Zitto: Sitagombea uongozi CHADEMA

Zitto: Sitagombea uongozi CHADEMA

Busara hii ya Zitto nimeisubiria kwa muda mrefu, na hatimae sasa imetoka God Bless Zitto Kabwe, Watu wengi wamekua wakimtumia Zitto kuleta mgawanyiko ktk CDM, wenye macho na waone Zitto Kasema CDM Kwanza Watu tunapita. Hongera Zitto
 
naamini mh.zitto amekuja na mawazo ya kujenga,anatambua nafasi aliyonayo ktk kujenga taifa lake,anathamini juhudi zake na wenzake ktk kujenga demokrasia ya kweli,anapenda kuona chadema kiwe chama darasa,wengine wajifunze kupitia cdm naye awe sehem ya wakufunzi. mh.zitto nakupa hongera kama kijana mwenzangu,kama kaka na kama visionary leader,naamini kazi nzuri umekuwa ukifanya tangu ukiwa chuo udsm,hukata tamaa na umekuwa mzalendo wa kweli. kaza moyo tuko pamoja kamanda!
 
Kwanini hagombei cheo chochote ndani ya chama?

Mkuu tumuunge mkono maana uongozi ndani ya CDM ni uadui na ushahidi ni alipotaka kugombea uenyekiti, na alipotangaza nia ya kuutaka urais , sasa ili kulinda heshima yake ni bora akae pembeni abakie na uanachama tu.
 
It is very amazing how JF Members like other Tanzanians are losing memory quickly to this extent! This statement is not a new realese. It was posted by Zitto in his greetings to welcome the New Year 2012.

In the midst of this release, when the Party and all National attention was in Arumeru, Zitto threw another confusing stand about his aspirations to run for the 2015 Presidency. Astonishingly, today people are commenting on this stement as if it is a new message released today!
 
ZZK ni mtu makini sana, anajua fika kwamba nafasi pekee anayoihitaji ni uenyekiti wa chama, na kwa kutumia makundi hasimu ndani ya chama inngemuwia vigumu sana kupata nafasi hii, pia anaelewa kabisa kugombea uongozi chadema ni kujitangazia uadui maana nafasi za uongozi zina hati miliki.

NI uamuzi wa busara sana, lakini hautokani na ZZK kutopenda uongozi isipokuwa kuelewa kitakachomtokea.
Mkuu namtafuta ribosome ndiye alikuwa Ana shabikia sana
 
uamuzi wa kwako this is a Democratic party so that is your choice.
 
Nimemkubali Zitto kwa uamzi wake huu. Hili ni tamko lenye uzito kwake Zitto na CDM pia. Ametutoa dukuduku kwa matamko yake ya nyuma, juu ya Umri wa anayetaka kugombea urais 2015, n.k.
 
Inamaana zitto kabwe hatakuwa na cheo chochote kile ndani ya CDM? Je wakimtema ubunge jimboni kwake? Wakimtema pia urais ndani ya CDM? Atakuwa anafanya issue gan?.
Msaada wakuu maana nimefikiria mbali.
 
It is very amazing how JF Members like other Tanzanians are losing memory quickly to this extent! This statement is not a new realese. It was posted by Zitto in his greetings to welcome the New Year 2012.

In the midst of this release, when the Party and all National attention was in Arumeru, Zitto threw another confusing stand about his aspirations to run for the 2015 Presidency. Astonishingly, today people are commenting on this stement as if it is a new message released today!

i wonder
 
Nimemkubali Zitto kwa uamzi wake huu. Hili ni tamko lenye uzito kwake Zitto na CDM pia. Ametutoa dukuduku kwa matamko yake ya nyuma, juu ya Umri wa anayetaka kugombea urais 2015, n.k.

mkuu inabidi utofautishe kati ya "KUTOGOMBEA CHEO NDANI YA CHAMA na KUTOGEMBEA URAIS"
alichosema zitto yeye ni kutogombea cheo chochote ndani ya chama ila swala la kugombea urais lipo pale pale kama alivyosema mwanzo ila kama katiba itarusuhu maana ni haki yake kidemokrasia.
 
Hongera yake,ila inabidi asiwe anajiona yeye ni zaidi ya cha.Za hivyo zipo kwa kina Anguza zaidi.
 
It is very amazing how JF Members like other Tanzanians are losing memory quickly to this extent! This statement is not a new realese. It was posted by Zitto in his greetings to welcome the New Year 2012. In the midst of this release, when the Party and all National attention was in Arumeru, Zitto threw another confusing stand about his aspirations to run for the 2015 Presidency. Astonishingly, today people are commenting on this stement as if it is a new message released today!
are you sure? Tupia ushahidi hapa
 
ukweli unauma wasidhani ss ni watoto tunamtambua mtu kwa demeanour yake walizike wanachopata usaliti unauma sana. Siwaogopi uhuru wa maoni

mkuu hapo umenena kwani hata mm nidhamu za uoga nilishaziacha tangu nikiwa olevel miaka hiyo na sasa ni dhama za ukweli na uwazi na watu inatupasa tuseme ukweli paipo kuogopa mtu kwa ajili ya maslahi mapana ya taifa.
 
anarudia yaleyale ya 2007 alitangaza anaacha siasa anarudi kufundisha anaenda kufanya kazi somalia au southern sudan, hana lolote
 
Asante kwa taarifa vipi utakuwa na press confrence kesho?
 
Back
Top Bottom