Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,664
Ni vigumu kuishii nyumba Moja na nyoka... Brother mbowe mtumieni huyo kwenye mambo baadhi tu mengine msimshirikishe hata tone
Anything in politics can happen its just a matter of time.. Waungane kwa maslahi ya Taifa
Cc mcubic
Cc MOTOCHINI
Cc Vibaraka wote
Siasa Si-Hasa! A week in politics.
Zito hana tabia ya umimi hicho unachoita umimi ni tabia ya kujiamini ambayo kila mwanaume anatakiwa kuwa nayo.Yes....Lakini ana walakini wa UMIMI
Brains zote zipo upinzani. Mediocrity nyumbani CCM.Hawa walizaliwa na asili ya upinzani, huwezi kukuta wakaenda chama tawala. Ni kama lissu akienda ccm hapendezi kabisa