Zitto: Mbowe ni Kiongozi wangu, Tusameheane

Zitto: Mbowe ni Kiongozi wangu, Tusameheane

"Mbowe siku zote amekuwa kiongozi wangu na siwezi kubeza nafasi yake ktk kujenga demokrasia nchini. Tulipishana. Tulikoseana. Tusamehane"....Zitto Zuberi Kabwe

Hayo ni maneno ya ZZK katika Account yake ya facebook
Mbowe ni BONGE LA MJASIRIAMALI.Huyu Zitto hajajifunza bado,ametegwa kadumbukia KICHWAKICHWA.Atalia tena soon
 
Kwahiyo ni nini msimamo wake kuhusu Lowassa kwa sasa ili nifanye uamuzi.Cc Zitto
 
Tuwe watu wa kufikiri zaidi ya kufikiri na tusiendeshwe na mihemko tukasahau ya nyuma , historia ya yaliyotokea haitaweza na hili tukio
Kuna watu wanajua kucheza na maisha anaangalia upepo mzuri unavuma wapi
Zitto ana kinyongo na ccm , walimuahidi mengi wakafanya kidogo lengo Lao lilopotimia wakampotezea
Zitto alikuwa anasahaulika kwenye siasa za Tanzania na alijua akitaka kuwika tena afanye nini! Ona leo hii keshakuwa gumzo , hiki ndio alikuwa anakitaka
Zitto ana ndoto za mbali za kuja kuwa mgombea urais na pengine kuwa rais wa Tanzania/Tanganyika 2020/2025
Plan A ya kupata walau Uwaziri au nafasi nyeti serikalini imekwama ! Hii ya sasa ni plan B anajijenga upya, huko mbeleni atafanya lolote ZITTO HAAMINIKI
ww unaona mbali sana mpo watu wachache sana wa dizain zenu hasa hapa tz
 
Mchonganishi keshaondoka madarakani, sasa ni muda wa wapinzani kurudi pamoja..
 
Katika siasa hakuna rafiki wala adui wa kudumu.
 
Kinachotakiwa wapeleke maendeleo kwenye majimbo yao ambako walichaguliwa kama wabunge hayo mengine ni porojo za mpiga filimbi wa hamelini
Unakifahamu vizuri kisa cha mpiga filimbi wa HAMELIN au umekuja na bandiko ambalo halihusiani (irrelevant) na unachokiwaza kichwani?
 
Naendelea kuielewa 'siasa' kadri muda unavyokwenda....! ukijifanya wewe ni 'die-hard fun' unaishia kupata ulcers na shambulio la moyo
 
Chenge mbona hatuhusu? Yeye ndiye anayefikiria kwa niaba yenu kuhusu namna bora ya kuwekeza pesa za Escrow..... na mkamkabidhi kuwaandikia katiba na sasa mmeshukuru zaidi uwekezaji wenu wa rada mmempa na uenyekiti wa bunge.
Ma bado gamba mwenzie Lowassa tukampeleka CHADEMA ili kuwapumbaza. Palipo na Chenge pana Lowassa and vice versa.
 
Back
Top Bottom