Sofia Simba ndio Rais wetu 2015-2020, hizo nyingine ni ndoto zenu za alinacha.Come what may but don't ban me:
'zito for presidency 2015'
Ujasiri ni kitu muhimu sana. Zitto ni jasiri amesema anachoamini ni sahihi kwake. Anataka chama kimteue agombee urais kama kitaona inafaa. Mwisho wa siku wapiga kura nao wataamua nani wanataka awaongeze kwa kipindi hicho. Zitto hajataja mwaka atakao gombea urais. amesema iwe 2015,2020 au 2025. Sasa wadau kwani mchango wa zitto chadema hauonekani? Hakuna chuo cha kufundisha urais, tunataka rais mwenye utashi, na nia njema ya kuwaongoza wa tz.Hao wengine mnaowafikiria hawajaonesha nia. Timu yenye ushindi huanza maandalizi mapema.ZITTO HAJAKOSEA. DEMOKRASIA YA KWELI ITACHUKUA MKONDO WAKE.
Mgombea urais wa Chadema ni Dr Slaa
Mkuu EMT umeuliza swali la msingi.hata mimi simuelewi alichoimanisha zitto.ndo maana nasema Zitto ni kama kinyonga,period.sasa kwa yeyote mwenye akili timamu anaweza kumshabikia zitto kwenye kugombea cheo chochote potelea mbani uraisi?mtu siyejua au asiyekuwa na uwezo wa kupima au kuchagua maneno ya kuongea hawezi kuwa kiongozi.Mkuu ina maana kwa yeye kuamua kutogombea uongozi wowote Chadema, effectively has joined them? Anadai Sina interest (nia) na sifikirii kama nitagombea uongozi ndani ya chama katika uchaguzi wa ndani wa Chadema mwaka huu, naona timu iliyopo inatosha na inafaa kuendelea kukiongoza chama.
Lakini si ni mingonini mwa watu walio kwenye timu ilioyopo sasa ambayo anaona inatosha? Kwa hiyo akiondoka, timu itaendelea kutosha? Au tusema role yale kwenye timu ya sasa ni kama haipo to the extent kwamba hata asipogombea tena timu mpya itaendelea kutosheleza?
I mean what exactly does he want to convey?
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Zitto Zuberi Kabwe, amesema kuwa hana nia ya kugombea nafasi yoyote ya uongozi ndani ya chama chake katika Uchaguzi wa ndani wa chama hicho unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu.
Zitto aliyasema hayo juzi wakati akizungumza na NIPASHE jijini Mbeya, alikokuwa amekwenda kuongeza nguvu katika kampeni za uchaguzi wa udiwani katika kata ya Kiwira wilayani Rungwe.
Alisema kuwa hana nia ya kugombea nafasi yoyote ya uongozi ndani ya chama hicho kwa sababu anaona timu ya sasa ya uongozi wa chama hicho inatosha na inafaa kuendelea kukiongoza kwa miaka mingine mitano ijayo.
Sina interest (nia) na sifikirii kama nitagombea uongozi ndani ya chama katika uchaguzi wa ndani wa Chadema mwaka huu, naona timu iliyopo inatosha na inafaa kuendelea kukiongoza chama, alisema Zitto ambaye pia ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini.
Alisema ingawa katika uchaguzi uliopita alijitosa kuwania nafasi ya mwenyekiti wa chama hicho, lakini safari hii nafsi yake haimtumi kufanya hivyo kwa kuwa ana imani kuwa uongozi wa sasa unastahili kuendelea kuwa madarakani kwa manufaa na maslahi ya chama na Watanzania kwa ujumla.
Chanzo: Gazeti la Nipashe
Mkuu EMT umeuliza swali la msingi.hata mimi simuelewi alichoimanisha zitto.ndo maana nasema Zitto ni kama kinyonga,period.sasa kwa yeyote mwenye akili timamu anaweza kumshabikia zitto kwenye kugombea cheo chochote potelea mbani uraisi?mtu siyejua au asiyekuwa na uwezo wa kupima au kuchagua maneno ya kuongea hawezi kuwa kiongozi.
It's a vengeful decree designed by maniacal undemocratic characters out there not only to silence freedom of expression and of the youths but also to silence radical movement underway......
Unataka niseme unachotaka kusikia.Ok,Let my signature below,confirm your doubts.It's very clear and loud !
naibu katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo (chadema), zitto zuberi kabwe, amesema kuwa hana nia ya kugombea nafasi yoyote ya uongozi ndani ya chama chake katika uchaguzi wa ndani wa chama hicho unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu.
Zitto aliyasema hayo juzi wakati akizungumza na nipashe jijini mbeya, alikokuwa amekwenda kuongeza nguvu katika kampeni za uchaguzi wa udiwani katika kata ya kiwira wilayani rungwe.
Alisema kuwa hana nia ya kugombea nafasi yoyote ya uongozi ndani ya chama hicho kwa sababu anaona timu ya sasa ya uongozi wa chama hicho inatosha na inafaa kuendelea kukiongoza kwa miaka mingine mitano ijayo.
sina interest (nia) na sifikirii kama nitagombea uongozi ndani ya chama katika uchaguzi wa ndani wa chadema mwaka huu, naona timu iliyopo inatosha na inafaa kuendelea kukiongoza chama, alisema zitto ambaye pia ni mbunge wa kigoma kaskazini.
Alisema ingawa katika uchaguzi uliopita alijitosa kuwania nafasi ya mwenyekiti wa chama hicho, lakini safari hii nafsi yake haimtumi kufanya hivyo kwa kuwa ana imani kuwa uongozi wa sasa unastahili kuendelea kuwa madarakani kwa manufaa na maslahi ya chama na watanzania kwa ujumla.
chanzo: Gazeti la nipashe
Zitto kaona mnataka kumwingiza choo cha kike, mnatukana viongozi wake kwa kum associate na yeye, ndio maana kaona awaachie manyoya nyie muendelee na matusi yenu. Yeye hagombei tena uenyekiti mliokuwa mnautumia kumfarakanisha na Mbowe. For that reason i can say yes Zitto is far.jambo usilolijua! zito is far!!
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Zitto Zuberi Kabwe, amesema kuwa hana nia ya kugombea nafasi yoyote ya uongozi ndani ya chama chake katika Uchaguzi wa ndani wa chama hicho unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu.
Zitto aliyasema hayo juzi wakati akizungumza na NIPASHE jijini Mbeya, alikokuwa amekwenda kuongeza nguvu katika kampeni za uchaguzi wa udiwani katika kata ya Kiwira wilayani Rungwe.
Alisema kuwa hana nia ya kugombea nafasi yoyote ya uongozi ndani ya chama hicho kwa sababu anaona timu ya sasa ya uongozi wa chama hicho inatosha na inafaa kuendelea kukiongoza kwa miaka mingine mitano ijayo.
"Sina interest (nia) na sifikirii kama nitagombea uongozi ndani ya chama katika uchaguzi wa ndani wa Chadema mwaka huu, naona timu iliyopo inatosha na inafaa kuendelea kukiongoza chama," alisema Zitto ambaye pia ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini.