Ila mjinga hawezi fahamu werevu wa mwerevu. Ukawa wote ni nyumbu na mnafahamiana. Kamwe hamuwezi fahamu busara za CCM.Siku zote mjinga hawezi kuutambua ujinga wake kwakuwa hana akili ya kuutambua na kuupinga ujinga.
Yaani kama nzi wa kijani wanategemea mtu kama wewe ndo GT wao basi chama kimeshajifia
Atakama wataungana wapinzani wote, Hakuna kijana anaye weza kujenga hoja na kuzisimamia bila matusi wala kashfa kama Zito. Na Mungu ame mjaalia uwezo mkubwa wa kushawish tena kwa kujenga hoja. Tena ndiye Mbunge kijana aliye badilisha mitazamo ya vijana kwenye siasa na kwasasa vijana wengi wameingia kwenye siasa.Lingine lililomuaibisha ni kubadilishana jimbo na yule tapeli mwingine Serukamba
Pamoja na wananchi wa Kigoma kaskazini kutokuwa na uelewa lakini angepigwa chini kisa kuwa mtu wa potojo sasa
Amepuuzwa
Usifananishe UKAWA na vitu vya kijinga kama ccm,kuna kipindi kikwete na kinana waliwahi kusema ccm kuna mafisi na imani na wewe ni mmoja wa mafisi waliotajwa ndani ya ccmIla mjinga hawezi fahamu werevu wa mwerevu. Ukawa wote ni nyumbu na mnafahamiana. Kamwe hamuwezi fahamu busara za CCM.
Mkuu inaonekana una stress za maisha. Take it easy utazeeka mapema.Usifananishe UKAWA na vitu vya kijinga kama ccm,kuna kipindi kikwete na kinana waliwahi kusema ccm kuna mafisi na imani na wewe ni mmoja wa mafisi waliotajwa ndani ya ccm
Mimi nikiwa mwana Kigoma namshauri zzk amuombe Muha mwenzetu Diamond amfanyie promo ili arudi kwenye umaarufu alio kuwa nao hapo kabla maana sasa kina mcubic na MOTOCHINI wamempotezea mbali OMWAMI RUYAGWA
Ukawa hakuna stress,hizo huwa zinapatikana kwa wazee wa kufyatua ndo maana ukiwaona vijana wa ccm kama Steve Mangere anayejiita Steve Nyerere unashindwa kujua kama ni kijana au mzee wa miaka 80Mkuu inaonekana una stress za maisha. Take it easy utazeeka mapema.
Asante sana mkuu kwa uzalendo mkubwa sana,huo ni ukweli usio pingika na hii imetoa picha halisi ya tanzania,tumuombee sana mh rais wa kenya Uhuru Kenyata kwa uungwana wakeMkuu hii si hoja kwa sasa,hoja iliyoko mezani ni mtakatifu yohana paulo II kufundishwa uongozi na jirani zetu Wakenya.Inastaajabisha na kufedhehesha sana pale uonapo jirani yako analia zaidi katika msiba wako kuliko uliavyo wewe mfiwa.Wakenya wametuma jeshi lao (KDF) likiwa limesheheni misada ya kiutu kuja kuwasaidia wana Kagera.
Wakati Wakenya wakioneshwa kuguswa na msiba wa jirani,sisi wafiwa tunaukimbia msiba kwa kusingizia kuwa msiba huo ni mipango ya Mungu,kwamba haujaletwa na serikali!!Badala ya kuvitumia vikosi vyetu katika uokozi na ujenzi wa kambi za dharura kuhudumia wahanga,sisi tunavitumia vikosi vyetu kubariki uvunjaji wa katiba kwa kuwanyima wananchi haki ya kukusanyika na kutoa maoni yao.
Vikosi vyetu vilionesha uhodari wa kuvamia barabarani na kufanya mazoezi,lakini kamwe haviwezi kujitoa kwa ajili ya kuokoa ndugu zetu waliopatwa na maafa.Mambo haya ya ajabu ya kutoonesha kuwajari wananchi ndiyo hupelekea watu kudai Uhuru wa kujitenga.Maana wanaona kama wanajilazimisha kujiita Watanzania wakati "mwenye Tanzania yake" hawatambui.Hii ni hatari kwa umoja wa Taifa letu.[HASHTAG]#HapaKaziTu[/HASHTAG].
Nimependa hii post maana inawahusu wengi hasa hapa ubungoUkawa hakuna stress,hizo huwa zinapatikana kwa wazee wa kufyatua ndo maana ukiwaona vijana wa ccm kama Steve Mangere anayejiita Steve Nyerere unashindwa kujua kama ni kijana au mzee wa miaka 80
Teeeeeeh Teeeeeeeh hoja gani za zzk?Atakama wataungana wapinzani wote, Hakuna kijana anaye weza kujenga hoja na kuzisimamia bila matusi wala kashfa kama Zito. Na Mungu ame mjaalia uwezo mkubwa wa kushawish tena kwa kujenga hoja. Tena ndiye Mbunge kijana aliye badilisha mitazamo ya vijana kwenye siasa na kwasasa vijana wengi wameingia kwenye siasa.
Diamond kwa sasa ni maarufu mara 100 kuliko zzkAliyetua thread hii hajawa timam....inawezekanaje mbuzi kumfunza ulinnzi mbwa.Kumbuka diamond ni msanii na ZZK ni mwanasiasa,sasa promo gani ampe au promo za kujiunga na WCB....Think twice before you click a send button ..*****
Pole sana kwa kufutika kisi asa kwa sababu ya usalitiAliyetua thread hii hajawa timam....inawezekanaje mbuzi kumfunza ulinnzi mbwa.Kumbuka diamond ni msanii na ZZK ni mwanasiasa,sasa promo gani ampe au promo za kujiunga na WCB....Think twice before you click a send button ..*****
Aliyetua thread hii hajawa timam....inawezekanaje mbuzi kumfunza ulinnzi mbwa.Kumbuka diamond ni msanii na ZZK ni mwanasiasa,sasa promo gani ampe au promo za kujiunga na WCB....Think twice before you click a send button ..*****