AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,049
Ama kweli leo nimeamin! Laiti kama CDM tungekuwa na wanchama 5 kama zitto basi leo hii CDM ingebaki kuwa historia 2 koz chama kingeuzwa mapema.........
Kinyume na unavyofikiria Arumeru ni jimbo moja lakini muhimu kulishinda kuliko majimbo mengine yote au hata kura zote za udiwani. Kwangu kinachoendelea Arumeru ni kama kilichokuwa kinatokea Fallujah in 2007.
Topical,
..hivi Prof.Ibrahim Lipumba na Georgina Mtenga wameshafunga ndoa??
Wamefunga ndoa nami nilikuwa shahidi, imefungwa mbele ya sheikh kundecha na watu wengine maarufu..next.
I wont urgue with a fool as it is written "dont urgue with a fool".
Topical,
..lakini Georgina si alikuwa mke wa mtu?
..Prof walishamalizana na yule jamaa wa Kichagga?
..imekuwaje Kundecha akafungisha ndoa ya Muislamu na Mkristo??
Ndio utamu wa ndoa za kiislamu.... Vodafasta. Hata gesti shekhe anaweka ubaniTopical,
..lakini Georgina si alikuwa mke wa mtu?
..Prof walishamalizana na yule jamaa wa Kichagga?
..imekuwaje Kundecha akafungisha ndoa ya Muislamu na Mkristo??
Kinyume na unavyofikiria Arumeru ni jimbo moja lakini muhimu kulishinda kuliko majimbo mengine yote au hata kura zote za udiwani. Kwangu kinachoendelea Arumeru ni kama kilichokuwa kinatokea Fallujah in 2007.
Ndio utamu wa ndoa za kiislamu.... Vodafasta. Hata gesti shekhe anaweka ubani
Na kwa cdm huyu ndio mtu anae faa kuwa Rais. Wengine wote wakina M & S Company wana tamaa tu za madaraka. Nawaomba wana cdm muungeni mkono Zitto na apitishwe na chama
My take:
Kwa katiba la Tz la kuwa Rais on 10 years bases.. Mtu mwenye miaka 35 akiukwaa urais given kwenye 45 atalazimika kuwekwa kando Kama sio 40. Na Kwa umri huu ndio Wa ujana Lakini unapachikwa Jina la mstaafu..
Ni wazi sehemu ya maisha yako itakuwa kula kulala. Mara nyingi kwenye nchi ambazo hawana democracy hata mtoto anaweza kuwa mtawala but he/she will be there hadi anazeeka.. Na ikitokea nchi ya kidokrasia yenye mafungu ya kuongaza Kwa miaka kadhaa Na ikatokea kiongozi kijana.. Lazima atafanya jitihada za kuchakachua katiba ili ajinemeshee miaka zaidi.
Vijana wengi wa kwetu ni wakirupukaji, waninafsi Na wasaliti. Hang'ang'ania vyeo Na nafasi za juu sana za uongozi bila kufikiria after uongozi kuisha itakuwaje.. Mtu hata familia Hana, hajajua house management and children care ikovipi
nawachukia sana sababu ya kashfa zenu dhidi ya uislamNdio utamu wa ndoa za kiislamu.... Vodafasta. Hata gesti shekhe anaweka ubani
Kinyume na unavyofikiria Arumeru ni jimbo moja lakini muhimu kulishinda kuliko majimbo mengine yote au hata kura zote za udiwani. Kwangu kinachoendelea Arumeru ni kama kilichokuwa kinatokea Fallujah in 2007.
Nasikia KITILA MKUMBO NDIYE KAYAANIKA HAYA kwa wafuasi wa CHADEMA walioko Uingereza alipotembelea miji ya LONDON na READING? Lakini mimi sioni sababu ya SLAA kung'ang'ania kama nzi kwenye kidonga. Si alishatamka mwenyewe kuwa alilazimishwa kugombea urais mwaka 2010, sasa ugomvi wa nini? si awaachie wale wanaoutaka kwa hiari yao badala ya kulazimishwa? ZITTO ni kijana safi asiye na makundi ndani ya chama anweza kukipa sifa zaidi kuliko ilivyo sasa.