Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,557
Walikuambia watakuja.kwetu !? Au ni uzushi wako kama ZittoNilifikir wa tz wote mutaungana khs lalamiko la zito na kukemea vitendo ya kikatil vinavyoendelea nchin kwenu vya kutesa na kuua kila anaemkosoa mflame kumbe la wapo wanaosema kik, wapo wanaosema ngonjera nk
msisahau kuhusu TL Pia kuhusu ben saa 8 nao walitoa malalamiko yao hiv hiv lakn mliwapuuza na kukejel kama mnavokejel
wewe unaekejel na kuponda amin ambaye amewai kula nyama ya mtu hajawai kuacha
WAKIMALIZA KWETU WATAKUJA NA KWENU
Sent using Jamii Forums mobile app