Zitto: Nina sharti moja tu kurudi CHADEMA

Zitto: Nina sharti moja tu kurudi CHADEMA

That is obvious, and beyond the scope of my point.

You see! To be honesty if that's what Mhe. want ,to my opinion he is on the right move but wrong time! Kiranga i would be happy if you put bit of you are extended remark on this.

 
Last edited by a moderator:
Zitto ndio roho ya chadema, hao wengina wakina Lisu ni makelele tu na ni mizigo.
 
Next ni kwamba wananchi wtakosa imani na chama kwa migogoro msururu public.

Chadema ni chama kinachoishi kwa matukio. Baada ya Escrow kuisha, hawana jipya maana mbunifu na mweledi ni Zitto. Mbowe ni tapeli wa siasa.
 
Kama huu ndio mtazamo wa msomi bornagain basi ni dhahiri kuwa nchi hii ina shida kubwa sana.

Yaani kwa akili yako fupi unataka kutudanganya kuwa wasomi wote walikuwa mali ya ccm? unasahau kuwa walikuwepo wasomi wengi tu waliokuwa against ccm?

Dkt. Fortunatus Masha, Dkt. Emmanuel Makaidi, Dkt. John Lifa Chipaka, Kassanga Tumbo, Christopher Ngaiza kwa kutaja wachache ni miongoni mwa wasomi wazalendo waliokuwa wanajitambua na hawakuwa vibaraka wa ccm kama ulivyo wewe.

Nimekubali kwa hili nimechangia kwa kukurupuka, my apology
 
You see! To be honesty if that's what Mhe. want ,to my opinion he is on the right move but wrong time! Kiranga i would be happy if you put bit of you are extended remark on this.


My principle, anywhwre in life is that, ig is wrong to force oneself where you are not wanted by the majority.

Even if you have a court order to be there.

I am not so sure that Zitto is not wanted by the majority, but it appears so.

But that personal code of ethics of mine does not mean Zitto must abscond his constitutional right.

What is particularly shameful is that the whole kerfuffle is weakening CHADEMA.
 
Last edited by a moderator:
Next ni kwamba wananchi watakosa imani na chama kwa migogoro msururu public.

Baada ya maamuzi ya Kamati Kuu chama kimetulia maradufu.Ni mwendawazimu tu atakayedhani eti kuna mgogoro ndani ya Chadema..

Na ndiyo maana wafuasi wote wa Lumumba buku 7 wapo hapa.Utashangaa wana maslahi gani ndani ya Chadema eti wanataka Chadema imrudishe mwanachama wake
 
Ilitamkwa clearly na Tundu Lisu kuwa Zitto si mwanachama wala mbunge wa Chadema, ni mbunge wa mahakama. Sasa labda uanze kwa kusema kama unapingana na huo msimamo wa chama.
 
My principle, anywhwre in life is that, ig is wrong to force oneself where you are not wanted by the majority.

Even if you have a court order to be there.

I am not so sure that Zitto is not wanted by the majority, but it appears so.

But that personal code of ethics of mine does not mean Zitto must abscond his constitutional right.

What is particularly shameful is that the whole kerfuffle is weakening CHADEMA.

Thanks; i got the message btwn the lines .
 
Baada ya maamuzi ya Kamati Kuu chama kimetulia maradufu.Ni mwendawazimu tu atakayedhani eti kuna mgogoro ndani ya Chadema..

Na ndiyo maana wafuasi wote wa Lumumba buku 7 wapo hapa.Utashangaa wana maslahi gani ndani ya Chadema eti wanataka Chadema imrudishe mwanachama wake

Mshukuru sana Mbowe kwa.kukupa kibarua hapo makao makuu kwa sababu mnatoka kijiji kimoja. La sivyo ungekuwa Kishummundu sasa hivi unauza mbege
 
Tena sio tu pekee Zitto kurudi bali tunataka pia na Kafulila, Moses Machali na Felix Mkosamali wote warudi CHADEMA, Siasa ni pamoja na kusamehana kwa maslai mapana ya taifa.

Naomba viongozi wangu wa CHADEMA taifa, wasikie kilio cha sisi wanachama wao.

Naipenda Chadema kwa sababu moja kubwa: ni chimbuko la wanasiasa wanaotaka mabadiliko ya kweli. Ni wanaharakati pia wasomi.
 
Morinyo wew ndo mpotoshaji mkubwa! Mselewa yupo sawa uanachama wa zitto cdm upo kwa amri ya mahakama so usituletee u magamba
Mkuu mbona kama na wewe unajichanganya, unasema hajawai kufukuzwa wakati huo huo unasema uongozi haujawai kuutaarifu umma juu ya kumrejesha kundini.
 
