MISULI
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,856
- 5,562
Uwe na akili wewe sio kukarr mambo. Viongoz wenu wanakamatwa kwa makosa sio kukurupuka. Kwanini hawamkamati Silinde, Prof J na wengine wengi?Kwamba hawa sio wapinzani au hawa hawajui upinzan ni nini?Sijawahi ona mbunge wangu kaitisha mkutano kaanza kutukana ovyo.Tukisikia mbunge anakuja eneo letu tunaandaa kero ZERO na tunamweleza. Sijawah hudhuria mkutano wake anafanya kazi ya kutukana viongoz au kuwadharrsha. Huyu sio mwanasiasa?Hivi siasa ni lzm uwe unatoa lugha chafu kila unapofanya mkutano?Wangapi wamekujibu hivyo? Na wamekujibu ukiwa kama nani? Hivi wanaowakamata viongozi wa upinzani kila kukicha sio hao polisi. Unachobisha hapo nini.
Tuje upande wa Zito. Swala la kutishiwa maisha ni la kupeleka polisi na sio tweeter. Huko tweeter anamwambia nani?Huoni ni mwanya wa kikundi cha watu kufanya maasi na Mwisho mseme tulisema?Kwanini hao wanaomtishia maisha asiwataje au awapeleke polisi na jamii ijue kuna swala la kisheria limefanyika?Huko Ufipa mmejaa watu wa aina gani hivi kiasi kulishwa matango pori daily?Hamuamini polisi sawa,Basi awataje hao watu.Tunasema ufipa mmelogwa sio bure
Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu