Mods hebu ondoeni hizi thread, zilianza hoja za Tuntemeke baada ya kuona zimezimwa Zitto anaibuka na hoja zake zisizojali ni lini na wakati gani zinapaswa kuongelewa. Binafsi naamini Chadema ina hazina ya viongozi waadilifu tena wenye upeo mkubwa sana wanaoweza kutatua migogolo inayoletwa na wasioitakia mema CDM kila kukicha. Mtakuwa mashahidi jinsi suala la Shibuda lilivoisha kimyakimya. Alijua wangeropoka ndomana alijihami. CDM wakampuuza tena bila kumuuliza chochote. Suala la Zitto litaisha kwani CDM nawaamini kwa kumaliza matatizo bila kuleta madhara kama ilivo ccm na vyama vingine. Uamuzi wowote wa CDM lazima uungwe mkono na wafuasi na wananchi kwa ujumla kwani huwa hawakurupuki. WE ARE FEDUP WITH ZITTO. Unataka 2kuongelee ww2 muda wote? Halafu una ubinafsi na hupendi wengine ndani ya CDM wapate umaarufu zaidi yako. Kwa taarifa yako ww hata ukiondoka CDM huna madhara yeyote kwa sasa. Tuna vijana ambao wamekuzidi hata ww. Ni bora 2mpe Urais hata Tundu Lissu au Mnyika muda ukifika lakini sio ww.