Zitto: Nina sharti moja tu kurudi CHADEMA

Zitto: Nina sharti moja tu kurudi CHADEMA

we leo unaongea hivi,kweli wanafiki na vigeugeu wapo wengi

We mpuuzi huna hoja, unadandia hoja bute utapasuka msamba, unafiki ni ule uoga wa kutoa mawazo yako, mimi hiwa si mnafiki ID ni moja siku zote hapa JF, ninachukia na kupenda mtu kwa matendo na sio ushabiki mandazi kama unabisha muulize Mtela nilivyomgeukia mbogo baada ya kuleta ujinga wake CHADEMA.

Pole.
 
Hv kichwa chako kinafanya kazi kweli! huyu bwana hakuna aliyemfukuza kakipeleka mahakaman chama, halafu anakuja hapa na kutoa masharti kwa chama eti wakitaka arud wajadiliane. yaan chama kikae nae mbele ya Tv kiombe msamaha. duu ningewashangaa zaid chadema. hv huyu ninan anajiona namna hii. Naitaahadharisha chadema wawe makin na huyu mtu.

Acha ujinga wewe, tatizo unadandia treni kwa mbele, ni wapi umeona nimekubali eti chama kimuombe Zitto mkono? Msimamo wangu upo wazi, reconciliation ifanyike kwa siri chini ya viongozi na wazee wachache wenye hekima then watoke nje wakiwa wamoja tujenge chama. Naishia hapa kama huelewi njoo nikupe notes kabisa uzikeshee huenda utanielewa.
 
[/SIZE][/B][/SIZE]


Tatizo lako unaweka 'Like popote tu hapo juu unakubali hajaondoka CHADEMA,
Leo Zitto anataka apigiwe magoti na aelezwe makosa yake la sivyo mumuwache asepe viroho vinawadunda washabiki
Mkuu wenu akimpigia magoti mtafahamu? kwani alishagawa Mawaziri vivuli kibao kwa NCCR na CUF hamkubwata leo Mbatia adui wenu na aliyefunga ndoa na CCMkarudi kwenu
[/QUOTE]

Ukisoma ulichokiandika ukarudia zaidi ya mara 2 utajielewa wewe ni mtu wa aina gani na uwezo wako wa kufukiri unaishia wapi.
 
Vijana wa chadema acheni kumpakazia ZZK toweni ushahidi!Achen kufuata mkumbo?Zitto ni xaid ya wote Chadema!Dogo yuko vzr xn hata sakata la escrow dogo ameshine!Acheni chuki za kijinga hakuna wa kumpambanisha na ZZK chadema!
 
chadema bila zitto hawawezi kujiendesha kabisa hata iweje tulisema kitambo kwamba watampigia magoti tu.
Nyie ndo mnawo watia watgu viburi
.wakipigwa chini hamna la kuwasaidia zitto ni mwanasiasa chadema ni taasisi wapi na wapi hapo...zipo ni mzito akiwa chadema lakini chadema ni nzito bila zito....habari ndo hiyo
 
Hivi Chadema kuna taraka rejea? Wanasiasa uchwara bana wana matatizo hawapiganii wanachokiamini bali matumbo yao.
 
Zito ni mzito akiwa chadema lakini chadema ni nzito bila zito...acheni kuwatia wanasiasa viburi wakipigwa chini hamna la kuwassaidia..zito hawezi kushindana na chadema acheni upuuuzi..apigiwe magoti na nani..?namkubali sana zito akiwa chadema nnje ya chadema snitch tu.
 
We mpuuzi huna hoja, unadandia hoja bute utapasuka msamba, unafiki ni ule uoga wa kutoa mawazo yako, mimi hiwa si mnafiki ID ni moja siku zote hapa JF, ninachukia na kupenda mtu kwa matendo na sio ushabiki mandazi kama unabisha muulize Mtela nilivyomgeukia mbogo baada ya kuleta ujinga wake CHADEMA.

Pole.
wewe huku ulikuwa unapiga kifua enzi zile ukishauri zitto afukuzwe na wafuasi wake leo unasema tena ikibidi wasamehewe na wale wengine,we mnafki tu huna lolote wala msimamo
 
wewe huku ulikuwa unapiga kifua enzi zile ukishauri zitto afukuzwe na wafuasi wake leo unasema tena ikibidi wasamehewe na wale wengine,we mnafki tu huna lolote wala msimamo

Ni mtu mpumbavu tu ndiye ambaye hawezi kubadilika msimamo, maana anakuwa kama roboti, hawezi fikiri tofauti na alivyokuwa programmed.

Lakini mtu yeyote mwenye akili ubadilika msimamo na mtizamo kutokana na mazingira na wakati.

Sikuzote kwenye siasa na maisha kwa ujumla uwa hakuna adui wala rafiki wa kudumu, kama leo CUF tuliokuwa tukiambia ni CCM B ni marafiki kwanini isiwe Zitto ambaye mmetoka nae mbali?

Cha kujiuliza kiwe ni..je Chadema itapata hasara gani kwa kumrudisha Zitto?au Chadema itapata faida gani kwa kumrudisha Zitto?kama faida zinazidi hasara, ni uamuzi wa busara tu kumrudisha ukizingatia mwakani 2015 chama kinapaswa kiwe na timu kubwa iwezekanavyo kutafuta ushindi.Umoja ni Nguvu.
 
Ni mtu mpumbavu tu ndiye ambaye hawezi kubadilika msimamo, maana anakuwa kama roboti, hawezi fikiri tofauti na alivyokuwa programmed.

Lakini mtu yeyote mwenye akili ubadilika msimamo na mtizamo kutokana na mazingira na wakati.

Kama uwa wewe hubadiliki msimamo, shtuka maana asiyebadilika msimamo bila shaka kuna screw zimelegea kichwani.
Kama watu wangekuwa wanabadilika na wanabadilisha misimamo hovyo leo mbowe angeenda CCM,wakati ule mmekuwa mavuvuzela kumchukia zitto,leo mmekuwa mavuvuzela tena ili arudishe,misimamo kama ndo hiyo ya kuangalia upepo nye hamna tofauti na kina mtela na julianza shonza
 
Hivi Chadema kuna taraka rejea? Wanasiasa uchwara bana wana matatizo hawapiganii wanachokiamini bali matumbo yao.
nashangaa!
leo humu jf waliokuwa wanamponda zitto ndo wa kwanza kuomba asamehewe,kweli vigeugeu hawaishi
 
mimi gogo la shamba nilimuambia mapema sana Zitto kuomba radhi lakini hakutaka kunielewa,na ninamuambia tena ni busara aombe radhi la sivyo kauli yake ya kutaka chama kimuombe radhi kinazidi kumuweka njia panda na asiponielewa kwa haya ajue na siasa asahau
 
Kamanda kwenye maisha na siasa sio kila kitu kitapata majibu kama tutakavyo. Kama unaona unaweza kurudi kufanya kazi na CDM ni bora kurejea kwenye meza ya maridhiano bila masharti yeyote.

Mgogoro wa Israel na Palestina unashindwa kupata suluhisho la kudumu kwani pande zote hazikubali kwenda kwenye maridhiano bila masharti yasiyotekelezeka.

Mchawi hayupo zaidi ya wakati. Chama ni watu ambao wanakuja na kutoweka, kufa, kustaafu, kuhama, nk ukitaka majibu yote itakuwa ngumu.

Mtaji mkubwa wa mwanasiasa ni watu. Rudi fanyeni maridhiano , piga kazi andika kitabu weka ukweli wako wazi wacha tusome. Tutaamua. Ila ukitaka chama kikuombe msamaha, sasa mimi niliyeko huku ndandahimba nimekufanya nini? Wewe sema baadhi ya watu muombane msamha kwani kuna watu mlikoseana kibinafsi kwenye ule mgomvi. Ndio maana nakubaliana na msemo wa bakiza na akiba.

vuta pumzi rudi kazini. Ama unataka kuwa kama mandela bila sisulu hurudi?
 
Naunga mkono hoja.Hakuba naridhiano ya mashart haya siyo maridhiano tena. Rudi ndani wekeni mikakati nendeni mbele, ukisubiri kutafuta mchawi itakuwa ngumu, binadamu kwa kawaida hawataki kuonekana walikosea hadharani hasa kwenye fani yenu ya siasa, PR ni kitu muhimu sasa, kwa hiyo hakuna ambaye yupo tayari kushuka chini, kwa kuwa ni ngumu kutabiri madhara yake kwa wananchi ambao ndiyo mtaji wenu. Jirudi ingia kudini chapa kazi sahau yaliyopita.
 
Chadema bila zitto hawanachakufanya wakimbeza zitto chama kinakufa.
 
Kwakweli Zito arudi tu kundini tupge kazi kuikomboa nchi, kumbuka chama kumuomba mtu msamaha ni kazi kubwa, chama ni watu na wengine wapo vijijin huko ambao hawajui mlikosana nini, na wapo hai wanakilipia chama ada ya kila mwaka na kukieneza huko vjijin! Kaka tunakusubr sana urudi tufanye kaz
 
Kwahiyo walivyo mchafulia jina na kumuita kila aina ya majina akubali tuu? Akirudi bila watu kujua ukweli inamanisha ni kweli na CDM wanamuonea huruma wanamchukua.. Kwani Tabu gani CDM iki Sema kosa la ZZK?
 
Chadema inahangaika kama mtetea anayetaka kutaga. Nawashukuru wamegungua mapema kuwa zitto ni jembe ulaya, bila yeye chadema ni maiti
 
Chama ni watu sio mtu! acha mawazo ya kitoto dogo
Hao watu wamegandana? Hawana nafsi na hawana singular na plural ie umoja na wingi? Ktk chadema zitto peke yake ni sawa na kamati kuu nzima ya saccos
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom