Haya ujue utulivu uliopo ni uimara wa polisi na kuaminiwa na raia wema. Lieu na chadema wamegoma kulipa ushirikiano jeshi la polisi wamekwama.Mengi yupi? Huyu sie ambaye alituhabarisha kupitia tv yake kuhusu hujuma alizotaka kufanyiwa. Kama mkuu hamkupenda zito alivyomwaga mboga, kajinyonge. Aibu kubwa imewafika. Lisu analindwa na Mwenyezi Mungu hategemei policcm.
Tii sheria bila shuruti kuwa raia mwema.