Mwana Mpotevu
Platinum Member
- Sep 7, 2011
- 3,295
- 2,506
Mimi nashangaa watu wanaomshambulia Zitto kwa kutangaza nia yake. Zitto kama mtanzania na mwanachadema anapaswa kuongelea yale aliyonayo moyoni mwake, kosa lake lipo wapi?
. Ila Kama 2014 chadema ikishindwa kupata 45% ya uwakilishi wa serikali za mtaa lazima pia ijiandee kushindwa 2015.
Come down,
angalia MY TAKE hapo juu kwenye post then njoo ujipe jibu kwa hiyo sentensi yako ya mwisho.