Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 375,861
- 870,820
Tuwe watu wa kufikiri zaidi ya kufikiri na tusiendeshwe na mihemko tukasahau ya nyuma , historia ya yaliyotokea haitaweza na hili tukio
Kuna watu wanajua kucheza na maisha anaangalia upepo mzuri unavuma wapi
Zitto ana kinyongo na ccm , walimuahidi mengi wakafanya kidogo lengo Lao lilopotimia wakampotezea
Zitto alikuwa anasahaulika kwenye siasa za Tanzania na alijua akitaka kuwika tena afanye nini! Ona leo hii keshakuwa gumzo , hiki ndio alikuwa anakitaka
Zitto ana ndoto za mbali za kuja kuwa mgombea urais na pengine kuwa rais wa Tanzania/Tanganyika 2020/2025
Plan A ya kupata walau Uwaziri au nafasi nyeti serikalini imekwama ! Hii ya sasa ni plan B anajijenga upya, huko mbeleni atafanya lolote ZITTO HAAMINIKI