Zitto: Kuna operation maalum ya kunimaliza (kuniua)

Zitto: Kuna operation maalum ya kunimaliza (kuniua)

Katu siwezi kupuuza madai kama haya!!!

Hata Ben Saanane alitujuza members wenzake hapa hapa JF kwamba anatishia kuuawa lakini, kama ilivyo ada, wakatokea watu wakamkejeli na kumuita anatafuta kiki!!

Thread ile ilikuwa ndiyo thread ya mwisho kwa Ben na kiasi cha wiki moja baadae, taarifa za kutoonekana kwa Ben zikaanza kusambaa na hadi hivi sasa hatujui kimemkuta nini hasa!!!

Na ndicho pia kilitokea kwa Tundu Lissu pale aliposema bayana kuna watu walikuwa wanamfuatilia!

Sijapata kughadhibika kama hata baada ya kuwa TL amemiminiwa risasi, bado wakatokea washenzi na kudai hizo ni kiki tu!
Ukiona kimya jua aliyehusika yupo juu ya katiba na sheria za nchi. Katiba ikibadilishwa labda wahusika ndo watatafutwa ila siyo sasa
 
Wameonja nyama ya mtu sasa yamekuwa mazoea; lakini wakumbuke hakuna barabara murefu isiyo kona! Waache waeendelee kuishi kwa mtutu wa bunduki, kwa sheria ya maumbile hata wao wataondoka kwa mtutu wa bunduki au kombora la hiroshima;

Stay strong ZZK; tunakuweka kwenye maombi yetu. you will outlive the devils.
 
Kupitia account yake ya twitter mbunge wa Kigoma mjini amesema kuna operationa maalumu ilitoanzishwa kwa lengo la kummaliza.

Na likishakuua litataka uzikwe haraka haraka.

Halafu likimaliza litaenda kanisani huku likiwa LIVE SURA MBAYAAA na kisauti chake CHENYE UNYENYEKEVU FAKE litasema TUPENDANEE, Nchi ni yetu sote, tuchape kazi NCHI IENDE MBEREEE.

Viongozi wa DINI WAKIONGOZWA NA KADINARI PENGO na MALALUSA watalipongeza huku wakisema ni TEULE LA MUNGU.

#NchiYaHovyo
 
Tangu 'ghala la Silaha' liteketee Kule Mwandiga 2017 kijana amekuwa hajiamini kabisa

Wamarekani kabla hawajakutwanga huwa wanaharibu zana zako Za kivita unazoamini ndio kali zaid ambazo unakuwa umezificha, kisaikolojia ukiamka Asubuhi ukaambiwa Mzee 'Lugalo imegeuzwa jivu' lazima ulegee na Kuishi kwa wasiwasi zaid.

Zitto aachane Na Mabeberu arudi uzalendoni maana inawezekana wanaomtuma wakamshighulikia ili tu kuichafua Serikal Kama walivyofanya kwa Mgonjwa wetu wa Belgium
Baba yako hata wewe kukulea ameshindwa, Una akili fupi Sana

Hivi zero brain Kama wewe, Baba yako eti anajiita Mzalendo kwa kuzaa tahira

Uzalendo anza kwenye Familia yako, Au Muulize aliyekufanya uwe na IQ ndogo halafu, Hamishia huo uzalendo kwenye ukoo

Certified idiot wewe
 
Back
Top Bottom