Zitto: Kuna operation maalum ya kunimaliza (kuniua)

Zitto: Kuna operation maalum ya kunimaliza (kuniua)

"The Final Battle for Total Discipline"!!

Ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mipango ya "Tanzania Mpya 2019"?

Na kwa kweli tukitazama uwanja wa siasa za Tanzania zilivyo sasa hivi, sauti zinazosikika kuzuia hiyo "----Total Discipline" ni ya Mh Zitto (pekee? iliyobaki.

So, why not silence this final hurdle to the grand plan of attaining "---Total Discipline"? Full fledged dictatorship.

Haya tulidhani yasingeweza kutokea Tanzania. Sasa tunajua, hapa ndipo ilikuwa rahisi kabisa kuwa na hali hiyo kuliko sehemu yoyote ile duniani.

OPERATION MZIZIMA 2; the final battle for the full submission of the nation. Or will it be!
 
Hebu kaa pembeni huko wakubwa wajadili mambo ya msingi. Kwani ni lazima uonyeshe kwa kila mtu kuwa u mjinga na mpumbavu.
Wewe chekea tu, akimaliza muda wake atakapopandishwa kortini na kuhukumiwa kifo utamsapoti?
Kila aliyeua mwishowe naye aliuwawa.
Kwani tunguli zake hazifanyi kazi?
 
Na likishakuua litataka uzikwe haraka haraka.

Halafu likimaliza litaenda kanisani huku likiwa LIVE SURA MBAYAAA na kisauti chake CHENYE UNYENYEKEVU FAKE litasema TUPENDANEE, Nchi ni yetu sote, tuchape kazi NCHI IENDE MBEREEE.

Viongozi wa DINI WAKIONGOZWA NA KADINARI PENGO na MALALUSA watalipongeza huku wakisema ni TEULE LA MUNGU.

#NchiYaHovyo
Hakustahili kabisa kuongea kanisani.
Abomination in the holy place.
 
Hebu kaa pembeni huko wakubwa wajadili mambo ya msingi. Kwani ni lazima uonyeshe kwa kila mtu kuwa u mjinga na mpumbavu.
Wewe chekea tu, akimaliza muda wake atakapopandishwa kortini na kuhukumiwa kifo utamsapoti?
Kila aliyeua mwishowe naye aliuwawa.
Wewe mtoto ni huyo Zitto ndie aliyetamba kwamba anazo tunguli toka huko alikoaga. Unasikia?
 
Unapokuwa na jambazi ambaye amekwishapoteza wengi, tetesi za namna hii si za kupuuzwa. Lakini tusiieshie kusema tu kuwa tetesi zisipuuzwe bali tumwambie wasi kuwa aliowaua wametosha. Hatutakubali aongeze hata mmoja. Akijaribu kufanya ndiyo, na yeye ndiyo mwisho wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenda kuarifu polisi ni mzaha!!!.
kwenye novel ya beutyful one are not yet born.kuna Character anaitwa MAN kama sikosei,alishinda lotto CED 200,kampuni ya lotto ikataka atoe chochote (rushwa)kutoka CEDI 200,Alipowashirikisha watu wakamwambia "..why don't you go to the police to report..?" "..if I'll go it will cost me more..."yaani police nao wangetaka rushwa then CEDI 200 ZINAZIDI KUPUNGUA.
 
Ushahidi gani tena unataka zaidi ya hii kauli na kutokuwa na uchunguzi wowote au kauli ya huyo MUUAJI kukemea mauaji mbali mbali nchini?


Very circumstantial! Labda kwako inajitosheleza.
 
Kuna wakati bavicha mliwahi kudai huyu jamaa sio raia wa nchi hii mkadai katokea Burundi Mara mkadai Congo sasa nawashangaa sana why this sudden change of heart.
 
Back
Top Bottom