Kwa katiba la Tz la kuwa Rais on 10 years bases.. Mtu mwenye miaka 35 akiukwaa urais given kwenye 45 atalazimika kuwekwa kando Kama sio 40. Na Kwa umri huu ndio Wa ujana Lakini unapachikwa Jina la mstaafu.
Ni wazi sehemu ya maisha yako itakuwa kula kulala. Mara nyingi kwenye nchi ambazo hawana democracy hata mtoto anaweza kuwa mtawala but he/she will be there hadi anazeeka.. Na ikitokea nchi ya kidokrasia yenye mafungu ya kuongaza Kwa miaka kadhaa Na ikatokea kiongozi kijana.. Lazima atafanya jitihada za kuchakachua katiba ili ajinemeshee miaka zaidi.
Vijana wengi wa kwetu ni wakirupukaji, wabi nafsi Na wasaliti. Hang'ang'ania vyeo Na nafasi za juu sana za uongozi bila kufikiria after uongozi kuisha itakuwaje.. Mtu hata familia Hana, hajajua house management and children care ikovipi Leo anag'ang'ana kuwa Rais. Ni kukurupuka sana.
Sisemi Rais lazima awe Ameoa ila Kwa utanzania wetu Na maisha Haya, familia ni uongozi kamili na ukishindwa kimanage fimilia sahau kiwamanage wananchi.. Kama huamini Njoo huku CCM, Angalia Kati ya wabunge wote, nani mwenye historia nzuri ya ndoa yake.. Hamna, naskia alikuwa warioba tu, njoo Kwa wabunge wanawake, orodhesha wenye ndoa... Kapa.. Kama ipo ya kuunga sana Kwa vijiti. Sasa Kama viongozi hawa weledi tu wa family care ulishawashinda saa ngapi wataweza kuliongoza Taifa.