapiga kazi sio km babu na dj kuropoka tu.

[h=3]''WAPAMBE WAMETUFITINISHA NA MBOWE" ZITTO KABWE[/h]
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe ameeleza tofauti yake na mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, akisema imesababishwa na watu aliowaita wapambe.

Lakini katika mahojiano na Mwananchi yaliyofanyika wiki iliyopita nyumbani kwake Masaki jijini Dar es Salaam,​
Zitto alionekana kujutia kuharibika huko kwa uhusiano wao na kusema “wapambe ndiyo wanatugombanisha”.

“Naumia sana,
​
lakini naamini ipo siku ama nikiwa hai au nimekufa watu wataujua ukweli,” alisema mwanasiasa huyo kijana aliyepata umaarufu kutokana na uwezo wake wa kujenga hoja.

“I real miss that (nakumbuka sana). ​
Naumia sana,​
mimi leo sina maelewano na watu ambao tulikuwa nao katika mapambano. Lakini nasononeshwa zaidi na kitu kinachoendelea ndani ya Chadema.

“Kukatokea vurugu, baadaye nikasema naondoka. Ile nataka kutoka wabunge wakanizuia mlangoni nisipite, waliponizuia nilikuwa na hasira sana, nikawaambia lazima nitoke. Waliponizuia hasira zikanipanda nikaanguka chini nikalia sana, yaani sana” alisema akionekana mwenye hisia huku machozi yakimlengalenga.
Kwa mujibu wa Zitto, jioni ya siku hiyo walijikuta wamekaa meza moja na Mbowe na baada ya kuzungumza waligundua kuwa walikuwa wamelishwa maneno.

​
 
Siyo kwamba haiwezekani, japo ni ngumu. Itawezekana tu kama wananchi na wabunge watakuwa wamedhamiria hasa. Kinachoweza kufanyika ni kama kumpa Rais ultimatum - Kumwambia Rais kuwa kama huwezi kumvua ujaji Werema, Bunge litapiga kura ya kutokuwa na imani na wewe. Hilo ni gumu sana wabunge wa CCM kukubali, japo wachache wanaweza kujaribu ili angalao kumwingiza Kikwete katika historia kuwa alikuwa Rais wa kwanza wabunge kumtaka aondoke, kitu ambacho Kikwete hatataka.

Apparently you do not understand what a rhetoric question is.

Kama hujaelewa nikichoandika, ni kwamba, huwezi kupeleka kesi ya mwizi kwa wezi wenzake ukafikiri atahukumiwa.

Habari ya Werema kuvuliwa ujaji itaanzia kwenye jopo la majaji ambalo Werema mwenyewe ni member (kama AG), itaishia kwa Kikwete.

Unategemea nini hapo?

Wakati Kikwete na Werema wameiba pamoja.
 
Siyo kwamba haiwezekani, japo ni ngumu. Itawezekana tu kama wananchi na wabunge watakuwa wamedhamiria hasa. Kinachoweza kufanyika ni kama kumpa Rais ultimatum - Kumwambia Rais kuwa kama huwezi kumvua ujaji Werema, Bunge litapiga kura ya kutokuwa na imani na wewe. Hilo ni gumu sana wabunge wa CCM kukubali, japo wachache wanaweza kujaribu ili angalao kumwingiza Kikwete katika historia kuwa alikuwa Rais wa kwanza wabunge kumtaka aondoke, kitu ambacho Kikwete hatataka.

Hata mimi sijasema haiwezekani.

Hata kupita kwenye ukuta wa matofali bila kuchubuka inawezekana, but how likely is that in a practical sense?

Nani wa kumpa rais ultimatum Tanzania?

Bunge lenyewe limejaa the likes of John Komba.
 
Kiranga ni kweli sio rahisi kuvuliwa lakini inawezekana, mambo yanabadilika nani alitegemea Lowassa angejiuzulu u PM.
 
Kiranga ni kweli sio rahisi kuvuliwa lakini inawezekana, mambo yanabadilika nani alitegemea Lowassa angejiuzulu u PM.

Hata maji kupanda mlima inawezekana.

Lowassa alijiuzulu mwenyewe kwa kutaka, lakini hakulazimika.

Mshitakini Werema kwanza, muone kama mnaweza kupita hiyo hurdle, then mnajenga plausibility ya kumvua ujaji.

By the way Kikwete ana mwaka mmoja tu, na kashasema hataki kianza kitu kipua. Na nina shaka kama rais mpya hatataka kuanza na ukurasa mpya.
 
Jaman hiv report ikisomwa jtano mtabadili maneno yenu au lah? Am proud of werema na naamin report itaonyesha ni namna gani alivo makin kuishauri serikar maana hakuacha ata chembe ya taratibu zakisheria..sasa mie nasubir jtano then ttashauri jukwaa la siasa mods wajaribu Ku weigh nan anaweka nn, amekifanyia utafiti? Ni viable kwa wanajamvi? Sasa Kama unasema zitto kasema kapendekeza werema avuliwe u judge unatoaje mapendekezo bila kutuambia report imem convict wapi na kwa mapungufu yapi yalioonekana
 
Taratibu gani hizo za kisheria?

Kuita wabunge tumbili bungeni?
 
Kuna utaratibu wa bunge kumvua ujaji jaji?

Zitto anaelewa process ya kumvua ujaji jaji Tanzania (in any case) ilivyo cumbersome?

Hii si mihimili miwili tofauti ya dola? I am hoping he is not talking about bunge kunvua ujaji jaji.
Kumvua Ujaji mwizi ni kama kumsukuma mlevi.
Nyerere alikuwa akiwatandika viboko watu wa aina hiyo.
 
Back
Top Bottom