Zitto: Mbowe ni Kiongozi wangu, Tusameheane

Zitto: Mbowe ni Kiongozi wangu, Tusameheane

Wale wafata upepo kama bendera mna kazi aisee
 
Kukaa na chuki/Ugomvi moyoni ni kitu kigumu sana wachache wanaweza. BigUp Zitto & Mbowe.
 
kumbe ndio maana, siku za hivi karibuni ukimtazama Zito akiwa kwenye mazungumzo body language yake inatoa viashiria kwamba kuna tukio flani kubwa linakuja hata mavazi yake amebadili na namna anavyonyoa nywele anatengeneza personality flani hivi, kwanza ameanza kuvaa zile nguo kama alizokua akivaa nyerere za Chou en lai, kaunda suti yenye colar iliyokatwa round, na pia tazama anavyonyoa, he aims at something bigger, kama kawaida ya CCM naye ataambulia Vumbi, muda wake wa kuvuma bahati mbaya umeshapita, analazimisha naye ataingia kwenye historia ya kushindwa dhidi ya CCM, watch this space...
Mkituibia kura this time tutadai Jamhuri yetu pumbavu nyie...
 
"Mbowe siku zote amekuwa kiongozi wangu na siwezi kubeza nafasi yake ktk kujenga demokrasia nchini. Tulipishana. Tulikoseana. Tusamehane"....Zitto Zuberi Kabwe

Hayo ni maneno ya ZZK katika Account yake ya facebook

Hayo maneno kayaongelea wapi ndugu,au ndio kuongeza chumvi ili kumpamba Mr DJ????
 

Attachments

  • 1454531770637.jpg
    1454531770637.jpg
    48.6 KB · Views: 40
"Mbowe siku zote amekuwa kiongozi wangu na siwezi kubeza nafasi yake ktk kujenga demokrasia nchini. Tulipishana. Tulikoseana. Tusamehane"....Zitto Zuberi Kabwe

Hayo ni maneno ya ZZK katika Account yake ya facebook
Watu wanaweza Kumbeza Lakini Kwa Muda wa Miaka Nimemfuatilia, Sijapata Kuona Kiongozi Tanzania Mwenye Nguvu za Kisiasa, Anayepewa loyalty, mwenye Uzalendo, Mwenye maono Kisiasa, Kama Freeman Mbowe. Naweza Kabisa Kumwita Ni Pioneer wa Kisiasa Kama alivyokuwa Mwal Nyerere. Na Ni Muungwana sana. Msikilize Magufuli alipomsifia Mbowe.

 
Nyumbu wa Lowassa. Hata hamtumii vichwa kufikiri. Kubenea kapata kibarua kingine cha kumsafisha Zitto.

Tena kazi yenyewe ndogo na bado mwenyekiti ataomba kumaliza tofauti za chadema na ccm very soon so wale wafuasi fuata upepo mtapasuka aisee.
 
"Mbowe siku zote amekuwa kiongozi wangu na siwezi kubeza nafasi yake ktk kujenga demokrasia nchini. Tulipishana. Tulikoseana. Tusamehane"....Zitto Zuberi Kabwe

Hayo ni maneno ya ZZK katika Account yake ya facebook
Safi sana , haya ndio watanzania wanayataka uwakilishi wa dhati si maslahi ya chama. Hongera Zitto, hongera Mbowe. Dr. Slaa tubu kwa watanzania uliowasaliti urudi nchini ujenge nchi, makosa hayakimbiwi bali kutubu na kujirekebisha.
 
Kuna watu wanafikiri kwa niaba yenu nyumbu nyie. Mnaongozwa na matukio.

Chenge mbona hatuhusu? Yeye ndiye anayefikiria kwa niaba yenu kuhusu namna bora ya kuwekeza pesa za Escrow..... na mkamkabidhi kuwaandikia katiba na sasa mmeshukuru zaidi uwekezaji wenu wa rada mmempa na uenyekiti wa bunge.
 
Chenge mbona hatuhusu? Yeye ndiye anayefikiria kwa niaba ya NYUMBU CCMSCROW kuhusu namna bora ya kuwekeza pesa za Escrow..... na mkamkabidhi kuwaandikia katiba na sasa mmeshukuru zaidi uwekezaji wenu wa rada mmempa na uenyekiti wa bunge.
 
Ni wanadamu walikoseana na wameona inatisha sasa na wameamua kusameheana; hilo ni jambo zuri na linaonyesha ukomavi sio wa kisiasa tu bali wa kiakili
 
Ni dhahiri shahiri sasa tumerudi kuwa wamoja.....
 
Back
Top Bottom