Zitto: Ndio ninautaka urais

Zitto: Ndio ninautaka urais

Status
Not open for further replies.
nimekuwa nikifuatilia kwa kina kunani kati ya zitto zuberi Kabwe na Dr. Slaa hapa pamenistua, nimepitia tamko la zitto juu ya urais kwa vijana, amerudia historia yoote ya chadema lakini anamtaja Freeman Mbowe kama mtu aliye shiriki nae kujenga chama na si Slaa, katika macho ya zitto k. slaa hana lolote ndani ya chadema, lakini kuna watu tunaujua weledi wa slaa, anasema walikubaliana na mbowe 2005 agombee urais lengo likiwa kujenga chama. na 2010 haiongelei kabisa ambayo slaa alivuta kura nyingi, je zitto amekuwa na mtazamo gani kwa slaa? kwani mara chache anamrecognise, naye slaa anafanya nini ndani ya chadema, coz ni kama antumiwa tu?

pia zitto ana mwongelea mdee tuuu, na mnyika tuuuu. what about vijana watz wasio kati ya hao? je ni kweli alishiriki kuvuruga uchaguzi 2010 kwa mawasiliano yake na wakubwa wa TISS? je chadema ya wapenda pesa kama mbowe, zitto na wengine wataweza kweli kusimamia maslahi ya nchi yetu mbele ya wageni? alijichanganya alipoingia tume ya madini, je amejichomoa huko? usafi aliopoteza mbele yetu vijana tulio makini ana hakika gani kama tumemuelewa tofauti? ajitoze katika midhara ya wazi ya vijana walio makini na ayajibu haya basi?
mustakabali wa chadema uko mashakani
Nasikia KITILA MKUMBO NDIYE KAYAANIKA HAYA kwa wafuasi wa CHADEMA walioko Uingereza alipotembelea miji ya LONDON na READING? Lakini mimi sioni sababu ya SLAA kung'ang'ania kama nzi kwenye kidonga. Si alishatamka mwenyewe kuwa alilazimishwa kugombea urais mwaka 2010, sasa ugomvi wa nini? si awaachie wale wanaoutaka kwa hiari yao badala ya kulazimishwa? ZITTO ni kijana safi asiye na makundi ndani ya chama anweza kukipa sifa zaidi kuliko ilivyo sasa.
 
Maji ya Mtungi wa Chooni,
Wasiwasi wako umejengwa kihisia zaidi kuliko uhalisia!!!
 
Hapa kitakachofuata ni kumfukuza uanachama tu...subiri tuona mwisho.
 
Ndugu zangu. Naomba msome makala nzima kabla ya kuchangia. Msichangie kwa kusoma kichwa cha habari tu. Hii ni makala nimeandika kama majibu kwa makala ya mwanazuoni mmoja kuhusu umri wa Urais.

Nimesema wazi, kuutaka Urais na kuupata ni mambo mawili tofauti. Kwanza lazima chama changu kiniteue. Kama chama kikiona bado lazima nikubaliane na chama. Kama chama kikiona kuna mwanachama mwingine ana uwezo zaidi yangu lazima nimwunge mkono huyo. Hata kama chama kikiniteua lakini wananchi lazima wakubali. Kwa hiyo unaweza kuutaka Urais lakini usiupate!

Pili nimejibu hoja za ubaguzi, hatari na matabaka za mwanazuoni huyo. Ni vizuri MoD akachukua makala hiyo na kuiweka juu kabisa ili watu wachangie jambo walilolisoma.

Miye nitaweka makala hiyo kwenye blog yangu zittokabwe.com

ukweli mada ni defu sana kiasi mtu unaishia njiani kusoma. Nimeelewa kuwa urais unauhitaji na kwa namna fulani unaweza. Kama jakaya kaweza (?) why not you? Kuna hoja hapo juu ya mdau kuwa katiba inasema ni miaka 5 then 5. Sasa kama umefanikiwa kuongoza miaka 10 ukawa na miaka 50 then tutegemee nini? Si uchakachaji tu hapo? Miaka 50 kustaafu urais bado mdogo sana! Zitto utakuja kuwa Rais. Take it from me if the party maintain this pace, ila kwa sasa hata chama kitakukatalia. Wananchi wanaweza kuwa na mahaba nawe kwa sasa na wakasema uwe Rais lakini madhara yake mbele mabaya. Ukiwa na miaka 50 utakuwa Rais. Jiandae kwa urais 2025
 
kwani zito kutaka uraisi anavunja katiba ya chama au ya nchi.?chadema bwana tunalazimisha mabadiliko ccm huku sisi wenyewe ni waoga wa mabiliko huu ni upuuzi.tunawaonyesha wenzetu kidole kimoja tunasahau kuwa vidole vitatu vinatusuta. Tuache demokrasia tunayoiimba kila siku ianze kufanya kazi kwetu.
 
