Zitto muangukie Diamond akupromoti

Zitto muangukie Diamond akupromoti

Mimi nikiwa mwana Kigoma namshauri zzk amuombe Muha mwenzetu Diamond amfanyie promo ili arudi kwenye umaarufu alio kuwa nao hapo kabla maana sasa kina mcubic na MOTOCHINI wamempotezea mbali OMWAMI RUYAGWA
Ila we jamaa akili zako sijui ziko vipi hivi ni lazima kuandika mada? Kwani ukiwa msomaji tu kuna ubaya gani?
 
Mkuu mshana nikiongozi gani ambae hapaogopi humu?.Awe wa upinzani au chama tawala?.Naomba umtaje mmoja tu tena wa upinzani maana ccm tunawajua uwezo wao nimdogo.
Mkuu mshana nikiongozi gani ambae hapaogopi humu?.Awe wa upinzani au chama tawala?.Naomba umtaje mmoja tu tena wa upinzani maana ccm tunawajua uwezo wao nimdogo.
Godless Lema huwa anashusha nondo humu baada ya nusu saa tu anahojiwa na Polisi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom