Zitto: Kuna operation maalum ya kunimaliza (kuniua)

Zitto: Kuna operation maalum ya kunimaliza (kuniua)

Kupitia account yake ya twitter mbunge wa Kigoma mjini amesema kuna operation maalumu iliyoanzishwa kwa lengo la kummaliza.

Tunafahamu kuwa Operesheni Maalumu #Mzizima2 imepewa kibali kutekelezwa. Dhima ‘ Vita ya Mwisho kuleta Nidhamu kamili’ inataka kinachoitwa kumnyamazisha SAI ( mie huyo ). Wakajipange upya Tu. Mungu tu Ndio anaweza kuninyamazisha. SIOGOPI mwanadamu mwenzangu aslani

We are aware of a special operation to ‘finish’ me off. Special Operation code named ‘Mzizima 2’ has been given the go ahead with the mission ‘Final Battle for the Total Discipline’. The aim of the mission is to completely silence the voice of SAI (aka Zitto). They Better replan

Duuu!! Hii nchi tumefikia pabaya sana kila sehemu hakuna mwenye nafuu si ajabu hata mie nipo kwenye rada zake naona.
 
We ZEZETA Zakaria alishajibu hili swali kule Tarime ni nani wauwaji
Wewe ndio kundi la wajinga coz unaangaika na propaganda za akina zito.Umejaribu kumuuliza nani anataka kumuua?Umemuuliza Karipoti polisi?Au tayar mshajua ni nani anataka kumuua?

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu[/QUOTE. We ZEZETA Zakaria alishajibu hili swali kule Tarime.ni nani wauwaji.
 
Hata alipokua chadema alisema mlitaka kumuua
Zitto anaweweseka,ameona serikali imemchunia juu ya yote aliofanya anaanza kuweweseka
Serikali ikitaka kumuua zitto,haihitaji kufanya operesheni maalum,aache kujitekenya na kucheka mwenyewe
Uelewa wako ni mdogo na inawezekana humjui vizuri Zitto Zuberi Kabwe. Mzalendo pekee asie ogopa kusema chochote bila woga
 
Wewe ndio kundi la wajinga coz unaangaika na propaganda za akina zito.Umejaribu kumuuliza nani anataka kumuua?Umemuuliza Karipoti polisi?Au tayar mshajua ni nani anataka kumuua?

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
Ahsante! Kama imekuuma naamini unahusika!
 
Ahsante! Kama imekuuma naamini unahusika!
Nasaidia kuwatoa UPUMBAVU kichwani. Lazima muwe mnawahoji hao viongoz wenu.Sema na wenyewe wanajua wanawafuasi wa aina gani.

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
 
Haya. Lieu baraka ya kwenda polisi alikwenda mtandaoni Je cruiser nyeupe mliizuia?
Haya sasa ni mlemavu tena kwa bahati. Wambieni waende polisi.
Regnad Mengi na Pesa zake mara kadhaa amekuwa akiarifu polisi pale anapotishwa.
Likitokea la kutokea utakuwa ni mpango wa kuichafua serikali

Mengi yupi? Huyu sie ambaye alituhabarisha kupitia tv yake kuhusu hujuma alizotaka kufanyiwa. Kama mkuu hamkupenda zito alivyomwaga mboga, kajinyonge. Aibu kubwa imewafika. Lisu analindwa na Mwenyezi Mungu hategemei policcm.
 
Hivi nikuulize dereva wa Lissu anahitajika kwa kazi gani hasa?
Maana Kama ni uchunguzi hata Lissu alikuwa na fahamu mpaka anapelekwa hospital yeye Kama ilivyo kwa dereva walishuhudia mkasa wote huo. Wote pia wakaomba wahojiwe pamoja wakiwa hospital maana hawana imani na Nia yenu ya kumtesa dereva na kumlazimisha aelezee wananchi story mtakayompa nyie baada ya kumtesa vya kutosha