Nasikia KITILA MKUMBO NDIYE KAYAANIKA HAYA kwa wafuasi wa CHADEMA walioko Uingereza alipotembelea miji ya LONDON na READING? Lakini mimi sioni sababu ya SLAA kung'ang'ania kama nzi kwenye kidonga. Si alishatamka mwenyewe kuwa alilazimishwa kugombea urais mwaka 2010, sasa ugomvi wa nini? si awaachie wale wanaoutaka kwa hiari yao badala ya kulazimishwa? ZITTO ni kijana safi asiye na makundi ndani ya chama anweza kukipa sifa zaidi kuliko ilivyo sasa.

Umeooooooona eti mtu hataki Urais,lakini watu walimlazimisha Urais,hiyo ndiyo sifa kuu popote pale ya kiongozi mzuri,kwa kuwa kiongozi mzuri binafsi ajijui kama ni kiongozi mzuri na uwa mwoga kuongoza kumbe wenzie waliomzunguka wanamuona anastahiki kuwaongoza na kuwa wanamuona mahili yeye binafsi anajiona hajaiva kutawala huyo ndio kiongozi wa sifa ya Urais.

Na ndio maana waliopata kuwa Marais wote walifuatwa,sio tu kwa wengine uenda kwa kutaka kuwatumia kimgongo kuwa wanajua wanakubalika hivyo kwa kufuatana nao watanukia kama maua waridi, kumbe kitendo cha kumuingiza mtu ambae hakuwa na kusudio la kugombea Urais ili aonekane anagombea Urais na kwa kuwa watu wanajua anaweza na mhusika kuzungukwa na manyau kwa bahati mbaya kitendo hicho akimzui yeye kuonekana kuwa anafaha kuongoza.Na ndio maana baadhi ya Marais wetu walifuatwa hivyo hivyo ama ni kwa nia ya kutumika lakini kwa kuzingatia kuwa wanaweza na wao ndani ya vichwa vyao hawakuwa na wazo au fikra za kugombea lakini baada ya kupewa moyo na wenzi wao na wananchi kuwa wanaweza hatimae kweli wakaonyesha kuwa wanaweza.

Hayo na mengineyo yamewakumba baadhi ya Marais waliopata kutawala Tanzania.Ukisikiliza rumours kwenye mitaa Maris walio wengi walifuatwa na kushtukizwa kuwa wakagombee huku wakiwa hawana lolote kichwni kuhusu kugombea Urais,wakiwa tofauti na nje kabisa na matayarisho mengi ya mbwembwe nyingi na gharama kibao za mapesa zilizotumiwa na wengine ambao walikuwa wamejiandaa miaka na miaka kugombea Urais.

URAIS UNAMFUATA MTU ANAETAKIWA KUWA RAIS,URAIS HAUFUATWI KWA KUWA NI KITI CHENYE HESHIMA YAKE [HATA KAMA ALIYEINGIA PALE HAKUWA NA FIKRA HIZO NA PINDI HAKIPTA UENDA ASIFIKE AU AFIKE KWENYE MATALAJIO YA WENGI LAKINI HAKUJILETA KUKAA KWENYE KITI HUSIKA YALIYOTOKEA AU YATAKAYOTOKEA NI MATOKEO YA MAPUNGUFU YA ALIYETALAJIWA YEYE BINAFSI PAMOJA NA WASAIDIZI ALIO WATEUA YEYE AKIWA NA HADHI YA URAIS KUFANYA MAZURI, NDIO MAANA UMMA UTAMHUKUMU KWA ENZI YA UTAWALA WAKE.Ndio maana unatajwa utawala ama enzi ya Nyerere,Mwinyi,Mkapa au Kikwete,lakini kwani wao walitawala wakiwa wao wenyewe au walikuwa na lundo la maelefu ya wasaidizi lakini mwenye dhamana uishia kuwa RAIS.
 
Narudia na kusisitiza sisi chadema wewe ZITTO kuwa rais kupitia cdm NEVER

Maximum we can offer ni kuwasaidia bwana wakubwa Slaa na Mbowe period!

Wewe huna tofauti ya kawawa na Nyerere OK..
 
Hadithi yako inatufundoisha nini?
 
