dah! Jamani inamana huyu zitto rafiki wa ben sanane hata hiyo nafasi yake ya umakamu katibu mkuu wa chama hatagombea? Pia ina maana atakuwa ni mwanchama wa kawaida?
But kwa yeyote yule anayependezwa na mienendo ya zitto na kundi lake la wakina Ben sanane yani wazee wa Radical change BASI NI MUASI NA HANA MAPENZI MEMA NA CHADEMA PAMOJA NA TAIFA.
.HAKYA MUNGU NAAPA MAMA YANGU MZAZI ! KWANI VIJANA HAWA WENYE VIBURI NA DHARAU NI JANGA KWA TAIFA KWANI WANATUHAIBISHA SISI VIJANA WENZAO.
Nimesikitika sana kujua/kugundua kuwa wewe ni kijana.......
Siyo lazima kila thread hapa JF uchangie.
wewe huna sifa za kuwa mwana-chadema kwani haupo accontable na chama kabisa, mshabiki wa siasa za makundi na most of the time una -spend kuonyesha jeuri yako humu na wa2 tunazidi kukusoma ze way ur, unampenda san Zitto kwa sababu tabia mnafanana, unapenda sana totoz so hata ukiwa mbunge unaweza kusaliti jimbo kwa ajili ya toto mmoja 2 , wakati sis wenzako tukijaribu kuwasilisan na viongoz wa chama na kuwapa mbinu nzuri za kulinda kura arumeru but wewe upo unakula bata 2, wenzako wakina heche na mnishi wapoa arumeru but ww upo fcbk 24 hrs unachat alafu unategemea eti chama kipitishe jina lako ktk uchaguz wowote ule!
Nimekufatilia san humu JF na post zako za kukashifu viongozi wako wa upinzani eti hawana tofauti kwani wote ni vibaraka wa wazungu alfu una mchukulia zitto kam ndo mungu wako na wengine ni malofa.
MOVEMENT 4 RADICAL CHANGE ndo itakayo tumika ku-scan virus wote CDM kama ww Ben.
Shardcole,
Unateseka bure.Ukifanya kazi ya kunifuatilia mbona utapata ugonjwa wa moyo. Tumia muda wako vizuri,kama unanifuatilia mimi na kujiaminisha kwamba unajenga chama basi unatumia muda wako vibaya.Chama ni Taasisi siyo Ben Saanane au mtu mwingine yeyote.
Unaonyesha ulivyo na fikra za ajabu kutaka kutuonyesha chadema kuwa tuko desparate sana hadi kila mtu awe Arumeru.
Arumeru kuna vijana wanafanya kazi,kwenye chaguzi za madiwani kuna vijana wanafanya kazi.Njoo leo kirumba Mwanza kama unadhani ni lazima kila mtu awe eneo ambalo unataka.Njooni kirumba tufunge kampeni
Kuhusu facebook na mitandao,inakuumiza nini mimi kuwa kwenye mitandao?Nikipata muda au ratiba yangu ikikaa vizuri sitaki akili yangu iwe idle ni lazima nibadilishane mawazo na watu kutoka kona mbalimbali za dunia(Ila masaa 24 facebook tena? ha ha haa,Hillarious). Kwa mara ya kwanza JF nimejikuta najibu post ya kijinga kama hii
Naomba uonyeshe post hata moja niliyotukana viongozi wangu wa upinzani.Onyesha mahali nilikomtukana kiongozi specific kwa jina lake .Vinginevyo huu ni muendelezo wa hisia za kutojiamini na kutaka kulazimisha watu waseme unachotaka/mnachotaka kusikia
Nawaheshimu sana viongozi wangu.Heshima ninayowapa viongozi wangu haina ubaguzi.kipimo kile kile ndicho ninachotumia kwa viongozi wote.siwezi kuvumilia au kuwa mnafiki nione mtu anachafua viongozi wa chama changu(kiongozi yeyote yule ndani ya chadema) katika mazingira ya upotoshaji/kumchafua halafu nikaka kimya.Kama hilo unadhani ni jeuri basi wacha niendelee kuwa nayo.Lucky Enough,JF kuna watu wazima,wasomi na wanaojua kuchambua jambo lolote linaloandikwa hapa.
Wiki iliyopita imeaisha watu wakitumia muda mwingi kulalamika kuwa makala ya Zitto inaondoa concentration Arumreu.Niliwauliza Tatizo hapa ni Zitto ama ni sisii tunaoendeleza mjadala ule?watu hawakujibu sasa nifanyeje? Mtu kajibu makala ya mwandishi mwingine,sisi huku nje tunatoa mapovu.Yeyote aliyechangia kwa njia ya mtandao au vyombo vya habari na kutoa maoni juu ya makala ile amechangia kwa kiasi kikubwa kuondoa attention ya uchaguzi wa Arumeru (kama kweli ilikuwa na madhara kiasia hicho)
Nimesikitika sana kugundua kwamba wewe ni kijana mwenye mawazo kama haya katika karne hii.Tunapigania kukomboa vijana kifikra kumbe kazi hii ni ngumu kuliko tunavyofikiria.Ndiyo maana hadi sasa baadhi ya wanasiasa wanajibaraguza kusema juu ya matatizo ya vijana kama vile ajira.Wanajaribu kujijengea Aura ya masiha ajaye huku tukijua wao walisha-mess up na system.Wao ni chanzo cha ukosofu wa ajira.Wanasiasa wa aina hiyo wanataka kuwatumia vijana kama ninyi kama daraja tu.Unashindwa kuhoji ni kwa nini mtu huyu alikuwa kwa mfano waziri mkuu akahusishwa kwenye tuhuma ya kuruhusu mktaba tata ulioligharimu taifa hadi leo suala la ukosefu wa ajira mtu huyo anashindwa kuona uhusiano uliokuwapo kati ya uzembe wake na ukosefu wa ajira.
Wewe kama kijana unashindwa kuhoji haya halafu unajiita mwanachadema?Kama kweli wewe ni mwanachadema basi tambua hatuko vitani baina yetu ila tuna vita dhidi ya sytem mbovu inayozalisha kwa wingi matatizo tuliyo nayo
I pity for this country. We are all being taken for a ride. Tanzania is in a crisis of immense proportions. Some politicians are determined to grab power by all means and if they fail, bring the country down.vijana tunashindwa kuungana kulimamia hili.Tunaingia kwenye bandwagon ya petty politics.Ni aibu iliyoje!