Zitto: Kuna operation maalum ya kunimaliza (kuniua)

Tunapoingia mwaka 2019 ndio hivyo shetani magyuful ameongeza bajeti yake katika kitengo hicho cha mateso na maangamizi. Tanzania yetu haitakuwa mahali salama sana na pa furaha. Kutakuwa na mahangaiko mengi na mateso mtawanyiko. Nyanja za siasa na biashara zitakuwa kwenye pepo za kisulisuli. Damu itamwagika kwa wingi. Hayo mateso yatakuwepo kiasi cha kuzoeleka. Kelele za mabishano na ushabiki zitakuwa nyingi na maridhiano bandia yataongezeka. Mioyo ya wengi itakata tamaa na wengi watakumbwa na wimbi la usaliti wa haki na kweli.
 
Wapi kataja serikali?
sio lazima aitaje,hata wewe unajua mlengwa ni nani baada ya kumtaja Lissu kwamba nae alianza hivyo hivyo,nawe kila siku unashutumu serikali ilitaka kumuua lissu
Zitto anazidi kuniaminisha kuwa chadema hawakufanya makosa kumfukuza kwa tuhuma za undumilakuwili na uzandiki
 
Umerudi, ww ndio ulikuwa unashabikia na kuhalalisha Lissu kushambuliwa na sasa unachombeza hiki kitisho cha Zitto.
Mkuu umemshauri zito aende polisi au humu ndio polisi?

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
 
sio lazima aitaje,hata wewe unajua mlengwa ni nani baada ya kumtaja Lissu kwamba nae alianza hivyo hivyo,nawe kila siku unashutumu serikali ilitaka kumuua lissu
Zitto anazidi kuniaminisha kuwa chadema hawakufanya makosa kumfukuza kwa tuhuma za undumilakuwili na uzandiki
Wewe ni zaidi ya mchawi!
 
Tunapoingia mwaka 2019 ndio hivyo shetani magyuful ameongeza bajeti yake katika kitengo hicho cha mateso na maangamizi. Tanzania yetu haitakuwa mahali salama sana na pa furaha. Kutakuwa na mahangaiko mengi na mateso mtawanyiko. Nyanja za siasa na biashara zitakuwa kwenye pepo za kisulisuli. Damu itamwagika kwa wingi. Hayo mateso yatakuwepo kiasi cha kuzoeleka. Kelele za mabishano na ushabiki zitakuwa nyingi na maridhiano bandia yataongezeka. Mioyo ya wengi itakata tamaa na wengi watakumbwa na wimbi la usaliti wa haki na kweli.
Ndio wale wale, uko ndani ya shuka, unachonga kinyago chako humo na unaanza kukiogopa humo humo.
 
Mmmhh Special operation..!! To finish him off..!! Mmmhh..!! 😕😳🙄..!! My country sio ile nayoijua tena..!!
 
Mkuu umemshauri zito aende polisi au humu ndio polisi?

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu

Polisi sio taasisi ya kulinda wapinzani. Ataenda ili kutimiza wajibu tu lakini sio kupata ulinzi wowote wa maana.
 
Tumemzoea huyu kulitoa taifa ktk mijadala yenye tija.

Msimsikilize.

Lissu... Mbowe. Ndo mjadala wa kitaifa saivi. Huyu kima kapewa hela.

ACHANENI NAE
 
Tunapoingia mwaka 2019 ndio hivyo shetani magyuful ameongeza bajeti yake katika kitengo hicho cha mateso na maangamizi. Tanzania yetu haitakuwa mahali salama sana na pa furaha. Kutakuwa na mahangaiko mengi na mateso mtawanyiko. Nyanja za siasa na biashara zitakuwa kwenye pepo za kisulisuli. Damu itamwagika kwa wingi. Hayo mateso yatakuwepo kiasi cha kuzoeleka. Kelele za mabishano na ushabiki zitakuwa nyingi na maridhiano bandia yataongezeka. Mioyo ya wengi itakata tamaa na wengi watakumbwa na wimbi la usaliti wa haki na kweli.

Yuko jamaa hapa jukwaani amesema kufika june hii wakosoaji wataipata fresh. Na wala huyo jamaa hajasema kwa bahati bali ndio mkakati. Huenda hicho asemacho Zitto ni mkakati huohuo.
 
Inawezekana kabisa maana ya Lissu yalianza hivi hivi.

Hata Ben Saanane ilikuwa hivi hivi na mpaka leo hajulikani alipo.

Zitto amekuwa akivujisha mambo mazito na sijawahi sikia kakamatwa au kushitakiwa kwa kuchafua watu fulani zaidi ya kushitakiwa hivi karibuni.

Kama madai haya nayo ni ya kweli kama tulivyoona kwa Lissu, basi kuna watu/mtu (mhusika wa mambo haya ) lazima ajiulize ni kwanini siri zinavuja kama kweli wote wanaomzunguka wanamkubali na pia yeye mwenyewe ajitafakari kama yuko .......
Akatoe taarifa polisi ili ifuatilie kama ni mgoni wake unataka kumjua tujue.
Najua ni mambo ya mahusiano tu maana kwenye siasa zito ni mtupu sana. Kipindi cha Escrow labda tungesema singasinga au wanasiasa.
 
Back
Top Bottom