Tuko vitani, tunapigana kutafuta ushindi badala yake tunazungumzia vyeo! Why not fight first and win? It is unnecessary deviation and distraction from the fight in Arumeru East. Watu washinde kwanza halafu wakishinda wazungumzia vyeo; wakishindwa wote LAZIMA WAJIUZULU.
 
Ndio tatizo lenu watu wa kaskazini mnalazimisha Slaa 2015 agombee urais ili hali atakuwa mzee na hatufai tena. Na isitoshe mzee hana jipya kwa sasa, awaachie vijana wakina Zitto. Kuhusu umri katiba ijayo tunalirekebisha hilo na Zitto ambae ni chaguo la CDM wengi ata qualify.

Si kila mtu hapa ni wa kaskazini. Wanaoumuunga mkono Dr Slaa tunatoka pande zote za Tanzania hadi Zanzibar.
Zito hana haiba ya kuwa Rais hata angekuwa na miaka 80. Hana hekima za kuwa rais hata kidogo. kuwa mpambanaji na mwanaharakati ndio. Anatufaa na tunamheshimu ila kuwa Rais sio. Slaa bado ni nyota inayong'aa. Jaribu kumchukua Prof Lipumba, Dr. Slaa na Mbowe haiba yao halafu uwalinganishe na zito utaona tofauti ya hekima za mtu anayepaswa kuwa rais na zile za Mh Zito Kabwe. Si kwamba hatumpendi wala si kwamba ni mkristo au mwislamu but simply he lacks presidential person character.
 
Sasa Slaa ana hekima gani kukaa na mke wa mtu? (kuzini)

Kuasi upadre? hekima itakuwa na maana tofauti kwa watu tofauti aisee?
 
Tuko vitani, tunapigana kutafuta ushindi badala yake tunazungumzia vyeo! Why not fight first and win? It is unnecessary deviation and distraction from the fight in Arumeru East. Watu washinde kwanza halafu wakishinda wazungumzia vyeo; wakishindwa wote LAZIMA WAJIUZULU.

Wewe bana acha uwoga na ujinga wa bure!

Arumeru ni jimbo moja tu..na watu wengine hatuna hata habari nayo..

Usilazimishe watu kuongelea kitu kimoja kutwa kuchwa alaaa!

Besides, mgawanyo unatakiwa kuchulikana kabla ya kutafuta ushindi..
 
Nashukuru sana somo [Mohamedi] bahati mbaya zaidi sina chembe za woga kwenye kuujadili ukweli, baadhi ya wanachadema wenzetu ni wanafiki maana wanapenda kusikia mijadala ya kujadili mazuri tu ya chadema, mada zikiletwa kama hivi huwa hawasomi kwa umakini na kuelewa na matokeo yake wanakuwa wachangiaji wa siokijua.
Hivi jambo baya hapa ni nini? Sio tatizo lolote Zito kuutaka urais wala hiyo sio mgogoro mkubwa CDM kama ulivokoleza kichwa cha topic.
Sioni Zito ana haiba hata kidogo ya kuwa rais ila ni haki yake ya kidemokrasia kuwania. Ni wanachadema watakaoamua. Tatizo liko wapi?
 
Sasa Slaa ana hekima gani kukaa na mke wa mtu? (kuzini)

Kuasi upadre? hekima itakuwa na maana tofauti kwa watu tofauti aisee?

Topical,

..hivi Prof.Ibrahim Lipumba na Georgina Mtenga wameshafunga ndoa??
 
Sasa Slaa ana hekima gani kukaa na mke wa mtu? (kuzini)

Kuasi upadre? hekima itakuwa na maana tofauti kwa watu tofauti aisee?
I wont urgue with a fool as it is written "dont urgue with a fool".
 
Wewe bana acha uwoga na ujinga wa bure!

Arumeru ni jimbo moja tu..na watu wengine hatuna hata habari nayo..

Usilazimishe watu kuongelea kitu kimoja kutwa kuchwa alaaa!

Besides, mgawanyo unatakiwa kuchulikana kabla ya kutafuta ushindi..

Kinyume na unavyofikiria Arumeru ni jimbo moja lakini muhimu kulishinda kuliko majimbo mengine yote au hata kura zote za udiwani. Kwangu kinachoendelea Arumeru ni kama kilichokuwa kinatokea Fallujah in 2007.
 
.......mmmh, sina hakika kama zitto yule aliyeombwa kukijenga chama enzi zile, ndio huyu tuliyenaye sasa, huyu ni wa kichina china! (mtazamo wangu)
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom