Zitto: Nina sharti moja tu kurudi CHADEMA

Zitto: Nina sharti moja tu kurudi CHADEMA

Tena sio tu pekee Zitto kurudi bali tunataka pia na Kafulila, Moses Machali na Felix Mkosamali wote warudi CHADEMA, Siasa ni pamoja na kusamehana kwa maslai mapana ya taifa.

Naomba viongozi wangu wa CHADEMA taifa, wasikie kilio cha sisi wanachama wao.
Eeeee unataka warudi wap kwan nyie c
mmeungana kuwa ukawa sasa kwan kuna shda gan kuwa vyama vingne vinavyounda ukawa.ama kwel chadema wabinafsi kweel wanatamaaa ya fisi
 
Ha ha ha haa!

Mkuu vipi? Naona hasira zako dhidi ya ripoti ya PAC zimeisha sasa. Nimefurahi kukuona umerudia hali yako ya kawaida.
Mkuu,

Wala sina/sikuwa na hasira kuhusiana na repoti ya PAC bali hawa vijana ambao kila siku wanatupa matumaini kama wana uwezo wa kuwa statesman kumbe ni zero.

Hata Mzee Warioba ame-dissect hiyo repoti yao ambao kabla hata hawajapata maoni ya CAG, TRA na TAKUKURU walikuwa tayari wametoa hukumu.

Ndiyo maana hata kabla ya Kaimu CAG, Francis Mwakapalila hajakaa vizuri kwenye kiti cha mahojiano, walianza kumuuliza kama pesa zilizokuwa kwenye akaunti ya Tegeta Escrow niza fedha za umma au la.

Ndiyo maana hoja zao zimejengeka kwenye narrow minded kwa sababu walichokuwa wanakitafuta ni kumshika mchawi badala ya kushika mchawi na dhana zake za uchawi.

Anyway, tuachane na suala la PAC kwa sababu tutaharibu hii thread tukianza kulichambua!
 
in any way Chadema needs Zitto for its success, walisema anatumiwa na CCM, najiuliza inamaana waliochunguzwa na kamati ya zito ni wa chama gani? Mbona wote ni CCM kama anatumiwa na CCM mbona hakuwabeba? Zitto anahitajika CHADEMA maana hamna mtu mwingine anae weza kuibua issues ambazo ni documented na kuisimamia its because the man is very bright. Walio baki wote ni watu wa majukwaa so issues kama za ESCROW ni vigumu kuzi handle. big up Zitto. Lakini ili kuing'oa CCM umoja wa vyama vyote vya upinzani wanahitajika.
 
Matatizo ya Zitto na CHADEMA yanamalizika kwa kuzungumza tu na kusameheana maana Zitto ni muhimu sana kwa CHADEMA na pia CHADEMA ni muhimu kwa Zitto(ingawa Zitto can make himself out of CHADEMA) lakini wakiwa pamoja wana nguvu kuliko wakiwa separate, binafsi(as a politically neutral activist) nampongeza Zitto na wapinzani wote kwa kupambana na udhalimu hasa kwenye sakata hili la Tegeta Escrow account, keep on fighting together you still have many fishes to fry!
 
Nanasi ni nanasi embe tunda lamsimu
Napita
 
Hao wanao mfisidi Zitto wao niwasemaji wa Chadema au kunya anye kuku tuuuu akinya bata kaharishaa? Waseme kosa la Zitto wa Tanzania wote wasikie Kama hawasemi inamaana walimpikia majungu Na mwenyezi mungu hamfichii dhalim....

Kaka/dada matatizo ya kinidhamu ndani ya chama hayazungumziwi kwenye vyombo vya habari bali ndani ya vikao husika. Tafuta nafasi ya kuwa mjumbe wa vikao hivyo upate kujua kila kitu. Kwani lazima Watanzania wote wasikie wamekuwa wanachama wa Chadema?
 
Zitto hafai Chadema,awafate wasaliti wenzake ACt.Na wafuasi wenzake wamfate huko.CCM naona hawamtaki,Silinde kawakilisha ushahidi dhidi ya Zitto fedha za Escrow
 
Wakae chaini wayamalizee tuu mradi chama kisonge mbeleee na sio kufa
Chadema no chama cha wrote wanaoipenda Tanzania viva chadema viva zito viva mbowe
 
Zitto abaki tu kama alivyo....Chadema hakiwezi kukumbatia mtu aliyekuwa na kiburi cha pesa za kuiangamiza chadema. Sasa amejiona akisimama peke yake hana nguvu yoyote. na 2015 jimboni kwake chadema tutasimamisha mgombea jembe na zitto ataisoma namba. Labda agombee kupitia chama chake cha ACT au aombe katiba iwekwe kipengele cha mgombea binafsi
 
Wakae chaini wayamalizee tuu mradi chama kisonge mbeleee na sio kufa
Chadema no chama cha wrote wanaoipenda Tanzania viva chadema viva zito viva mbowe

Watu gani wakae chini?

Hivi unacheza na Taasisi iitwayo Chadema?

Si walisema chama kitakufa?

Hivi ulibahatika kushuhudia mkutano mkuu jinsi kulivyokuwa na shamrashamra?
 
Kaka/dada matatizo ya kinidhamu ndani ya chama hayazungumziwi kwenye vyombo vya habari bali ndani ya vikao husika. Tafuta nafasi ya kuwa mjumbe wa vikao hivyo upate kujua kila kitu. Kwani lazima Watanzania wote wasikie wamekuwa wanachama wa Chadema?

Binafsi ninaamini sana katika Msamaha....Lakini ninaamini msamaha kwa yule anayejutia kosa lake na kuomba kusamehewa.

Huwa ninajiuliza hivi mtoto akikosea na akiadhibiwa na baba yake ataweka masharti eti ili arudi nyumbani sharti baba amwombe radhi hadharani?

Kamwe baba hawezi kumsamehe mtoto mwenye jeuri kwa kiasi hiki.Lakini mtoto akijishusha akija kwa baba akampigia magoti na kukiri makosa yake nina hakika Baba atamsamehe.Sanasana adhabu atakayopewa ni kuonywa asirudie tena.

Mwenye masikio na asikie!
 
in any way Chadema needs Zitto for its success, walisema anatumiwa na CCM, najiuliza inamaana waliochunguzwa na kamati ya zito ni wa chama gani? Mbona wote ni CCM kama anatumiwa na CCM mbona hakuwabeba? Zitto anahitajika CHADEMA maana hamna mtu mwingine anae weza kuibua issues ambazo ni documented na kuisimamia its because the man is very bright. Walio baki wote ni watu wa majukwaa so issues kama za ESCROW ni vigumu kuzi handle. big up Zitto. Lakini ili kuing'oa CCM umoja wa vyama vyote vya upinzani wanahitajika.

Kumbe Zitto ndiye aliibua sakata la ESCROW ilo ni geni kwangu,Itakumbukwa kuwa bila busara za Mbowe kuingilia kati kabla bunge halijahitimisha mapendekezo ya PAC wakati mtemi Chenge ndio anadictate terms, Zitto alishasema amechoka hana chakuongeza baada ya kuulizwa na Spika kama mtoa hoja.
Pia kwenye PCA haikuwa kazi ya Zitto tu bali wajumbe wote kwa ujumla wao na kwa taarifa CCM alikuwa na uwakilishi mkubwa,na kazi ilishafanywa na ACG na PCCB,wao ilikuwa ni kudadavua hizo ripoti.
 
in any way Chadema needs Zitto for its success, walisema anatumiwa na CCM, najiuliza inamaana waliochunguzwa na kamati ya zito ni wa chama gani? Mbona wote ni CCM kama anatumiwa na CCM mbona hakuwabeba? Zitto anahitajika CHADEMA maana hamna mtu mwingine anae weza kuibua issues ambazo ni documented na kuisimamia its because the man is very bright. Walio baki wote ni watu wa majukwaa so issues kama za ESCROW ni vigumu kuzi handle. big up Zitto. Lakini ili kuing'oa CCM umoja wa vyama vyote vya upinzani wanahitajika.

Mbona una akili nyingi kama Mariam Kisanji yule Mbunge wa kuteuliwa? Escrow haikuibuliwa na Zitto, mawazo ya PAC sio yake ni ya wajumbe wote yeye ni msomaji tuu kama mwenyekiti na hata alipotamka Bungeni kuhusu mapendekeO ya Chenge naye akasema amechoka ndipo game lilipobadilika baada ya Mbowe kusimama na Ukawa wote wakaunga mkono na sasa hadithi ni nyingine. Ukitaka kufuatilia jambo ili ulielewe upunguze "huba" ili mchango wako uwe concrete.
 
Tena sio tu pekee Zitto kurudi bali tunataka pia na Kafulila, Moses Machali na Felix Mkosamali wote warudi CHADEMA, Siasa ni pamoja na kusamehana kwa maslai mapana ya taifa.

Naomba viongozi wangu wa CHADEMA taifa, wasikie kilio cha sisi wanachama wao.

we leo unaongea hivi,kweli wanafiki na vigeugeu wapo wengi
 
Mkuu kuna kisa kimoja cha Nabii Eliya na mtumishi wake Elisha pindi Eliya alipokuwa akielekea mlimani ili atwaliwe na gari la moto na Mungu,
basi walipokuwa wakienda, njiani kila mtu alikuwa akimwambia Elisha ya kwamba je unajua kuwa bwana wako Eliya leo atatwaliwa na gari la moto na kukuacha? Elisha akawajibu na kusema nyamazeni ndiyo najua. Tena walipofika mbele watu wengine wakamuuliza Elisha swali hilo hilo, lakini tena Elisha akawajibu, "Nyamazeni ndiyo najua" na hatimaye Elisha alifanikiwa kufika safari yake na Eliya na hata baada ya kweli Eliya kutwaliwa na gari la moto lakini bado Elisha alifanikiwa kupata upako maradufu ya sehemu ya Eliya. Na hii ndiyo ilikuwa faida ya Elisha kwa kutokukubali kusikia watu wanasema nini na badala yake alifocus kwenye goal yake.

So hapa na sisi goal yetu ni kuona reconciliation inafanyika, Hatupaswi kuangalia au kukumbushana ubaya wetu either wa Zitto au wa viongozi au pengine wetu sisi wanachama juu ya hili, sababu sisi wote TUNAJUA, hapa goal yetu ni kuona muhafaka unapatikana na wote tunarudi kwa pamoja tukiwa wenye afya mifupani mwetu tayari kwa kuendeleza harakati za kumkomboa mtanzania.

Pia siungi mkono hoja eti Zitto au Viongozi watoke hadharani na kuanisha makosa yao huko itakuwa ni kuvuana nguo, bali napendekeza baada ya reconcialition tena ya siri na watu wachache wenye hekima, ndipo tuone viongozi wa chama na Zitto wakitoka nje na kukumbatiana wakiwa wamoja kama zamani. OVER
Hv kichwa chako kinafanya kazi kweli! huyu bwana hakuna aliyemfukuza kakipeleka mahakaman chama, halafu anakuja hapa na kutoa masharti kwa chama eti wakitaka arud wajadiliane. yaan chama kikae nae mbele ya Tv kiombe msamaha. duu ningewashangaa zaid chadema. hv huyu ninan anajiona namna hii. Naitaahadharisha chadema wawe makin na huyu mtu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom