[emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Mmawia bwana!sawa mzeeMimi nikiwa mwana Kigoma namshauri zzk amuombe Muha mwenzetu Diamond amfanyie promo ili arudi kwenye umaarufu alio kuwa nao hapo kabla maana sasa kina mcubic na MOTOCHINI wamempotezea mbali OMWAMI RUYAGWA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] majukumu yote ya chama ni kule huku JF anapagwayaMkuu mshana jr huo ndio uhalisia maana zzk sasa kahamia fb
Sahihisha kwanza diamond sio muha ni mmanyemaMimi nikiwa mwana Kigoma namshauri zzk amuombe Muha mwenzetu Diamond amfanyie promo ili arudi kwenye umaarufu alio kuwa nao hapo kabla maana sasa kina mcubic na MOTOCHINI wamempotezea mbali OMWAMI RUYAGWA
Mkuu mshana nikiongozi gani ambae hapaogopi humu?.Awe wa upinzani au chama tawala?.Naomba umtaje mmoja tu tena wa upinzani maana ccm tunawajua uwezo wao nimdogo.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] majukumu yote ya chama ni kule huku JF anapagwaya
Kwakweli sijafanya utafitiMkuu mshana nikiongozi gani ambae hapaogopi humu?.Awe wa upinzani au chama tawala?.Naomba umtaje mmoja tu tena wa upinzani maana ccm tunawajua uwezo wao nimdogo.
Sawa mkuu nihayo tu.Kwakweli sijafanya utafiti
Hahhahahaaaa si unajua kule tena chochote ni likeSasa hivi kskimbilia fb kwenye vijana wa form 3
Mimi nikiwa mwana Kigoma namshauri zzk amuombe Muha mwenzetu Diamond amfanyie promo ili arudi kwenye umaarufu alio kuwa nao hapo kabla maana sasa kina mcubic na MOTOCHINI wamempotezea mbali OMWAMI RUYAGWA