Chadema hatumuhitaji sana Zitto kama yeye anavyoihitaji Chadema.

Sitarajii kabisa eti viongozi wetu wanamuita zzk katika meza ya mazungumzo ama maridhiano kama anavyosema.

Kama yeye anaomba kukutana na viongozi wetu ili kuzungumzia hatma yake baada ya kubaini kuwa chama chake cha wasaliti ACT hakiwezi kumtoa basi atume maombi rasmi kwa uongozi wetu ili afikiriwe.

Kama anajidanganya kuwa hajui kosa lake basi ni dhahiri kuwa ni mwepesi wa kusahau na asidhani na sisi ni wepesi wa kusahahau. Asifikiri kuwa anaweza kutuchezea akili kwa maneno ya hadaa kuwa hajui kosa lake.

Na mimi niseme wazi kabisa kuwa tangu Zitto "ametimuliwa" kutoka chamani ni ukweli ulio dhahiri kuwa chama kimetulia. Hakuna uvujaji wa taarifa za chama kama ilivyokuwa hapo siku za nyuma wakati aki Naibu Katibu Mkuu. Hakuna maneno ya uchonganishi na fitna baina ya viongozi wetu wa juu. Tangu ameondoka hatujasikia japo tetesi tu za malumbano baina ya viongozi wetu wakuu.

Hii inadhihirisha kuwa pamoja na mambo mengine mengi ya kishenzi aliyokuya anayafanya, zzk alikuwa ni mfitini mkubwa sana. Ndio maana kuondoka kwake imekuwa ni ahueni kwa ustawi wa chama.

Kama yeye anadai kuwa ametu-mis, basi atambue kuwa sisi hatujam-mis hata kidogo.

Kiongozi wangu Mwita Maranya umeyaweka maandishi yako straight bila kupindishapindisha maneno.

Asiyeelewa tena sijui....
 
Last edited by a moderator:
mkuu mselewa with all the due respect niseme tu ukweli hapa kuwa kwa mara ya kwanza umepotoka, soma hiyo habari vizuri btn lines... na vilevile ni kweli kuwa isingekuwa mahakama zitto asingekuwa chadema.. unacheza tu na maneno hapo.
 
Mshukuru sana Mbowe kwa.kukupa kibarua hapo makao makuu kwa sababu mnatoka kijiji kimoja. La sivyo ungekuwa Kishummundu sasa hivi unauza mbege

Eti vibaraka wa CCM mna maslahi gani kumtetea mtu fulani?...
 
zitto aiombe chadema msamaha kama aitaki asepe full stop
 
Mkuu hao wakina Shonza ni magamba pure na, hawafai kurudi.

Kwa hiyo Zitto ni gamba japo si pure kama Shonza na wenzake? Suala hapa hatutaki gamba lolote hata kama ni pure au si pure. Walishakula nyama ya mtu hawa. Kwani lazima afanyie siasa CHADEMA?
 
Zitto ni CHADEMA damu, anaweza kufarakana na viongozi wake au wanachama wachache kutokana mistakes mbalimbali kama ilivyo kawaida ya ubinadamu, ila kamwe hawezi kukiacha chama (CHADEMA),

Kwa kuweka rekodi sawa, Zitto hata baada ya kufukuzwa CHADEMA hakuthubutu kukipaka chama matope bali yeye alikaa kimya tofauti na wahuni wengine wakina Shonza. (Silence is the source of great power), hali hii inathibitisha kwamba Zitto moyo wake bado upo CHADEMA na sio ACT, Yeye mwenyewe alishasema kuwa atakuwa wa mwisho kuondoka CHADEMA yaani kifo pekee ndiyo kitamtenganisha na CHADEMA na sio ubaya, wema, mtu au mazingira.

Pia lazima tujue hakuna aliyekamilika kwani hata biblia inasema hivi " Kama tukisema hatuna dhambi(mapungufu) tunakuwa tunajidanganya wenyewe nafsini mwetu tena zaidi twamfanya Mungu kuwa ni muongo"

Kwahiyo tunapoendelea kutafakari hoja hii ya uanachama wa Zitto, ni hivi anayejiona mkamilifu na mzalendo zaidi hata ya wale walioanzisha na kuikuza CHADEMA, basi na awe wa kwanza kumpiga Zitto mawe. OVER

Uko sahihi mkuu...mimi ni moja kati ya watu tuliokuwa na mtazamo hasi juu ya Zitto....lakini kwa sasa CHADEMA wasuluhishe migogoro yao wawarudishe makamanda kama Zitto...huyu hajawahi kukisema chama vibaya wakati huu yuko katika mgogoro....No one is perfect...Zitto ni victim wa siasa anazofanya...We need him back kwa kweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom