ZZK mpinzani pekee aliyependwa na watawalaMimi nikiwa mwana Kigoma namshauri zzk amuombe Muha mwenzetu Diamond amfanyie promo ili arudi kwenye umaarufu alio kuwa nao hapo kabla maana sasa kina mcubic na MOTOCHINI wamempotezea mbali OMWAMI RUYAGWA
Tatizo ni usaliti na unafikiZzk kesha sahaulika ktk medani ya siasa kabisa
Hahahaaa team itakuwa imekamilika,!Anafanya maandalizi ya kumpokea lipumbaaa
ACT WASALITIHahahaaa team itakuwa imekamilika,!
kaprint kabisa uwapelekee makwaoCc:mcubic
Cc:MOTOCHINI
Mtu muovu anapotawala watu huuguaMkuu angalia kwanza ID yake na Avatar ytake
Mpaka unamtaja, maana yake anafanya vizuri na kwa haja.Mimi nikiwa mwana Kigoma namshauri zzk amuombe Muha mwenzetu Diamond amfanyie promo ili arudi kwenye umaarufu alio kuwa nao hapo kabla maana sasa kina mcubic na MOTOCHINI wamempotezea mbali OMWAMI RUYAGWA
U mean ur fellow low thinking levelNawashukuru sana member wenzangu walio itikia wito wangu kwenye uzi huu
Ina CDM hawana habari za kuuza kabisa?Cc:mcubic
CC:MOTOCHINI