Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,261
- 98,289
Mfalme juha hana na hajawahi kuwa na akili ya kujitafakari maana anaamini kashushwa na malaika
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana kabisa maana ya Lissu yalianza hivi hivi.
Hata Ben Saanane ilikuwa hivi hivi na mpaka leo hajulikani alipo.
Zitto amekuwa akivujisha mambo mengi mazito na sijawahi sikia kakamatwa au kushitakiwa kwa kuchafua watu fulani zaidi ya kushitakiwa kwa kuituhumu Polisi kwa mauji huko Uvinza, Kigoma hivi karibuni.
Kama madai haya ni ya kweli, basi kuna mtu(anaepanga mambo haya ) lazima ajiulize ni kwanini siri zinavuja kama kweli wote wanaomzunguka wanamkubali na pia yeye mwenyewe ajitafakari kama yuko .......
Sent using Jamii Forums mobile app