Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,233
Hii inahitaji muda na umakini mkubwa japo ndio naliona hilo tatizo lakini afadhali ilivyo sasa kuliko ikatokea successors wakawa wrong IDS
Lakini mkuu any living organization must develop a plan...and implement it.....Leo kusingekuwa na Haja ya kuanza kuwa na kina zitto tena ilihali tunajua mapungufu yake mengi sana hasa ya "UMIMI"