Sent using Jamii Forums mobile app

Simon Siro aliposema tu kuwa atawatuma makamanda wake kwenda kuwahoji kina Lissu mtu wa kwanza kucomment alikuwa ni Lissu mwenyewe akidai kuwa hawawezi kwenda kumhoji akiwa Kenya bila kibali cha mwanasheria mkuu wa Kenya. Kwa nini alihisi hicho kibali hakikuwepo au hakikutafutwa? Na baada ya hapo ulipita muda mfupi sana Lissu akajihamishia kwenda Ubeljiji. Jiulize na hilo kama unapenda kutumia ufahamu wako. Halafu Lissu alisema akiwa Nairobi kuwa dereva wake hawezi kuhojiwa bila yeye kuwepo. Jiulize na hilo. Mtu anayekisiwa kuwa kakutenda wewe unadai kuwa hahojiwi bila msaada wako. Tena jiulize ni kwa nini watu wazima waongee uongo kuhalalisha dereva kutokuwa nchini??? Mara dereva anatibiwa kisaikolijia wakati baada ya ajali yeye alikuwa mzima na akaeleza mkasa ulivyokuwa nina hakika baada ya kufundishwa huko Nairobi na Ubeljiji atakana yale maneno aliyozungumza siku ile. Leo tena wanasema yuko Ubeljiji akitafuta masomo ya certificate baadaye diploma na kisha degree yote hayo ni kuhalalisha asiwepo TZ. Kama hayo huyaoni jifikirie mara mbili my friend.
 
Kwani tunguli zake hazifanyi kazi?
Umechagua njia mbaya sana ndugu,huna utu,huna huruma,ushabiki wa vyama umekutoa kabisa katika ubinadamu,humuogopi Mungu wala shetani,umechagua njia ambazo hata shetani anaogopa kupita,umesahau wewe pia utakufa,bila faida yeyote si mali wala hali.Hata kama huamini uwepo wa Mungu basi huna utu?kila siku kushabikia mauaji tu utadhani wewe utaishi milele.
 
Kupitia account yake ya twitter mbunge wa Kigoma mjini amesema kuna operation maalumu iliyoanzishwa kwa lengo la kummaliza.

Tunafahamu kuwa Operesheni Maalumu #Mzizima2 imepewa kibali kutekelezwa. Dhima ‘ Vita ya Mwisho kuleta Nidhamu kamili’ inataka kinachoitwa kumnyamazisha SAI ( mie huyo ). Wakajipange upya Tu. Mungu tu Ndio anaweza kuninyamazisha. SIOGOPI mwanadamu mwenzangu aslani

We are aware of a special operation to ‘finish’ me off. Special Operation code named ‘Mzizima 2’ has been given the go ahead with the mission ‘Final Battle for the Total Discipline’. The aim of the mission is to completely silence the voice of SAI (aka Zitto). They Better replan

Huyu Zitto naye anataka kuleta ushujaa wa mitaani. Wewe unatangaza rasmi kwamba kuna mpango wa kukumaliza. Badala ya kuchukuwa tahadhari, wewe unajitapa hawakuwezi, that's nonsense! Omba na tafuta kila njia halali ili kuepuka matatizo kama hayo.

Afrika hii kuna watu wapuuzi waliowezekana halafu wewe unasema hawakuwezi! Samwel Doe alijiaminisha kwa ushirikina hadi kugoma kupewa helicopter ya kumuokoa, matokeo yake akauwawa kishenzi tu! Kama nawe una imani za aina hiyo hustahili hata kuongoza chama cha siasa.
 
Nimefurahi tu na Code za Operation umeweka wazi ..hao waliopanga huko wanashangaa sasa hivi hizo info zimevujaje

Haya mashetani yamesha onja damu ya Lissu,Mawazo,Azory ,Ben Saanane na wale waliokuwa wanaelea mto Ruvu kwenye viroba Mwigulu akatuambia ni wahamiaji haramu ,bila kusahau Kibiti hivyo hawawezi acha
Uzuri auwae kwa upanga atauliwa kwa upanga ni swala la muda tu

Na amwagae damu zisizo na hatia laana yake ipo mpaka kizazi cha nne huko

Sent using Jamii Forums mobile app
Yawezekana kweli, lakini pia inaweza kuwa ni hisia zake tu. Idd Amin wa Uganda alitumia mtindo huo. Kwa tabia yake, Amini alikuwa haamini kwamba hakuna njama za kumuondoa wakati wowote. Hata kukiwa na ukimya alizua mauaji ya haraka ili kuwaweka wote kwenye tahadhari. Zitto ana ushahidi? Kama ameweza kutaja majina ya operesheni, naomba awe muwazi. Taja na majina ya waliopewa kazi hiyo. Hiyo ndo mbinu rahisi na vijulishe vyombo ya usalama bila kujali kuhusika kwao. Kama hawezi basi tutajua anatafuta kiki maana naye kisiasa anaondoka hivyo!

Hakuna nchi ya nje itakayomulinda. Pamoja na matatizo hayo bado walioko nje wanatagemea vyombo vya ndani.
 
