Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,233
Baada ya maamuzi ya Kamati Kuu chama kimetulia maradufu.Ni mwendawazimu tu atakayedhani eti kuna mgogoro ndani ya Chadema..
Na ndiyo maana wafuasi wote wa Lumumba buku 7 wapo hapa.Utashangaa wana maslahi gani ndani ya Chadema eti wanataka Chadema imrudishe mwanachama wake
Hapana Molemo...Kutulia huko ni dalili ya u imla...chama chochote active lazima kiwe na siasa za ndani za chama...demokrasia ya ndani....Napenda zaidi Zitto arudi CHADEMA...Ingawa asiporudi....sitaiacha CHADEMA kwa sababu nakipenda zaidi chama na sio mtu...ila ni mpumbavu tu anaebeza mchango wa Zitto katika siasa za Upinzani