Zitto: Mbowe ni Kiongozi wangu, Tusameheane

Zitto: Mbowe ni Kiongozi wangu, Tusameheane

Mambo yameiva. Waliotoka cdm ambao ni vifaa sasa wanafuatiliwa kwa nguvu zote. Na msifikiri hii ni kazi ya Mbowe. Hana akili hii. Mkakati huu ni wa mwanasiasa mjanja el kuwakusanya wanasiasa potential walioondoka kambi ya upinzani ili kuunda upinzani ulioshiba tayari kwa mapambano kuanzia sasa. Kumbuka alichosema el baada ya kushindwa kuingia ikulu.

Mpaka sasa rais jpm anafanya kazi njema. Inabidi wana ccm na hasa walio katika nafasi za utendaji wakaze buti ili kupata imani ya watz wengi zaidi na hasa wapinzani.

Lengo ni 2020 waendelee kuisoma namba kwani ccm ni ile ile na makali ni yale yale kama ilivyokuwa 1995, 2000, 2005, 2010, 2015. CCM oyeee.
Mkuu kepler telescope,hii kitu uliyoandika hapo juu nimeipata kutoka kwa mtu ambaye ni "strategist" mkubwa wa "TEAM EL" aliyepo UDSM.Kama ni kweli,basi tutegemee mambo makubwa sana toka upinzani 2020.
 
YES...!!!!!!!Naona huko bungeni this time kutaibuliwa mengi.Wapi Kafulila....wapi Machari...wapi Wenje.Tuombe Kafulila ashinde arudi bungeni.Tunahitaji maendeleo siyo Taarab ya mipasho bungeni.
Kweli kabisa mkuu kwa tanzania hii tuliyo nayo tunahitaji wabunge imara ambao watasema taarabu kwao ni mwiko kama walivyo imara wabunge wa ukawa
 
Yeah nakubaliana na wewe kabisa. ..hebu ngoja tuone hii itaishia wapi lakini CDM lazima wawe waangalifu sana kwenye ishu ya kubadili uongozi na hili lifanyike ASAP! pili hii kolabo na Zitto kwakuwa Zitto ana rangi nyingi na hana msimamo
Mkuu amini maneno yangu,huo urafiki utabaki kuwa urafiki wa mbowe na zzk na kamwe zzk hawezi kurudi cdm na kupewa uongozi wa level aliyo kuwa nayo kabla ya kuasi
 
Mkuu amini maneno yangu,huo urafiki utabaki kuwa urafiki wa mbowe na zzk na kamwe zzk hawezi kurudi cdm na kupewa uongozi wa level aliyo kuwa nayo kabla ya kuasi
Hilo naliona wazi kabisa
 
Wa kijani wameanza plan AxBxC+RxS, .......mwisho wataibuka kudedea....
 
You are right...HAAMINIKI...

Yaliyopita hayawezi kuchukuliwa Kirahisi Pia

Ila naamini kila mmoja amekaa na kutafiti wapi alikosea...wakiwa Honest...Hasa Zito,slaa na Mbowe...wakaombana Msamaha...wakakosoana kwa ukweli......wakaweka Foundation ....na kutojikweza binafsi...watafika mbali

Kuna advantage ya kuwa na Mababa wa siasa safi kina Lowasa...Mind you ACT ilikuwa ni ya Lowasa na ilikuwa ni plan ajiunge na Zito
Mambo yameiva. Waliotoka cdm ambao ni vifaa sasa wanafuatiliwa kwa nguvu zote. Na msifikiri hii ni kazi ya Mbowe. Hana akili hii. Mkakati huu ni wa mwanasiasa mjanja el kuwakusanya wanasiasa potential walioondoka kambi ya upinzani ili kuunda upinzani ulioshiba tayari kwa mapambano kuanzia sasa. Kumbuka alichosema el baada ya kushindwa kuingia ikulu.

Mpaka sasa rais jpm anafanya kazi njema. Inabidi wana ccm na hasa walio katika nafasi za utendaji wakaze buti ili kupata imani ya watz wengi zaidi na hasa wapinzani.

Lengo ni 2020 waendelee kuisoma namba kwani ccm ni ile ile na makali ni yale yale kama ilivyokuwa 1995, 2000, 2005, 2010, 2015. CCM oyeee.
JF Great thinker mnakuja na kupotea, umeliangali hili jambo kwa macho ya mbali
 
Kuna watoto humu walishamaliza matusi yote kumtukana Zitto....wengine wakajivika unabii na unajimu kuwa kamwe hatarudi bungeni.......hii ni ishara ya jinsi gani vijana wetu walivyokosa uwezo wa kufikiria zaidi ya kujibu matusi.....tena wakati mwingine yale ya nguoni......leo hii huko waliko wanatafuta lugha nzuri za kumsifu Zitto huku nafsi zao zikiwasuta......
HII INATUFUNDISHA KUWA MUNGU ANAPOKUWA UPANDE WAKO MWANADAMU HAWEZI KUKUZUIA.....
 
Pamoja na kwamba zzk hua namwamini kimachale machale but still niliwahi ku comment sehemu kwamba zzk ni kijana wa mbowe kisiasa, kwenye sakata la Escrow zzk alialikwa kwenye kikao cha wabunge wa ukawa.
 
Mwami Ayatollaah sio mtu wa kumuamini hata kidogo
Ameandika Barua kuomba ahamishiwe Kamati ya Mashirika ya Umma tayari.
Kumbuka kamati ya Mwanzo ya Mambo ya Jamii alijidai kuipokea kwa Mikono miwili na kuahidi kufanya nayo kazi



Mkuu kabisa Ayyatolah mwami ruyagwa hafai kabisa kuaminika joka kubwa la migombani hilo
 
ndumila..
unaua huku upate huku ukikosa huku unarudi huku zumbukuku.
 
yaani leo chadema wanasema eti taarifa hizi zi wafikie CCM kweli? baada ya ZItto kuondoka chadema si chadema walio mtukana kuwa ni msaliti na hafai kabisa leo kaandika hayo maneno eti taarifa zi wafikie CCM wa lipi akati mnavo mtukana Zitto CCM walikuwa mbali kabisa

by the way zitto hawezi rudi chadema
 
Zitto hafai full stop wasameheane na mbowe ila sisi hatumtaki
 
yaani leo chadema wanasema eti taarifa hizi zi wafikie CCM kweli? baada ya ZItto kuondoka chadema si chadema walio mtukana kuwa ni msaliti na hafai kabisa leo kaandika hayo maneno eti taarifa zi wafikie CCM wa lipi akati mnavo mtukana Zitto CCM walikuwa mbali kabisa

by the way zitto hawezi rudi chadema
Tatizo mh zito ndumilakuwili Ni Kama Hamad Rashid, binafsi nilimpenda Sana Leo yuko hivi Kesho kabadilika ni vigumu kumuamini tena
 
Back
Top Bottom