nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
kiukweli zitto amejengwa sana na mbowe kisiasa japo ni ukweli mchungu kwa mashabiki wa zitto...
Mwami Ayatollaah sio mtu wa kumuamini hata kidogo
Ameandika Barua kuomba ahamishiwe Kamati ya Mashirika ya Umma tayari.
Kumbuka kamati ya Mwanzo ya Mambo ya Jamii alijidai kuipokea kwa Mikono miwili na kuahidi kufanya nayo kazi
Jitulize weweCc mcubic
Cc MOTOCHINI
Cc Vibaraka wote
Mmenifurahisha sana hakuna sababu ya kukakaa na kinyongo moyoni,Kwa sababu hakuna faida yoyote zaidi ya kuikosesha nafsi amani
"Mbowe siku zote amekuwa kiongozi wangu na siwezi kubeza nafasi yake ktk kujenga demokrasia nchini. Tulipishana. Tulikoseana. Tusamehane"....Zitto Zuberi Kabwe
Hayo ni maneno ya ZZK katika Account yake ya facebook
sawaZito hana tabia ya umimi hicho unachoita umimi ni tabia ya kujiamini ambayo kila mwanaume anatakiwa kuwa nayo.
hujui kuwa aliyeanza ni mbowe?Nangoja majibu ya Mbowe, mkono wa amani umetoka kwa zitto. Sijui kama pia atasamehe ailvyo susiwa mazishi ya mama yake mpendwa, mungu amrehemu.
we ulitakaje?kama kawa mliaminishwa msaliti .. jamaa kabadili gia angani! kama kawa nyumbu mtabadili msimamo...!!
mtizamo wangu;naona sababu iliyomfanya ZZK kujipambanua karibu na upinzani wa kweli(UKAWA)ni kwa sabb Magu hakumpa kick kama alivofanya mtangulizi wake ss unategemea ktk hali angefanyaje,wote mnajua aliyekuwa anampa jeuri ni nani na ss hiv hana ushawishi kabisa ktk awamu mpya ya hapa kaz tu!Alikipigia sana promo chana chake kujaza wagombea nchi nzima lkn aliambulia Ubunge kwao tu!hivi haitoshi kujua kuwa alikuwa anachungulia kaburi la kisiasa?
Lakini mlisema huyu Zitto anatumiwa na ccm kuua upinzani?
Mlisema anawasiliana na Usalama wa taifa kuiangamiza chadema.
Mlisema amepewa pesa nyingi sana, nakumbuka ile ripoti ya siri ikionyesha mpaka transaction za benki.
Kumbe yooote ilikuwa usanii wa viongozi wa chadema.
Lissu na mnyika walisema wanao ushahidi namna Zitto alivyonunuliwa na Usalama wa taifa.
Siasa wengine tumezishindwa inabidi kujipa uzezeta ndio ukubaliane na wapinzani wa Tanzania.