Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,135
Kumbe hawa wote walikuwa CDM? Du basi kuna shida CDM kwa nini wapambanaji wote wanapita pale na kukimbia, nadhani kuna shida ya kuadministration ambayo inatakiwa kuwa addressed
asante sana mkuu .
Kumbe hawa wote walikuwa CDM? Du basi kuna shida CDM kwa nini wapambanaji wote wanapita pale na kukimbia, nadhani kuna shida ya kuadministration ambayo inatakiwa kuwa addressed
Watu tuwe serious Zitto anaweza wekea masharti CHADEMA?
Anatapatapa tu.Nyota yake ya kisiasa imeshaisha.Ni politically frustrated.
Uchaguzi mwakani hajui ashike tawi la chama kipi kugombea mwakani.Kila akiangalia vyama vingine vinavyoonekana imara vimeshaungana kuunda UKAWA.Hivyo akitaka kugombea chama chochote lazima apate approval ya UKAWA ambayo anajua kuipata si rahisi.
Hapo ndipo jasho linamtoka kuwa aweza pigwa chini na vyama vyote vinavyounda UKAWA akashindwa kugombea ubunge ndio anajifanya ohhhh nataka kurudi kwa masharti!!!!!!!!!
Tofauti ya Zitto na hawa ni kuwa yeye hajawahi kusimama hadharani na kuitukana Chadema hata siku moja. Hao vijana ni waste product ambayo haifai hata kugusa kwa mkono. Walitumwa watukane basi wacha wakae na matusi yao hukohuko ambako walidhani wamefika ila sasa wamegundua kuwa walitumika kama toilet paper.
Mkuu ni lazima watu tuwe wakweli..
Nikikumbuka usaliti roho inaniuma sana.
Nikikumbuka kesi feki za ugaidi ni kwa sababu ya wasaliti waliokubali kununuliwa na CCM.
Nikikumbuka kila siku ni habari feki za kuwachafua kwenye mitandao viongozi wakuu Mbowe na Dr Slaa.
Wahuni wachache wakawa wanatoa habari kwenye mitandao na siri zote za chama zikawa njenje.Kamati Kuu ikikutana tu siri zinavuja hata kabla hakijaisha.
Eti Shonza arudi Chadema.My Foot...Who is that Lady?
Hakuna aliye juu ya chama.Kuna watu wanatafuta kutaka kuwa maarufu kuliko chama. Zitto akitaka kurudi Chadema anapaswa kuomba radhi ajutie makosa yake na huu ndiyo msimamo rasmi..
Umenikbusha kitu mkuu
Tangu zzk na wasaliti wenzake wafukuzwe sijaona siri za kamati kuu zikivuja hovyohovyo kwenye mitandao.
Hii ni ishara kuwa alikuwa mvujishaji wa siri za vikao vya chama.
Hivi ili video akiwa analia kwa kugalagala kule morogoro baada ya kuelezwa usaliti wake imtaiweka lini watu waone unafiki wake.
Project ACT inaelekea kukwama, ndiyo chanzo cha mijadla hii.Mkuu ni lazima watu tuwe wakweli..