Zitto: Nina sharti moja tu kurudi CHADEMA

Zitto: Nina sharti moja tu kurudi CHADEMA

Chadema ni chama kinachoishi kwa matukio. Baada ya Escrow kuisha, hawana jipya maana mbunifu na mweledi ni Zitto. Mbowe ni tapeli wa siasa.

Hakuna chama kisichoishi kwa matukio, sema jingine.
 
If you try to philosophise you will deduce that voters want zitto back to active cdm politics however to them its better to have relatively weaker cdm than bringing back some one who will kill party spirit they want you but they doubt a lot about your attitudes now show how much you have learnt and mature during your long leave
 
Umenena kweli mkuu, Shonza na wakina mtela ni ccm pure hawana nidhamu wao ilikuwa kutwa kukesha kukitukana chama na viongozi wetu ambao sisi wanachama tunawapenda na kuwaheshimu, hivyo kwa hali hii waache wabaki CCM. OVER

diwani fake.
 
.....Zito hauna ujanja wa kuipa chadema masharti maana wewe bado ni mwanachama wa chadema

Nyie jamani si mmesema huyu mbunge wa mahakama! Kweli nimeamini Mbowe ni tapeli wa siasa! na lazima amuombe radhi Zitto.
 
Mtu mwovu hutanguliza mashaka! Kwani baada ya kumuvua nyadhifa zake zote amekuwaje? Hujasikia kapata kuwa Katibu wa PAC kwa nchi za kusini mwa Afrika! Hujasikia kapata tuzo ya Jamii! Hujasikia akiendelea kuisimamia kamati ya PAC!

Maisha ya siasa yatakuwa vile wakati utakavyoamua ingawa si salama kwa chama kinachokuwa kuanza kuendekeza migogoro ya ndani kwani kupoteza kura hata moja ni hasara kubwa, kupoteza kiongozi mwenye ushawishi na mvuto wa kisiasa ni hasara pia.

Chadema waangalie jinsi ya kumaliza migogoro yao kwani kama kisa kilikuwa enyekiti wa chama basi ulishamalizika na mwenyekiti alishatangazwa.

Ndio wamuombe radhi sasa!
 
chadema bila zitto hawawezi kujiendesha kabisa hata iweje tulisema kitambo kwamba watampigia magoti tu.

kauli gani xa kib w e g e za kupigiana magoti. Zziittoo wewe ni chadema. Tunakuomba. Tunakushauri. Tunakutaka urudi kundini bila masharti. Watu wazima hawaombani radhi hadharani. Chonde njoo tuyang'oe haya mambwa ma ccm madarakani.
 
Uzuri wa siasa za Tanzania, hawa wote wanaojenga hoja na vioja wakisema hawataki Mhe. Zitto arudi CHADEMA, lakini ndiyo hawa hawa ambao kesho kama Mhe. Mbowe au Dkt. Slaa wakisema tunamrudisha Zitto kwenye kundi la CHADEMA, utawasikia tena wakisema, siasa hazina marafiki au maadui wa kudumu.

Siasa za Tanzania ni vichekesho vitupu!.

Ndiyo maana kuna hoja zinasema, siasa za Tanzania zimejaa misukule!

Ha ha ha haa!

Mkuu vipi? Naona hasira zako dhidi ya ripoti ya PAC zimeisha sasa. Nimefurahi kukuona umerudia hali yako ya kawaida.
 
nivigumu chama kumpigia mwanachama magoti ila nirahisi mwanachama kipigia chama magoti ...zzk kama unataka kurudi we rudi tu lkn usitafute sababu!
 
Zitto kuombwa radhi ama chama kuomba radhi haiwahusu ni mambo yetu ya kichama na haya ni ya kwetu na tulianza wenyewe, wapambe mkashabikia kwa kuwa mlijua chama kitakufa ila kingali hai, sasa hivi tunataka usuluhishi mnataka kutupandishia mbegu za chuki.
Narudia kusema tena haya ni ya kwetu na kama tuli yaanza wenyewe tuta yamaliza wenyewe na mambo yatasonga nyie kesheni mkisema badala ya kutujengea hoja za maendeleo.

Na mwaka huu mtakoma, Mwenyekiti wa PAC kasema wana take short break after kupute cha escrow then wanaingilia kwenye maeneo ya vibali vya sukari, bandari na gas.
Hakika huko kila kona chama cha kijani kita chafuka nakuambia.

Sisi kama vijana tujenge hoja za kuleta tija za maendeleo na sio bla bla zisizokuwa na mashiko.
 
nivigumu chama kumpigia mwanachama magoti ila nirahisi mwanachama kipigia chama magoti ...zzk kama unataka kurudi we rudi tu lkn usitafute sababu!

Wafuasi wa CCM wanapendekeza chama kimpigie magoti Zitto
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom