Kuna utaratibu wa bunge kumvua ujaji jaji?
Zitto anaelewa process ya kumvua ujaji jaji Tanzania (in any case) ilivyo cumbersome?
Hii si mihimili miwili tofauti ya dola? I am hoping he is not talking about bunge kunvua ujaji jaji.
zzk namkubali anapiga kazi sio km babu na dj kuropoka tu
akihojiwa na mwandishi wa tanzania daima mh zito amesema PAC IMEPENDEKEZA
1. kuanza mchakato wa kumvua UJAJI MH WEREMA
2. kumfikisha mahakamani
3.wote waliohusika kuwajibishwa kulipa na kisha kupelekwa mahakamani
MH ZITO AMEDAI HII HAIWEZI KUISHA KM EPA LAZMA WAHUSIKA WAFIKE MBELE YA SHERIA.
Kuna utaratibu wa bunge kumvua ujaji jaji?
Zitto anaelewa process ya kumvua ujaji jaji Tanzania (in any case) ilivyo cumbersome?
Hii si mihimili miwili tofauti ya dola? I am hoping he is not talking about bunge kunvua ujaji jaji.
Najua kwakuwa Werema ni mwanasheria mtaalam, hataonewa kipuuzipuuzi. Ila hoja ya msingi ni kutujulisha sisi wakulima ukweli kuhusu umiliki wa fedha za escrow. Je ni za umma? Kwa vigezo vipi? Si za umma? Napo ni kwa vigezo vipi. Msitupe mapendekezo kabla ya kujibu hoja za msingi.
But najua zitto na Deo ni watu makini. Naamini hawatayasahau haya
Unapotaka kujua kama ni fedha za umma au sio za umma ungejiuliza kwanza TANNESCO ni shirika la nani ukipata jibu nafikiri upumbavu uliojipachika utauondoa.
sijui ni bange au ndo ulivyo tu... Unaandika halafu unajikomenti mwenyewe... Nway, tupe link ya hiyo habari.. Sina imani sana kama Zito anaweza kuanza kuropoka mtaani hivyo.. Kama ni kweli basi hiyo ripoti ni tofauti na matarajio ya wengi.
"Kuanza mchakato wa kumvua ujaji" inawezeka wakapeleka pendeko la kuvuliwa ujaji kwa tume ya mahakama au chombo chenye mamlaka ya kumvua mtu ujaji
#Kiranga .....
Watapendekezaaaaaaaa.....watapendekezaaaaaaa....avuliwe ujaji....!!!!!!!
So mamlaka husika they will weigh-in kuangalia if possible.....ila sio bunge...!!!!
Kirangaaaaaaaaa......!!!!
Post za hii issue zimekuwa nyingi sana,na zinatoka sources tofauti - kiasi zingine zinalenga kuonyesha hili suala ni la kawaida tu! I better wait taarifa rasmi hapo mjengoni,though napo naona matarajio hayatafikiwa
zitto atatuumizaje kwani yeye ni nani wewe endelea kutetea wafu wenzako tuuZitto anaweza akawaumiza chadema kwenye hili jambo kwama matarajio yetu ni haya alafu akaja kuboa kwenye hiyo ripoti, lakini kama ikiwa ni kama tunavyoongelea basi atarudi chadema asihofu, atakuwa amesaidia juhudi za UKAWA
Yericko kaza uzi hadi B7 wote waombe po!nikiliona jina lako najisikia kwenda msalani
zitto atatuumizaje kwani yeye ni nani wewe endelea kutetea wafu wenzako tuu
Yericko kaza uzi hadi hadi waombe poo!
zzk namkubali anapiga kazi sio km babu na dj kuropoka tu