Mtawala analitafutia taifa matatizo makubwa. Kama hawawezi kutawala kwa ninii wanalazimisha?
Unajua sababu ya msafara wa rais kukimbia kwa spidi zaidi ya 100, huko mbele kukiwa na gari ya kusafisha njia? Mwenendo wa mtawala hautakiwi kuzuiliwa. Tangu enzi za Roman empire, Greek empire, machifu na watemi wetu na leo hii marais wetu.

Yeyote anayejidai kupambana na mtawala wa nchi ni bwege na mjinga! Ukitaka ushujaa wa kupambana na mtawala ni dalili za ubwege na sifa za kijinga. That is my human observation. m,ambo ya Mungu yupo na nini sijui, ni uzembe tu!
 
Kupitia account yake ya twitter mbunge wa Kigoma mjini amesema kuna operation maalumu iliyoanzishwa kwa lengo la kummaliza.

Tunafahamu kuwa Operesheni Maalumu #Mzizima2 imepewa kibali kutekelezwa. Dhima ‘ Vita ya Mwisho kuleta Nidhamu kamili’ inataka kinachoitwa kumnyamazisha SAI ( mie huyo ). Wakajipange upya Tu. Mungu tu Ndio anaweza kuninyamazisha. SIOGOPI mwanadamu mwenzangu aslani

We are aware of a special operation to ‘finish’ me off. Special Operation code named ‘Mzizima 2’ has been given the go ahead with the mission ‘Final Battle for the Total Discipline’. The aim of the mission is to completely silence the voice of SAI (aka Zitto). They Better replan

Umeshapeleka haya malalamiko umoja wa ulaya?
 
Ajiangalie ohooo watu wanapoteaga hivi hivi na wala hawajulikanagi walipo
 
Kupitia account yake ya twitter mbunge wa Kigoma mjini amesema kuna operation maalumu iliyoanzishwa kwa lengo la kummaliza.

Tunafahamu kuwa Operesheni Maalumu #Mzizima2 imepewa kibali kutekelezwa. Dhima ‘ Vita ya Mwisho kuleta Nidhamu kamili’ inataka kinachoitwa kumnyamazisha SAI ( mie huyo ). Wakajipange upya Tu. Mungu tu Ndio anaweza kuninyamazisha. SIOGOPI mwanadamu mwenzangu aslani

We are aware of a special operation to ‘finish’ me off. Special Operation code named ‘Mzizima 2’ has been given the go ahead with the mission ‘Final Battle for the Total Discipline’. The aim of the mission is to completely silence the voice of SAI (aka Zitto). They Better replan

Zito huwa ni muongo sana na anapenda kulia ili watu au wananchi waone anaonewa lakini ndumilakuwili na hapo kuna watu wapo wanaingizwa KING mtakuja sikia anajifanya yupo pamoja nao kumbe anawaliza hafai kabisa.
 
Uelewa wako ni mdogo na inawezekana humjui vizuri Zitto Zuberi Kabwe. Mzalendo pekee asie ogopa kusema chochote bila woga
unamzunguzmzia Zitto yupi?aliefukuzwa chadema au anaejifanya Mungu huko ACT Wazalendo?
 
kiki zao ndo zinawaletea shida. Huyo zitto mzee wa misifa ndo mshahara wake huo. anajifanya kila kitu anajua yeye wakati nchi iko nyuma sana kimaendeleo. tunahitaji mshikamano yeye analeta kiki za kitoto
Kwahiyo unataka kila mtu ageuke kuwa Msukule wa Lumumba wa kuunga mkono kila kitu sio?!

Labda tu nikukumbushe hata maandamano yanayotokea sasa eti kumuunga mkono Rais kwa kupiga stop kikokotoo cha pension, ni huyo huyo unayemuona anatafuta kiki ndie alikuwa miongoni mwa watu wa awali kabisa kuzungumzia ubaya wa mfumo huo mpya!

And to be honest, kama kweli Magu ana nia mzuri na mustakabali wa nchi hii, basi anawahitaji zaidi hao watafuta kiki ambao hawaoni taabu kumkosoa kuliko akina nyie mlie tayari kuunga mkono kila kitu in the name "mshikamano!"
 
Nasaidia kuwatoa UPUMBAVU kichwani. Lazima muwe mnawahoji hao viongoz wenu.Sema na wenyewe wanajua wanawafuasi wa aina gani.

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
Lisu alitoa taarifa hivi hivi ... nafikiri unajua kilichompata. Hata uchangiaji wako wa matusi unaonesha we ni mtu wa namna gani?
 
Back
Top Bottom